kafara

Fidyah (Arabic: الفدية‎) and Kaffara (Arabic: كفارة‎) are religious donations made in Islam when a fast (notably in Ramadan) is missed or broken. The donations can be of food, or money, and it is used to feed those in need. They are mentioned in the Qur'an. Some organizations have online Fidyah and Kaffara options.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna mtu anatolewa kafara na wanamtandao soon

    Hajijui. Yupoyupo! Anajiendea. Hasomi mchezo. Si mbali kutokea leo. Soon as sooner. Samuya jitazame walahi. Wanamtandao washenzi sana. Set up exist Door. Kumtoa kafara ili wao wabaki salimini. Nye! Nye! Nyie! Acheni aseee! Watu wabaya nye. Na bado
  2. Watibeli sio mbuzi wa kafara. Kamwe hatutakubali kugeuzwa chambo

    WATIBELI SIO MBUZI WA KAFARA. KAMWE HATUTAKUBALI KUGEUZWA CHAMBO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi tunaongozwa na mambo makuu manne; HAKI, AKILI, UPENDO NA UKWELI. Hayo ndio yanayotuongoza na ndio mhimili mkuu katika maisha yetu. 2. Huwezi mgeuza mtibeli mbuzi wa kafara au chambo...
  3. Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  4. Kutoana kafara kwenye familia, na Siri ya wazazi wetu

    Habari za mchana. Hii nimeitoa kwenye familia moja kanda ya ziwa. Hivi ulishawahi kuona familia fulani ina watoto wengi lakini mmoja haolewi,au haoi na akioa anaacha ndoa haidumu. Au kama ni mwanamke anaachika ili tu arudi Kwa wazazi? Unakuta kijana anapambana lakini hatulii,anajikuta...
  5. Afisa polisi OCS mshukiwa wa kifo cha Albert akana uhusika! Agoma kuwa mbuzi wa kafara

    Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia. Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya. Alionekana kuteswa. Niliwataka maafisa wa DCI kumpeleka hospitalini kabla ya kumwingiza mahabudu...
  6. Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  7. Hakuna jambo nzuri kama kuwa huru, usikubali kuwa Mbuzi wa kafara

    Salaam jamiiAfrica. Unataka kuwa huru? Unataka kuwa na Amani? Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako? Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01? Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa. Acha kuiongelea siasa. Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa...
  8. Kafara Katika Kuvuta Wateja Katika Biashara Yako

    Katika mfumo wa maisha tunayoishi, imejengwa misingi kwamba, wengi wawe masikini na matajiri wachache. Kwa hivyo, kama upo kundi la umasikini, kutoka humo siyo kazi nyepesi, ni lazima uzijue kanuni za kiulimwengu. Kuanzisha biashara ni jambo jepesi kupata wateja ni jambo gumu. Wateja wengi ni...
  9. M

    CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

    Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
  10. Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  11. Youssouph Dabo ulikuwa mbuzi wa Kafara pale Azam

    Baada ya kufungwa na Singida, sasa rasmi Azam FC hawatoweza kufikia idadi ya alama walizomaliza nazo msimu uliopita (69) walipokuwa chini ya kocha msenegali Youssouph Dabo, mpaka sasa Azam wana alama 51, wamesalia na mechi 5 ambazo hata wakishinda zote watafikisha alama 66. Tusamehe sana Kocha...
  12. Kifalsafa "kimantiki" Yesu hakutolewa Kafara. Dunia imedanganywa

    KIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Angalizo: Mada hii inaweza isiwafae watu wote hasa watu wale wenye Itikadi na hisia Kali za kidini. Hivyo kama Taikon Master kwa kulijua Hilo, nashauri wewe kama ni wale wenye Itikadi Kali au...
  13. Kazi imeanza Zelensky anataka kutolewa kafara

    Hawa manyang'au wa U.S naona wameshamtumia Zelensky kama pampas sasa wanataka kumtupa. Visingizio vimeanza za kuwinda kuondoshwa Huyu Musk mtandao wake huu amekuwa akiutumia kuchochea tawala kadhaa kuondoshwa Kazi kaianzisha Trump chawa Musk anaunga tela...
  14. G

    Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

    Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo. Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika...
  15. Wagawanye uwatawale: Njia iliyotumika Rais Paul Kagame anataka kuwekwa kama sadaka ya kafara.

    Ni historia inayojirudia ambapo mkoloni ni kama ameona njia ya kuwapumbaza Waafrika na kuwatawala kiurahisi ni kuwataka wapigane wenyewe, waonane wabaya wao kwa wao. Nchi ya DRC inakadiriwa kuwa na vikosi vya uhalifu zaidi ya 100 je tuseme vikosi hivi vyote vinadhaminiwa na Rwanda?..Inasemekana...
  16. Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

    Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa). Unaweza kuonyeshwa...
  17. Kariakoo Kuna ushirikina mwingi sana, huenda kafara limehusika

    Kwa ushirikina uliokithiri kariakoo huenda sadaka ya damu imehusika ukizingatia tunaelekea mwisho wa mwaka ,maagano au makubaliano ya kisheitwani lazima yatimie.
  18. Kafara ya imegoma tena. Ni huzuni kubwa

    Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1. Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji. Usiku mwema. ====== Updates: Jini limeamua mchezo.
  19. Mwanzo endelevu wa kupigania uhuru wa Tanzania kutoka kwa Mkoloni Mweusi, damu ni ishara ya Kafara ya Ushindi Wengine wasichoke kujitoa

    Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao. Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
  20. Kila KAFARA limekataa na tayari hali ya wasiwasi imeshaanza Kutanda Kambini Indian Ocean

    Na sharti walipopewa kama sehemu ya Kujaribu tena Nyota ili angalau wapone na Kipigo ni kuanza na 'Kufuli la Morogoro' Lilorogwa Msimu mzima, ila wakimpanga tu ambaye ndiyo Wanamuani 'Kufuli Mali' ambaye kwa tarehe ya leo Nyota yake ina Nuksi basi wajiandae kwa Kipigo Kikali ambacho kila Mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…