jifunzeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wahaya ndugu zetu hasa mnoishi Bukoba MC jirekebisheni, jifunzeni kuishi na Watu wa jamii zingine vizuri

    Wasalaam Alleykhum Ndugu zangu Sie tulikuwa tukisikia tu kuwa kufanya Biashara katika kanda ile ya ziwa itawezekana ila kwa Bukoba kutakuwa kugumu, hata kupewa eneo tu au frem itakuwa changamoto haswaa Wallah,tumekutana na adha hiyo na tukarudi Mwanza center na tayari tushakuwa na mzigo mkubwa...
  2. Kabla ya teknolojia tuliamini gold ndio ulinzi wa pesa ila kwa sasa jifunzeni cryptocurrency

    Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani. Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku. Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi. Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au...
  3. Wana JF jifunzeni kutoka kwangu.(somo nimelipata)

    Bila shaka somo nimelipata sasa.. Binafsi nilikuja humu kwa nia ya kutaka kujifunza, lakini pia kuweza kutoa kidogo nilicho nacho ili niweze kusaidia wengine huku nikiwa bora zaidi. Ofcourse mimi sio mtakatifu nina mapungufu yangu kama kila mtu.. Ila leo ndio lile somo kuu limeniingia Ya...
  4. Mr. Cheeks atakuwa pale mtaa 107 ya UFM na SINEMA ZETU, watangazaji wa kibongo jifunzeni vile mnyamwezi anavyohojiwanga.

    Saa tisa juu ya alama Jabir Saleh anaanza interview na gwiji Mr. Cheeks. Sasa wale watangazaji wasiojua kuwahoji wageni kwa kiingereza wapate kujifunza kitu. Cc Alexido jz instagram, Seran.
  5. K

    Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  6. Viongozi wa Chadema badala ya kuomba michango mitaani jifunzeni kwa Madam Esta Bulaya amewekeza kwenye kilimo cha kisasa

    Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini. Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu...
  7. G

    Bongofleva Jifunzeni kwa watu waGospel

    Jana kulifanya tamasha kubwa sana la mziki la CRDB- Imbeju na Trey Songz alikuwa ndio kivutio. Mjadala mkubwa umekuwa haswa kwenye utofauti wa uimbaji wengi wakihoji mbona alvyopanda Trey Songz mziki ulikuwa mzuri sana, sound was sounding, tofauti na ilivyokuwa walivyoimba wabongofleva. Wadau...
  8. U

    Democratic (USA) walitumia mahakama kumthibiti Trump, naye akatumia mahakama kujijenga kisiasa, Akashinda. CCM Jifunzeni

    Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
  9. CCM kuhusu CHADEMA jifunzeni kwa mfano wa Kaini na Habili

    Kwenye Biblia kuna masimulizi ya wana wawili wa Adamu na Hawa, ambao ni Habili na Kaini. Biblia inasimulia kuwa Kaini ambaye alikuwa ni mkubwa alikuwa Mkulima wakati mdogo wake Habili alikuwa ni mfugaji. Inasemwa kuwa Kaini aliona wivu jinsi mdogo wake Habili sadaka zake zilivyokuwa...
  10. HOJA Msiweke namba za simu kwenye taasisi zenu ili hali mnaona kabisa hamna mpango wa kuzipokea na kuwasaidia watu wapate huduma, mnaudhi sana

    Nianze kwa kuwapongeza customer care wa kwenye private sectors Wapo very active kupokea simu na kutoa maelekezo ya huduma wanazo zitoa kwa wateja hapa nawajumuisha na customer care wa TANESCO. Nije kwa hawa customer care wetu hawa, wanaoweka namba za simu ili watu wapge wapate maelekezo ya...
  11. Wakati wako ukishapita umepita waiting for tommorow is the biggest mistake tunaojutia sisi mabraza wenu wa 35 going to 40

    Wadogo zangu kama una mpango wa kufanya jambo aiseee lifanye mapema ukianza kufika aged from 35 haki ya nani unaanza kujilaumu mwenyewe polepole Sisi ma braza wenu saivi wengi tumeanza kujuta tangu tumeanza kuingia 35 going to 40 Kale katabia kaa waiting for tommorow to do something ndo...
  12. Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

    Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
  13. K

    Prof. Tibaijuka kamzidi Samia kwa kipaji. Jifunzeni

    Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny
  14. Bodaboda wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa wenzenu wa Rwanda.

  15. Mnaotetea mkidhani mpo salama jifunzeni kwa huyu jamaa

    Huyu mwamba pamoja na kuandika taarifa za kampeni za CCM wakati wa kipindi cha kampeni amefunguliwa mashtaka ya uhaini. Kwa mnaotetea mfumo wa ukandamizaji mkidhani haitawakuta, siku yenu itafika. Utakamatwa ukiendesha bodaboda yako kwa kosa kidogo tu la barabarani, na utapigwa na kutupwa huko...
  16. TBC jifunzeni Kutoka kwa CGTN: Badala ya Kuisifu serikali, tumie Nguvu zenu pia kukuza Ubunifu na Utamaduni wa Kitanzania

    Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
  17. U

    CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  18. Wahubiri jifunzeni kwa Jimmy Lee Swaggart

    Jimmy Lee Swaggart muhibiri kutoka Nchini Marekani na Mjuzi wa muziki. Nilichelewa kumjua Jimmy Swaggart lakini Punde baada ya kumfahamu uelewa wangu juu ya maandiko Matakatifu, juu ya msalaba na Juu ya wokovu uliabadilika kabisa. Moto wa kuhubiri injili uliwaka ndani yangu. Niliamua kuanza...
  19. Wananchi jifunzeni kuishi na serikali yenu kwa akili, usisifu umeme ambao haupatikani mtaani kwenu,

    Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
  20. Russia na Vladimir Putin, jifunzeni kwa Israel ya Netanyahu.

    Game inaanza tu. Maafisa wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi wanafyekwa kule iran. Wanasayansi wa maswala nyuklia nao wameliwa vichwa. Putin unatuangusha sana. Kumwacha Zeleskyy kuendelea kuzurura kote ulaya ba marekani kuomba msaada wa kupambana na nyie mjue hatuwaelewi!! Malizaneni na huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…