Unywaji wa KAHAWA hauleweshi na kuiondoa AKILI NA UTAMBUZI WA MWANADAMU.....
Unaweza kwenda kijiweni ukiwa na shilingi yako 100 kwa lengo la kupata KIKOMBE KIMOJA TU ilihali nafsi yako inataka kunywa VINGI....
Kama MWENYEZI MUNGU amekupa UCHESHI NA ULIMI FASWAHA WA KUNENA basi anzisha MADA...