kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakati unafunga mwaka, elewa, kabla ua ya kumtelekeza au ulimtelekeza mtoto soma hii ujue na kuelewa tafadhali

    Bill Clinton au William Blythe aliyekuwa rais wa Marekani, Jeff Bizos tajiri mkubwa duniani, Steven Jobs mwanzilishi wa Microsoft, na wengine wengi SOMA HAPA walitelekezwa na baba zao wakatokea kuwa maarufu na wenye mafanikio. Je katika mazingira haya, hawa wababa watelekezaji wana haki yoyote...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi

    Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa anataka kunioa. Lakini kabla ya ndoa anataka nibebe mimba ili kupima kama nina kizazi au la kwani kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe Amuita Tundu Lissu: Njama za Kisiasa Kabla ya Uchaguzi?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu. Hii imeibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!

    Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

    Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo. Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana tumemezeshwa matangopori mengi sana kabla ya kuenea kwa teknolojia na kufurika kwa hizi smartphones. Christy Chung yupo hai bana!

    Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni yule mdada aliyekuwa akilindwa na Jet Li kwenye movie ya The Bodyguard From Beijing Kipindi hicho...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sultani wa Zanzibar alikaa Tanganyika kwa siku 5 kabla ya kuelekea Uingereza kwa hifadhi ya kisiasa

    SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid. TOKA MAKTABA: AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Afanya ya Kushtukiza Usiku Miradi ya BRT, Aagiza Ikamilike Kabla ya Msimu wa Mvua za Masika

    WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Muache kabla hajakuacha, hata kama bado unampenda

    Sita wakumbusha tena ukiwa kwenye mahusiano na unaona ume jaribu kila njia kuresolve matatizo yenu lakini bado unaona upendo umeegemea upande mmoja au mmoja wenu ni kama hayupo tayari kuruhusu suluhu ni kheri umuache kabla ajakuacha ita kusaidia sana . Hili naandika nikiwa na experience nalo...
  10. JamiiForums Tanzania Mapenzi! mapenzi! mapenzi! Nimetamka mara tatu. Sasa ole wako kijana! kabla hayajakukuta pitia hapa

    Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao.. Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes. 2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being single. 3,, The best friend of yours is your lover so be careful not to pass your only secrets to...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi mlioko Marekani rudini kabla ya Trump kuapishwa.

    Wasiwasi umetanda katika baadhi ya Vyuo Vikuu nchini Marekani huku vingine vikitoa tahadhari kwa Wanafunzi wa Kimataifa kurudi vyuoni kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa nchi hiyo Donald Trump. Kwa mujibu wa Shirika la habari la CNN, Vyuo hivyo vina wasiwasi wa kuwepo kwa marufuku ya safari...
  12. JamiiForums Tanzania Olengurumwa atoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi

    Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi: Kabla ya Maridhiano huwa tunaanza na Muafaka, Chadema tuonyesheni huo Muafaka wa Kitaifa vinginevyo hayo makubaliano yenu hayako kisheria!

    Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa kisiasa Mwabukusi amewataka Chadema watuonyeshe huo Muafaka wa kitaifa Ni Ukurasani X Anaanza kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wachunguzwe vizuri kabla ya Mechi

    Kuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano. Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
  15. JamiiForums Tanzania kabla ya kumaliza mwaka nawapa hii code jinsi ya kuishi na wanawake ifuatilie ufurahie edeni

    Nyuki ni wazuri sana kwa kuwahutupa asali ila nyuki huyo huyo ukishindwa kufuata tahadhari anaweza kukuua kukupofusha macho au mambo kama hayo mengi sana .Nduguyenu nimekuja na code muhimu sana kwa wanaume ili waishi vizuri na wapenzi wao au wanawake wote kiujumla na hizi code ndio kuishi nao...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Maneno ya hekima ya mzee Kingunge (rip), na yaliungwa mkono na Mbowe kabla hajalamba asali.

  17. JamiiForums Tanzania Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  18. JamiiForums Tanzania Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

    Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini kila ikifika Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Lazima kutokee Mikwaruzano Ya Kisiasa CHADEMA Ya FAM Hii ndo SIRI ILIYOJIFICHA

    Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Na sasa ni kweli pia...
  20. JamiiForums Tanzania Beginners: Tujifunze kufanya Diagnosis ya Magari wenyewe kabla hatujaenda Gereji!

    Habari wakuu. Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance). Nadhani wengi tumewahi kusikia hii term OBD ambayo ni kirefu cha on-board diagnosis. Sasa tukienda gereji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…