jiji

Jiji refers to an ethnic and linguistic group based in Kigoma Region, Tanzania.
If tribes are classified by language and not by race, Bajiji (Jiji people) are part of Baha (Ha people) since their language is the same. Traditionally they were organized into a separate kingdom, Bujiji (Swahili Ujiji, same as the Arab town of Ujiji near Kigoma), and formed part of Buha (Uha, Ha territory) with other kingdoms: Heru, Bushingo (Ushingo), Ruguru (Luguru), Muhambwe and Buyungu, all of them in Kigoma Region, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  2. M

    Ni jambo zuri Jeshi la Polisi kuanza operation maalumu Jiji la Dar es Salaam

    Pongezi kwa jeshi la Polisi kwa kuona umuhimu wa kufanya ilo 1. Dar es Salaam sio yenye uwalifu pekee. Labda kama wanaanza apa alafu wandelee Mikoa mingine 2. Pili wezi gani wanaotafutwa? i . Wakuiba vipuri vya magari majumbani mwa watu? ii. Wakuiba Tv majumbani mwa watu iii. Wezi wa...
  3. Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

    Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi. Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji, Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
  4. Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  5. Niende mkoa au jiji gani kwaajili ya kufanya biashara ya mitumba?

    Habari ya majukumu wanafamilia wa JF, natumai nyote mpo wazima wa afya na poleni kwa walio wangonjwa. Nimekuja kuomba msaada wa mawazo ya kibiashara kwa mkoa au jiji lililo changamka katika Sekta ya Biashara. Mimi ni kijana ambaye kwa sasa naishi Kigoma mpaka hapa nahisi napoteza welekeo...
  6. J

    Mbunge Mavunde agawa tani 29 za saruji kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AGAWA TANI 29 ZA SARUJI KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA NA ZAHANATI DODOMA JIJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde leo amekabidhi saruji tani 29 kwa Afisa Elimu Msingi na Afisa Elimu Sekondari ili kusaidia ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za msingi...
  7. Plot4Sale Unahitaji Nyumba/ kiwanja/Shamba ndani ya jiji la Mwanza?

    Hello JF. Karibu tukuhudumie katika Mahitaji ya kununua Nyumba katika maeneo mbalimbali ya jiji kama igoma nyegezi kisesa n.k Kununua viwanja na mashamba ndani ya jiji la mwanza sehemu kama Fumagila bado kuna mashamba makubwa yanahitaji wanunuzi Viwanja vipo vyenye hati na visivyo na hati...
  8. J

    Mbunge Mavunde akabidhi madawati 590 kwa Shule za Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MADAWATI 590 KWA SHULE ZA DODOMA JIJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde amekabidhi madawati 590 yenye thamani ya Tsh 70,000,000 kwa shule za Msingi Dodoma Jiji ili kukabiliana na upungufu wa madawati uliosababishwa na ongezeko kubwa la usajili wa...
  9. Meya wa Temeke aomba Temeke iwe jiji

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Mtinika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuipa hadhi ya kuwa Jiji Manispaa ya Temeke. Mstahiki Meya ametoa ombi hilo leo mbele ya vyombo vya habari wakati wa baraza la Madiwani lililoketi kikao cha robo ya...
  10. Uongozi wa DAWASCO umeshindwa kufanya kazi ipasavyo na kusababisha wakasi wa jiji la Dar Es Salaam kunywa maji machafu

    Wakazi wa Dar es salaam kwa siku mbili mfululizo tunachota maji yaliyo na vumbi katika mabomba ya Dawasco.tunaomba uongozi wa Dawasco iwajibike kwa uzembe wa kushindwa kuyatibu haya maji,wananchi tuna wasiwasi na haya maji yanaweza kuwa na wadudu waenezao magonjwa
  11. Biashara ya Bajaji ya Abiria kwenye Jiji la Arusha

    Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha? Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naombeni jamani! Pia soma: Wazoefu wa biashara ya boda...
  12. Naombeni kazi ya utabibu kwa part time ndani ya jiji la Dar es salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa Wana JF, Mimi ni kijana mwenye taaluma ya utabibu na Nina uwezo wa kufanya kazi hyo kwa miaka 2 Sasa. Nina uhitaji wa Ajira hyo ndani ya jiji la Dar es salaam Mana ndipo makaz yang kwa Sasa. Kama waweza kunisaidia hata connection pia nitashukuru Sana. Hivo nahtaji...
  13. J

    Bodi ya Nyama yasema Polisi waliteketeza nyama yote iliyokamatwa ila miguu ilichelewa kuungua ndio maana Meya wa Jiji aliikuta

    Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa. Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni. Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu...
  14. Malumbano la hoja: Mchangiaji ashangaa jiji la Dar kuvunjwa kwa kisingizio cha kubana matumizi , ashangaa Chanika kuwa jiji magomeni kuwa nje ya jiji

    Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji . Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi...
  15. Ofisi ya Ardhi Jiji la Dodoma imezidiwa na wateja au kuna uzembe?

    Wanabodi, napenda kupata uzoefu kwenu kuhusu hali ya msongamano wa watu wa kila siku za kazi za juma katika Idara hii ya Ardhi Jijini Dodoma ambayo haipunguwi kama wagonjwa wanaokwenda kutibiwa hospitali wakati wa mlipuko. Nimekuwa mhanga pia wa kuhudhulia katika ofisi hiyo kwa Jambo moja...
  16. Hongera DAR jiji kupata magari ya kuzoa taka; bado magari ya kufagia barabara sasa

    Kwa kweli moja ya vitu ambavyo ni kero kwenye jiji la Dar es Salaam na Manispaa zake ni hawa wafagizi wa barabara ambao kwa kweli hawafanyi kazi kwa ukamilifu kwa kuwa barabara nyingi bado ni chafu sana zikiwa zimejaa michanga na vumbi. Hii inatokana na ukweli kwamba haiwezekani manpower...
  17. Baada ya kuvunjwa kwa jiji la Dar, Serikali ipitie upya viongozi hawa

    Baada ya Rais kulivunja jiji la Dar, nini hatima ya meneja wa Tanesco mkoa wa Kinondoni, Ilala, na Temeke? Nini hatima ya RPC mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Nini hatima ya meneja wa TRA mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Je, ni nini hatima za wakuu wa idara za Halmashauri mfano afisa...
  18. J

    Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

    Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu. Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
  19. J

    Waziri Jafo: Kila manispaa mkoani DSM itarithi mali za Jiji la Dar es Salaam lililovunjwa zilizo katika maeneo yao

    Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
  20. Kwanini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imevunjwa?

    KWANINI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMEVUNJWA Ni Mawazo Yangu #Joseph #Yona Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:- Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…