jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe

    Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;- Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli, Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la Maajabu Ya Dunia , Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu...
  2. Naombeni jina la wimbo huu na aliyeimba

    Salamu ndugu zangu, na imani una siku njema. Naomba unisaidie jina la huu wimbo na aliyeimba.🫶
  3. Sababu 5 zinazofanya usajili wa jina la biashara kuwa muhimu kuliko unavyofikiria

    usajili jina la biashara ni hatua muhimu kwa mtu anayepanga kuanzisha au kukuza biashara yake. Hizi ni faida zake: 1. Hulinda jina la biashara yako Jina likisajiliwa, linakuwa salama na linapunguza uwezekano wa kutumiwa na mtu mwingine. 2. Huongeza uaminifu kwa wateja Wateja huamini zaidi...
  4. Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  5. Njooni Tusemezane sasa, Neno au jina la Walokole limetokea wapi, na linamaanisha nini kwenye imani?

    Neno la Bwana katika Injili iliyoandikwa katika Mathayo 28: 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Je neno au jina la Walokole limetokea wapi? Je kuwa Mkristo ni hatua ya awali kisha ulokole ni daraja la juu? Je ni...
  6. Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa?

    Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa? Watu wengi huwekeza muda, fedha na ubunifu kujenga biashara zao, lakini husahau kulinda kitu cha kwanza kinachowatambulisha, ambacho ni jina la biashara. Fikiria hali hii. Umeanzisha biashara, umetengeneza nembo, mabango, kurasa za mitandao...
  7. Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin Nalimi Kisandu(CIVILIAN-COIN) kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo na hawaitambui Mahakama.

    Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo. Kitambulisho Cha NIDA no. 19800628-33116-00002-22. Jina: Deogratius Nalimi Kisandu Ndicho kinachotakiwa kuhaririwa jina Moja, kutoka jina la ubatizo la kwanza "Deogratius" na kuweka jina jipya maarufu...
  8. K

    Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

    Amani iwe nanyi wapendwa.......Back in days mimi ni under 30 leo nitatoa ushuhuda kidogo kuhusu huyu Yesu kristu aketiye mahali pa juu sana mbinguni 1. Niliitwa nikiwa chini kabisa · Zaburi 40:2 – "Akanitoa katika kisima cha uharibifu, na katika matope matepete; akasimamisha miguu yangu juu ya...
  9. Dully Sykes alipotaja jina la Makonda naye akazomewa

    Tukio hilo limetokea kwenye usiku wa tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lilifanyika Mlimani City, Jijini Dar es salaam.
  10. M

    Unadate na Mwanamke au mmama ambaye amechora tattoo ya jina la la ex wake kwenye paja. Wewe utakuwa na matatizo

    Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana. Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi. Are you insane?
  11. Hivi ni nani aliyempa yule kiboko wa kule Tabora jina, Fiston Mayele?

    Yule kiboko alaiyewafanya watu kitu mbofu kule mkononi alipewa na nani jina Fiston Mayele? Nijuzwe!
  12. Mbwa wa superbug Boston texas terrier apewa jina inclusive la seran member wa jamiiforums.

    Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
  13. Nani Anabisha Kwamba Jina Tanganyika ni Jina Tukufu?

    Hili jina lina utukufu fulani hivi na vyote vinavyotajwa na jina hili ni vitu muhimu kabisa na vina impact kubwa. Haya twende kazi" Tanganyika Law Society (hawa watu mziki wao mnaujua); International School of Tanganyika (hii shule iko proper sana); Tanganyika packers (yuko Mwamposa pale...
  14. Korea kaskazini imezindua simu ya kwa jina : 🇰🇵 DPRK Smartphone name Chongsong mean green pine

    Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi. Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta wakazinunua ili wananchi wake watumie.
  15. JF tunaomba kuuliza swali hivi TISS hipo kweli ?.Tusije kuwa na jina tu.

    Nimefanya kazi ila sio jambo la kuweka wazi. Maana kuna mambo yanaweza na yaliweza kufanyika mpaka ugaidi wa kulipua ubalozi wa USA ni wazi TISS ilishakifuga pale. Kenya walijiongeza na wakajisahau ila tokea lile tukio la mwisho wakajua hii idara sio siasa. Mpenda nchi anaweza kusema ukweli...
  16. Mwenye kutengeneza kitabu kwa jina :Hofu ya kumiliki madaraka mwisho wake.

    hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari. Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa. Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
  17. Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

    Naona imekuwa trend siku hizi kwa Nabii, Mtume, Mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho kuitwaa Daddy! Dadii una mgeni... Dadii tukuletee chai... Dadii Mzee Fulani amekuja tayari... Masanja anaitwa daddy Myamba anaitwa daddy Mwamposa anaitwa daddy Malisa anaitwa daddy Yule wa...
  18. "Pamba Jiji" wabadilishe jina waitwe "Mwanza Jiji"

    Pamba United ilikuwa timu iliyokuwa inamilikiwa na chama cha ushirika cha Nyanza Cooperative Union, ambacho kilikuwa kinajihusisha na zao la pamba tu. Timu hii ilipofufuliwa tena chini ya Halmashauri ya jiji la Mwanza, imeendelea kutumia jina la Pamba ambalo halina uhusiano wowote na timu hiyo...
  19. Wanawake wenye vipato wanawapotosha Wanawake Maskini. Sasa mwanamke aandike mali kwa jina lake kwa kipato kipi?

    WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile yenyewe. Yaani mwanamke tegemezi tunazungumzia mwanamke asiye na kazi, asiye na elimu, asiye na ujuzi...
  20. TPDC mnafahamu kuwa matapeli wanatumia jina lenu au mpaka siku litokee

    Siwezi shangaa maana kwa utawala huu wanaimba na kuabudu walicho ambiwa na mtawala. Sasa kuna nguvu kubwa sana ya matepeli na inaonesha wale wale mlio mleta na ndege yenu. Hawa ni kutoka kule na siwezi kuonesha IP ila inatoka mlipo mleta na ndege yenu kuwa urafiki mzuri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…