kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuoa au kuolewa kabla ya dada/kaka

    Habari wana JF! Hivi mdada kuolewa kabla ya dada yake kuna shida yeyote?? Maana wadada wengi huwa hawataki ikiwa dada yao alietangulia hajaolewa. Kwahiyo kama dada haeleweki ndo mdogo mtu asiolewe?/ Na akitangulia kuna tatizo??? Nasoma comment
  2. JamiiForums Tanzania Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Watakiwa Kuhakikisha Bidhaa Zinakaguliwa na TBS Kabla ya Matumizi

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuhakikisha bidhaa hizo zinakaguliwa ili kulinda afya za Watanzania, na wenye Viwanda vya ndani kuhakikisha bidhaa zinakaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania(TBS) kabla ya matumizi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Mdhibitini Mdude Nyagali kabla Uvumilivu wa Rais Samia haujafika mwisho

    Kwa kuwa tunatumia jukwaaa ili kushauriana na kushauri, kutoa maoni na mapendekezo na hata kutoa onyo na karipio basi acha Leo nitoe ushauri kwa CHADEMA jambo ambalo ni nadra kweli kulifanya. Kwa kuwa nilitumia jukwaaa hili kumshauri ndugu yangu Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Madagascar ajiuzulu kuelekea kwenye uchaguzi wa Novemba 2023

    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada tu ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa Rais wa taifa hilo uliopangwa kufanyika Novemba 9, taarifa hii ni kwa mujibu wa mahakama ya kikatiba ya nchi hiyo. Katiba ya Madagaska inamtaka kiongozi mkuu wa nchi anayetaka kugombea...
  7. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuhakiki ikiwa gari Iina deni la Polisi kabla ya kununua

    Hiyo itaepusha usumbufu wa kununua gari kisha kukuta Lina madeni mengi. Madeni ya Parking na ya faini za Polisi.
  8. JamiiForums Tanzania Serikali Ifanye Hili Kabla ya kuruhusu Mabasi Kusafiri Kwa Saa 24, Vinginevyo Mtaua Watu Wengi

    Serikali imesema hivi karibuni itaruhusu mabasi kusafiri kwa saa 24, ni jambo jema sana endapo jambo hili muhimu litafanyiwa kazi. Jambo lenyewe ni kufunga taa kwenye barabara kuu zote, fungeni taa zinazotumia solar panels ili kuongeza mwanga barabarani, kwa wanao endesha usiku watakubaliana...
  9. JamiiForums Tanzania Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  10. JamiiForums Tanzania Ukija Duniani kama ulivyokuta watu wamepambana kuleta mambo mazuri na wewe kabla haujafa tafuta kitu Cha kuoachaia Dunia Kama zawadi

    Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani . MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai. Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
  11. JamiiForums Tanzania Haji Manara soma alama za nyakati kabla haujastaafu kwa aibu

    Zama za Haji Manara zinaelekea mwishoni. Kwa sasa awepo au asiwepo kwenye jambo hakuna kinachoongezeka wala kinachopungua. Sasa ameamua kupambana na wakati hataki kuonekna yeye ni ziada. Anatumia njia zile zile za miaka yote kukanyaga vichwa vya wenzie ili yeye apande juu. This time naona...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wakija ghetto wanachukua kitu chochote cha kwenda kuturogea. Nimefunga camera wameanza kuumbuka vibaya kabla hawajaondoka najisanua

    Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
  13. JamiiForums Tanzania Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

    Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku". Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad. Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania bila Maandamano hakuna Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Nimeandika kwa kifupi , nitachangia nikiamka.
  15. JamiiForums Tanzania Uislamu uheshimiwe kuanzia ndani, kabla ya kuheshimiwa na wengine

    Amani iwe nanyi Ndugu zangu Waamini wa dini ya Kiislamu. Pokeeni Salamu kutoka kwa Ndugu wa Imani ya Mungu mmoja kwa muongozo wa Injili Takatifu na Mjumbe wake Yesu Kristo. Mimi ni shuhuda wa wazi wa Imani yenu kwa sababu, Uungwana wenu umenipa fursa ya kuijua imani yenu Takatifu na kujifunza...
  16. JamiiForums Tanzania Tusijisahaulishe, masikini ni matokeo ya dhambi. Kabla ya hapo Mungu alipanga tuishi kifalme

    Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu. Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa ndondi, kipindi bondia Tyson bingwa wa dunia kulikuwa na mapambano ya utangulizi kabla ya pambano lake!!?

    Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁 Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu na pambano linakuwa limeisha. Sasa mi naona watu au mashabiki walikuwa wanaliwa tu hela ya bure...
  18. D

    JamiiForums Tanzania CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

    Good Morning jamiiforums. Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel. POLISI. Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
  20. F

    JamiiForums Tanzania January Makamba aliwahi kushauri wote waliozaliwa kabla ya 1961 wasigombee Urais

    Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu. Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa nchi ni sharti uende kwa vijana. Alienda mbali kwa kusema wote waliozaliwa mwaka 1961 kurudi nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…