jeshi

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Washukiwa wanne wa Al-Shabaab wauawa na Jeshi la Kenya

    Wanajeshi wa Kenya Alhamisi wamewaua washukiwa wanne wa wapiganaji wa kikundi cha Al-Shabaab na kumkamata mmoja wao baada ya tukio la kushambuliwa basi katika Kaunti ya Lamu. Mratibu wa Mkoa wa Pwani John Elungata ametoa ripoti hiyo masaa kadhaa baada ya shambulio la kushitukiza katika eneo la...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, Process nzima ya Kulipia LOSS RIPORT kupitia mfumo wenu mtandaoni ni Zigo kubwa kiuchumi kwa Watanzania wanyonge

    Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kwa kushirikiana na Government e-Payment Gateway (GePG), limeanzisha mfumo wa upatikanaji wa fomu ya upotevu (Police Loss Report), kupitia mtandao wa https://Lormis.tpf.go.tz na kufanya malipo kwa njia ya...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo awachana Mbinga Vijijini na kuwapongeza Mbinga Mji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera. Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika. Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi wengine 22 wauawa mjini Beni DRC. Jeshi la nchi hiyo lalaumiwa kwa kushindwa kuwadhibiti waasi

    Waasi wa kundi la ADF wameshambulia tena mji wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa watu 22 katika eneo la Ndombi na Kamango. Waasi hao wanaelezwa kuwashambulia wakaazi hao kwa risasi na kuwauawa wakiwemo wanawake na watoto huku wengine wakijeruhiwa hata hivyo jeshi la...
  5. JamiiForums Tanzania Ndege ya C-130: Mabaki yake yapatikana yakielea katika maji Chile

    Maafisa wa Chile wanasema kwamba wamezuia mabaki yanayoaminika kutoka katika ndege ya kijeshi iliotoweka siku ya Jumatatu. Wanasema kwamba mabaki hayo yalipatikana yakielea kilomita 30 kutoka eneo ambalo ndege ya wanahewa wa Chile aina ya C-130 Hercules inayobeba mizigo ilikuwa na mawasiliano...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni atoa mitaji kwa wake wa Maafisa wa jeshi

    Rais Museveni ametenga fedha maalumu kwa ajili ya kuongeza vikundi vya ujasiria mali vya wanawake wa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) ili kuboresha zabuni yao. Gen Muhoozi alisema Rais Museveni alifikia uamuzi huo baada ya majadiliano aliyofanya na Maofisa wa Jeshi...
  7. JamiiForums Tanzania DRC: Jeshi latangaza kulitimua kundi la waasi kutoka Rwanda

    Jeshi la DRC latangaza kulitimua kundi la waasi kutoka Rwanda Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza kulitimua kundi wa waasi wa Kihutu kutoka Rwanda kutoka katika ngome yake mashariki mwa nchi, wiki chache baada ya kumuuwa kiongozi wake. Msemaji wa jeshi hilo Dieudonne...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapatia jeshi la polisi jengo la ghorofa nne ilii wahamie Dodoma

    Hapa ndipo itakapokuwa makao mkuu ya jeshi la polisi Tanzania mkoani Dodoma.
  9. JamiiForums Tanzania Police wapewa jengo la idara ya maji (Duwasa) kua makao makuu ya jeshi hilo Dodoma

    Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma. Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi nchini kutumika na CCM kuwabakiza madarakani ni uvunjifu wa Katiba ya nchi

    Tukiisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, inasema wajibu namba moja wa Jeshi letu nchini kuwa ni kuwalinda raia na mali zao Jeshi hilo halipaswi liwalinde watawala, bali linatakiwa litimize majukumu yake kwa weledi bila kupendelea upande wowote Sasa yanapotokea...
  11. JamiiForums Tanzania Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

    iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini. Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa? Naomba kuwasilisha...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuwashindwa Al-Shabab, jeshi dhaifu la Kenya lageukia Raia

    Teen boda boda rider shot dead by navy soldier in Mombasa A 19-year-old boda boda rider was on Wednesday morning killed by a Kenya Navy soldier in Mtongwe, Mombasa. Leonard Komora was gunned down at around 6.45am outside the Kenya Navy staff quarters under unclear circumstances. The young man...
  13. JamiiForums Tanzania Exclusive: Uhuni wa CCM uchaguzi Serikali za Mitaa huu hapa

    MKAKATI WA MSIMAMIZI MSAIDIZI KUMHUJUMU MGOMBEA WA CHADEMA KITONGOJI CHA STOONI ULIANZISHWA MAPEMA. Mkakati wa Msimamizi Msaidizi wa Kijiji Cha Nyangoto Kata ya Matongo kuhusu uchaguzi kwenye kituo cha stooni ulianzishwa mapema. Kitongoji cha stooni kilichokuwa kinagombewa na mgombea wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Bolivia ajiuzulu na kutanganza uchaguzi mpya kutokana na machafuko nchini humo

    November 10, 2019 La Paz, Bolivia Jeshi lamlazimisha Rais kujiuzulu Bolivia Rais wa Bolivia Mhe. camarade Evo Morales ameachia ngazi bila kutegemea leo jumapili na kutangaza kujiuzulu kufuatia mbinyo wa kisiasa baada ya kudai kuwa ameshinda uchaguzi kwa kipindi cha nne, uchaguzi na matokeo yake...
  15. JamiiForums Tanzania Taratibu za jeshi la polisi zinaruhusu hii?

    Kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii ukiwa umevaa kombati?
  16. JamiiForums Tanzania Moja kati ya matukio hodari kabisa ya jeshi la Tanzania

    Ilikuwa siku ya Jumapili ya tar. 8 Machi, mwaka 1987, saa nane za usiku, katika viunga vya jiji la Dar es Salaam, kambi ya wapigania uhuru wa Afrika Kusini chini ya Chama cha ANC iliyokuwa Dakawa Morogoro, ilikuwa tayari imepika wapiganaji wa kutosha walioitwa Umkhonto-Wesizwe, ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania Lijue chaguo la Samson kwenye jeshi la Israel “the Samson option”

    Hii Ni sera ya kiulinzi ya taifa la israel na jeshi lake ambayo inasisitiza na kutamka wazi kuwa ikiwa Israel itashambuliwa na aui na hapohapo marafiki zake wakubwa kama USA uk German Italy France na Canada hawatamsaidia wakiona taifa la Israel linakaribia kuangukia mikononi mwa adui huku rafiki...
  18. JamiiForums Tanzania Maamiri Jeshi Wakuu Ndani Kombati Rasmi Za Kijeshi

    Wadau. Tafadhali fungua kiambatanisho.
  19. JamiiForums Tanzania Masauni aliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vyama vya msingi waliotoroka na bilioni 1.2 za wakulima wa korosho

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Newala baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Aziza Mangosongo. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni...
  20. JamiiForums Tanzania Wajibu wa Jeshi la Polisi katika Chaguzi za Kidemokrasia

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalinda Haki za Binadamu za kila mtu katika nchi hii. Hii inajumuisha haki ya kupiga kura, uhuru wa kujieleza na uhuru wa kujumuika. Chaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia. Wananchi wote bila ubaguzi wana haki ya kuamua na kuchagua viongozi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…