1965-Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 2,520,904 sawa na asilimia 96.46
1970- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 3,220,636 sawa na asilimia 96.7
1975- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 4,172,267 sawa na asilimia 93.25
1980- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 5,570,883 sawa na...