jeshi

  1. JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu uzinduzi wa huduma ya tiba ya Dialysis Hospitali Kuu ya Jeshi

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika jitihada za kuboresha huduma ya Afya linatarajia kuzindua Idara mpya ya huduma ya Tiba ya Dialysis katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo. Shughuli za uzinduzi huo zinatarajia kufanyika kesho Jumatano tarehe 23 Oktoba, 2019 kwenye Hospitali...
  2. JamiiForums Tanzania Mkusanyiko wa vitabu vya seal team six epubs

    SEAL (Sea Air Land) Team Six ni kikosi maalum cha Marekani katika kupambana na majanga ya kipekee. SEAL team Six hupitia mafunzo magumu mno, hapa naweka vitabu vya kuhusu Seal Team Six. NAONA JF HAIKUBALI MATERIAL YA extension ya EPUB. Mkuu Invisible na Maxence Melo tuongezeeni hii kwenye JF ...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…