kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kabla Hujafunga Biashara Yako, Soma Hii Kwanza.

    Wakuu wa jukwaa, Leo nataka niongee kitu ambacho naamini kinaweza kubadilisha namna tunavyoendesha biashara zetu za kila siku hasa sisi wafanyabiashara wadogo na wa kati. Ukweli ni huu Biashara nyingi Tanzania zinaendeshwa kwa mazoea. Tunatumia daftari, kumbukumbu za kichwani, au wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa siasa wa Tanzania wanakula wapi bata? Je, ni suala la muda kabla hawajaibuka kina Epstein na Diddy wa Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy. Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao. Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha ya wairani kabla haijawa jamuhuri ya kiislam

    Kipindi Irani inaongozwa na vibaraka wa Marekani ndio ilikuwa hivyo hapo Sasa ndio Marekani ilikuwa inajisikia raha maana walikuwa na nafasi ya kufanya biashara zao za Pombe Madawa ya kulevya Umalaya Ushoga Na kuiba rasilimali za Irani Watu wenye akili kama akina Komenei wakasema hili...
  4. JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Siku Moja kabla ya mechi tulimkamata Mtu anapulizia dawa kwenye Vyumba vyetu Mkapa

    Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. Zakazakazi amesema wazi kuwa Yanga hawapaswi kutafuta sababu za nje kabla au baada ya mechi...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

    Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui" Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa USA Huckabee:''Raia wa marekani kateni tiketi kimbieni mapema israel kabla hamjachelewa

    Balozi wa marekani nchini Israeli Mike huckabee amewaambia maafisa wa ubalozi ya kwamba kama wanataka kuondoka ndani ya ardhi ya Israel waondoke mapema ''Haina haja ya kupanic kama mnataka kuondoka basi fanyeni mapema muondoke na msicheleweshe safari ''Popote mtakapo kuwepo Kateni tiketi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi kabla hujatupa karatasi yoyote yenye taarifa binafsi...

    Nyaraka hizi zikiangukia mikono mbaya, zinaweza kutumika kwa utapeli (identity theft), kuibiwa pesa, au kuharibu sifa ya mtu/kampuni. Chanachana (Shredding): ✂️ Hii ndio njia salama zaidi. Ikiwa huna mashine ya "shredder" ofisini au nyumbani, hakikisha unachana karatasi hizo vipande vidogo...
  8. JamiiForums Tanzania Derby kunanmtu anafungwa 3-5..nani ntawambia siku moja kabla ya mechi

    Hizi habari sio nzuri sana kwa baadhi ya wananchi wapenda soka hasa wale wapenzi wa timu za derby Niko huku msata mpaka sasa kuna timu inapigwa goli 3 -mpaka 5 Yaani hii n siku ya huxuni na kuna watu watashindwa kufuturu ama.kupanda meli hioo sikuuuuu Ntawajuxa nani nawatakia kila la kheri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo haya kabla ya kukopa

    Kabla ya kuchukua mkopo, lazima utathmini uwezo wako wa kulipa, uelewe gharama ya jumla (riba na ada), uangalie alama yako ya mkopo, na uhakikishe una lengo wazi la fedha hizo.. Vitendo muhimu ni pamoja na kuunda bajeti kali kwa malipo ya kila mwezi, kulinganisha wakopeshaji wengi, na kuchunguza...
  10. JamiiForums Tanzania Kama mkristo ama muislam uko kwenye mfungo inakuhusu angalia kabla ujawa unapoteza swaumu yako..mbarikiwe mmalize salama

    5 Things You Must Remove From Your Life Before Fasting Fasting is not just about stopping food — it is about preparing your spirit to host God. If these things remain in your life, your fasting may become hunger strike instead of spiritual power. 1. Unforgiveness If you are still holding...
  11. JamiiForums Tanzania Ukifanya zinaa haya ndiyo majina utakayoitwa. Tafakari kabla ya kuzini

    UKIENDA KUFANYA ZINAA, KUMBUKA MAJINA HAYA, ALAFU UJISHAURI BAADA YA HAPO UCHUKUE UAMUZI UTAKAO KUJA. 1. KUFANYA ZINAA NI KUFANYA UPUMBAVU KIBIBLIA. 2 Samweli 13:5, 11-14 (Biblia Takatifu) Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi pocket router za Voda zikoje? Naombeni ushauri kabla sijajichanganya

    Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya voda kifurushi kinaanzia 10k Sasa nahitaji kujua kwenu wazoefu je hicho kifurushi Cha 10k unapata Gb...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

    Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Miliki apartment yako kwa bei za chini kabisa kabla ya tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu. Nipigie uje site

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Karibu ukope, jua hili kabla ya kukopa

    Ukosefu wa elimu ya kifedha unaweza kuathiri vibaya uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi ya kukopa, mara nyingi husababisha mzigo wa madeni usio endelevu, dhiki ya kifedha ya gharama kubwa, na ya muda mrefu.Bila uelewa mzuri wa dhana za kifedha kama vile uwiano wa riba na deni kwa mapato, watu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yake madhara ya ukosefu wa elimu ya fedha kabla ya kukopa

    Ukosefu wa elimu ya kifedha unaweza kuathiri vibaya uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi ya kukopa, mara nyingi husababisha mzigo wa madeni usio endelevu, dhiki ya kifedha ya gharama kubwa, na ya muda mrefu.Bila uelewa mzuri wa dhana za kifedha kama vile uwiano wa riba na deni kwa mapato, watu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Karibu ukope, maswali ya kujiuliza kabla ya kuja kukopa

    Karibu ukope, maswali ya kujiuliza kabla ya kuja kukopa Habari Nikiwa kama mtoa huduma za mikopo mbali mbali kuna vitu au maswali ambayo ningependa mkopahi anapokuja kukopa awe amekwisha fanya tathmin yeye mwenyewe kwanza kabla ya kuja kukopa. Swali la kwanza Ninahitaji sh ngapi? Hili ni...
  18. JamiiForums Tanzania Hebu wataje members ambao huwa unalike post/comments zao hata kabla ya kuzisoma

    Kuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini matupu Twende kazi
  19. JamiiForums Tanzania Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho

    Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho. Serikali haramu ikifanikiwa kuvuka hapa mpaka uchaguzi ujao kwa jinsi hali ilivyo uchaguzi ujao utakuwa ni vita kubwa kubwa sana haijawai kutokea tangu...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema inarudi kwa wenyewe kabla haijafutwa

    Chadema ni chama cha Mtei, Mbowe na Waluteri kilichoporwa na wahuni na Wakatoliki kutaka kukitumia kwenda Ikulu lakini baada ya kushindikana watahakikisha kinarejeshwa kwa wenyewe as soon as possible. Hata aliyoyasema Mbowe kwenye msiba yalipangwa kwa ustadi mkubwa. Mwigulu hakwenda pale kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…