jeshi

  1. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Hezbollah auawa na jeshi la Israel

    Awahishwa kwa mabikira... The IDF on Tuesday announced it had assassinated a senior Hezbollah commander for the Lebanon coastal region, equivalent to the rank of an Israeli brigade commander. According to the IDF, Ismail Yusef Baz had served for decades with Hezbollah in a variety of posts...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi letu lina ndege za kivita zisizo na Rubani?

    Swali chokonozi na fikirishi toka kwa Mjanja M1 kwenda kwa wajuzi wa mambo nchini. Jeshi letu lina Ndege za kivita zisizotumia Rubani? Kwa anaejua tunaomba miongozo tafadhali....
  3. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yakabidhi msaada wa vifaa vya kisasa vya kupima ulevi wa madereva kwa Jeshi la Polisi

    Meneja Mawasiliano (Corporate Communication and Country Liaison Manager) wa Barrick, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya vifaa vya kisasa vya kupima ulevi kwa madereva vilivyotolewa na Barrick kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani kanda maalum ya Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Ardhini la Israeli IDF limeshindwa kuwakomboa Mateka Rasmi

    Taarifa zilizopo Rasmi ni kuwa IDF imeviondoa vikosi vyake vya ardhini huko Gaza leo ikiwa ni miezi 6 tangu kuingia Gaza kwa lengo la kwenda kuwaokoa mateka wa kiyahudi waliotekwa Oktoba 7 2023. Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi. IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari in a press statement says Israel is...
  6. JamiiForums Tanzania Video: DRC itakuwa ni jeshi dhaifu kama inapokea wapiganaji namna hii katikati ya uwanja wa vita. M23 na Kikundi cha magaidi wameitesa DRC siku ya leo

    MASISI DRC: Mtu 1 amekufa (msichana mdogo) na kujeruhiwa katika kuanguka kwa bomu jipya karibu na Sake Alhamisi hii, Aprili 4, 2024. Bomu hilo limerushwa na wapiganaji wa M23 kutoka vilima vya BWEREMANA na Muremure. ..... Pia mbali na M23 kuna Kikundi cha magaidi ambao wanajinasibisha na...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128, wamo wa Dawa za Kulevya, Gongo Lita 223

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

    Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati. Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui...
  9. JamiiForums Tanzania Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel. -Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
  10. JamiiForums Tanzania Yao Kouassi Attohoula anaenda kukohoa cross ile jeshi 'oho' 'oho'

    Moja kati ya best commentators creative sana kwenye mpira ni huyu mwamba Ayubu hinjo! Moja kati ya goli ambalo huwa ninaenjoy sana kutazama 👇👇👇
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  12. JamiiForums Tanzania Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    "Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha. Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
  13. JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video...
  14. JamiiForums Tanzania CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Kwako kichele CAG Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel imebidi liondoke kwa mara nyengine kutoka hospitali ya Alshifa baada ya hasara kubwa

    Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari bingwa. Mnamo mwezi Novemba mwaka jana hospitali hiyo ilikuwa ni uwanja mkubwa wa kivita ambapo jeshi la...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

    Polisi wanaingia kazini kuchunguza madai ya Makonda kutishia kumuua Salah.
  17. JamiiForums Tanzania ACT: Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha linawakamata wote waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Jimbo la Chaani

    Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo...
  18. JamiiForums Tanzania Wapalestina wakataa kusimamiwa na jeshi la Waarabu kutoka mataifa tofauti

    Waarabu wamekaa wakawaza kubuni jeshi la pamoja ambalo wanajeshi wake watatokea kwenye mataifa ya kiarabu, hili jeshi litumike kudumisha amani Palestina na kulinda chakula cha misaada ikiwemo ugavi wake..... Magaidi yamehamasisha Wapalestina wakatae hili wazo, hivyo Wapalestina waendelee...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa jeshi la Iran wauawa kwenye shambulizi la Israel kule Syria

    Hakuna kupumzika, kote mnapigwa.... Urusi walijifanya shobo na nyie watu, wakapokea kibano, huyu Iran wenu mnayemtegemea, naye hasazwi..... A series of airstrikes targeted sites belonging to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) in the Deir Ezzor region of eastern Syria on Monday...
  20. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msipoleta Katiba Mpya, mtatuletea Utawala wa Jeshi huko mbele

    Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao. Serikali isikojirudi na kutengeneza idara imara za kidemokrasia itatoa mwanya huko mbele kama zile nchi tunazoona wananchi wameona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…