kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

    Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana: Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine: "Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
  2. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  3. JamiiForums Tanzania Msifunge ndoa kabla ya kufanya utafiti

    Imeelezwa kuwa wanandoa wengi wamekuwa wanaharakati zaidi kuliko kuwa walezi wa ndoa zao, jambo ambalo linasababisha migogoro kwenye familia na kuzifanya zivunjike. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Mkurugenzi wa Asasi ya TaMCare, Dk Enock Miyuka alipokuwa anazindua kliniki ya ndoa na...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

    Wajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo. Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya. Before or after ndio poa.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Rais, Waziri Mkuu na Waziri husika, wote wanapaswa kujiuzulu kabla hawajamuwajibisha yeyote yule

    Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo. Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Msikilize mtu amalize hoja zake kabla ya kumjibu

    Waswahili tuna tabia ya kuwakatisha watu hoja zao kabla hawajamaliza kuziweka sawa na kujifanya tunajua walichokuwa wakimaanisha hata kabla hawajazihitisha. https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2021/11/3004426_Artist.wmv
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mbezi Beda wadai DC Kheri James anamhujumu RC Makalla kwa kuwarejesha baadhi yao kusikoruhusiwa

    Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi. Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
  9. JamiiForums Tanzania Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

    MUHIMU: Tahadhari inabidi zichukuliwe, Wema wako unaweza kuku gharimu! kabla hujachukua uamuzi wa kumrejeshea mtu vitu vyake ni lazima upate taarifa zake (ni mzima?, kapata tukio lipi?, nk) lasivyo unaweza kuingia mtegoni au kuhusishwa na kesi.. kama huna taarifa ni bora utafute njia ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kabla hujawa na matarajio makubwa, ni vizuri ukajiridhisha hali halisi ya uchumi wa nchi unayotaka kuzamia

    Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna. NB: Ndio utaelewa kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye mzio wa chanjo (Allergic reaction) amueleze mtaalamu wa Afya kabla ya kuchanjwa Covid-19

    Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma. Shirika la Afya duniani linawashauri watu ambao wana historia ya kuwa na mzio wa chanjo nyingine kuwaona Wataalamu wa Afya na kuwaeleza...
  12. JamiiForums Tanzania Beach wear kabla shetani hajakabidhiwa cherehani

  13. M

    JamiiForums Tanzania Mababu zetu walitangulia mbele za haki kabla ya Wamisionari na Waarabu kuleta dini wanahukumiwaje?

    Ni swali hili. Kama tujuavyo wageni weupe wameanza kuja Tanganyika kwenye karne ya nane. Ikumbukwe hawa wageni ndio wameleta ustaarabu wa dini hizi tulizonazo sasa ambazo tunaambiwa zitatufikisha mbinguni kwa baba. Swali: Je, ambao wameshafariki kabla ya kuja dini hizi watahesabika kama...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka 1958 Pele akiwa na umri wa miaka 17 nchini Sweden kabla ya World Cup

  15. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu ni kwa kipindi gani data zako zinaweza kutunzwa kabla ya kufutwa na mtoa huduma? Kesi ya Mbowe imetutoa usingizini

    Kimsingi watanzania tulio wengi hatufahamu ni kwa muda gani service provider anaweza kutunza data zako za(mawasiliano yako ya simu) kwa mujibu wa sheria,lakini pia ni wangapi tunafahamu haki zetu za kumuomba service provider kufuta data zetu pale mkataba wako wa matumizi ya akaunti unapo...
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza mwambia mume wako idadi ya wanaume ulio-jamiiana nao awali kabla ya yeye kukuoa?

    Mazoea ni kwamba, Ndoa za siku hizi zinavunjika mara tu baada ya kufungwa maana wanawake hawasemi idadi ya wanaume walio-fanyana nao ili mume mpya ajue reli anayopitia. Ni muhimu mwanamke kumwambia mwanaume idadi ya wanaume alio tembea nao ili mume mpya aongeze juhudi kitandani, maana kila...
  17. JamiiForums Tanzania Waafrika walifika bara la Amerika miaka mingi kabla ya Columbus.

    Inasemekana kabla hata ya Yesu waafrika walikuwa wamefika bara la Amerika na kuanzisha ustaarabu huko ulioitwa olmecs. Hawa ndiyo waliwafundisha watu wa Amerika kujenga mapiramidi na kuchonga masanamu makubwa ya mawe. Walipeleka na teknolojia ya kujenga mapiramidi.
  18. G

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

    Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa. My take. Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi...
  19. JamiiForums Tanzania Nadhani Rais Samia atatupatia Katiba Mpya kabla hajaondoka Madarakani

    Rais Samia alisema tumpe muda ajenge uchumi kisha suala la Katiba Mpya litafuata. Hakulipuuza, alisema tumpe muda muda. Naona sasa anakwenda vyema, hii awamu ya kwanza katika Urais wake (2021-2025) itatosha sana kujenga uchumi imara. Naamini kama Mungu atatuweka hai, 2025 kwenye kampeni zake...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: ~ Makatibu wa CCM wa wilaya na Mikoa wabadilishiwe vituo vya kazi kabla ya uchaguzi wa chama 2022

    Kuna makatibu wa CCM wilaya na Mikoa wasipobadilishiwa vituo vya kazi. Mapema na ksbla ya ichaguzi mkuu wavchama CCM 2022 watachagua mamluki na watu wasio na sifa. Pili wamekuwa miungu watu kwa chama na kwa wananchi. Ninashauri waondolewe mapema na kuweka wengine wapya na waadilifu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…