kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kampa nafasi mwanachama na mjumbe mwenzake kama anatosha kuendelea na kuamua kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumiwa

    Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008) Kwa mamlaka yake...
  2. JamiiForums Tanzania ILINICHUKUA MIAKA MIWILI NA AJALI YA MTOTO 1 KUWA MZOEFU WA NJIA YA KUCHOMOA KABLA KUMWAGA

    Ni njia inayotumika kuzuia mimba, unapokaribia kumwaga unaichomoa umwage nje. mtoto wangu wa kwanza ndie alikuwa gharama ya kujifunzia hii njia nikiwa bado hata sijamuoa mama yake ambae ilinibidi nimuoe baada ya kumpa mimba.
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kaskazini watoka kifungoni; Moshi na Arusha zarejea kwenye hadhi tuliyozoea kabla ya 2016. Watu wanashangweka ile ile!

    Baada ya akina Gambo, Sabaya, Mneti, Muro, na viongozi wengine kutowesha amani na furaha ya Xmas Kaskazini kwa kisingizio cha kulinda amani na kuepusha vurugu hatimaye mwaka huu tunaona Ndugu zetu kwa mara nyingine wakirejea makwao Kwa furaha huku biashara zikipamba moto. Ni kama wamepata Uhuru...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wanaoamini ukimpinga unastahili kuuawa wanaongezeka, tupambane nao kwa sala kabla hatujaingiwa na roho kama zao

    Tumeendelea kuwa na viongozi wengi ambao wao wakiona unakinzana na maoni au maslahi Yao wapo tayari kutumia mbinu zozote aidha wakuondoe au wakufanye unyamaze. Wao kwao siyo Kila uhai ni wa thamani, uhai kwao ni wa watoto wake, mke au Mme, wazazi na ndugu damu. Hawa watu wanaongezeka Kwa Kasi...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyo mjibu leo tarehe 24/12/2021 siku moja kabla ya christmas

    Wanazoea vibaya sana mamaeeeee mtu hatujawasiliana toka mwezi wa sita leo from no where, goooooog daamnnnnnn, bora nibaki singo kuliko hawa kupe
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  9. JamiiForums Tanzania Karia anapaswa kuliwa kichwa mapema, kabla hajatufikisha pabaya zaidi

    Yawezekana watu wengi sana wanatizama na kuona kuwa soka la Bongo limekuwa katika miaka ya hivi karibuni. Lakini tujiulize mbali na mafanikio binafsi ya vilabu hasa Simba na jitihada binafsi za mchezaji mmojammoja kama Samatta na Msuva ni nini kingine ambacho sisi kama Taifa tunaweza kujivunia...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  11. JamiiForums Tanzania Hata kabla ya taifa letu kupata uhuru mikutano ya kisiasa haijawahi kuzuia watu kufanya kazi. CCM isipotoshe na kutuoenea wapinzani.

    Upinzani ni kioo cha jamii maana hukosoa na kuwaambia watawala makosa wanayofanya. Upinzani kufanya mikutano ya kisiasa na kueleza sera na mikakati ya kukamata dola sio sababu ya kuzuia wananchi kufanya kazi zao. Mbona hata kabla hatujapata uhuru TANU ilikuwa inafanya mikutano ya hadhara na...
  12. JamiiForums Tanzania Usitoe ahadi kuwa utamuoa au akuoe kabla hamjakubaliana. Kitakachokutokea utajuta

    Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama hujatulia, bado ujapanga kufanya hivo. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe ina matatizo makubwa mpaka wengine...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022

    Wadau nahitaji kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022, mwenye uzoefu na hili anisaidie. Shukran wakubwa
  14. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  15. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  16. JamiiForums Tanzania CEO wa Simba tulipaza sauti mapema kabla usajili kukoma

    Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa. Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Simba mmefanikiwa kusonga mbele lakini rekebisheni mapungufu yenu haraka kabla amjakutwa na aibu mbele ya safari

    Ni jambo la kushukuru kwamba simba imeingia hatua inayofuata kwa msaada wa matokeo ya nyumbani baada ya kupata magoli mengi, lakini pamoja na ayo simba hii inayo mapungufu kibao kuanzia safu ya ulinzi na kiungo. Endapo Red Arrows wangeongeza ubora wao angalau kidogo sasa hivi tungekuwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Samia kuwa Rais nilidhani ni lazima Rais wa nchi atoe hotuba ndeefu

    Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake. Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CDC: Hakuna madhara kupata chanjo za maradhi mengine kabla au baada ya chanjo ya COVID-19

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema watu waliopata chanjo ya COVID-19 wanaweza kupokea chanjo za maradhi megine. Mwitikio wa chanjo mwilini hautofautiani endapo mtu atapata chanjo ya aina moja au tofauti. ====== Getting a COVID-19 Vaccine with Other Vaccines People...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa watakiwa kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa kabla ya Desemba 15

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka wakuu wa mikoa yote kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na miundombinu mingine ya elimu ambayo Serikali Kuu imeipatia fedha inakamilika kabla ya Desemba 15, mwaka huu. Alitoa agizo hilo jana wilayani Rungwe katika Mkoa wa Mbeya alipofanya ziara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…