jaji

  1. Wazo Mbadala: Rais Samia Aboreshe Tume ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya kwa Kufuta Tume ya Jaji LIla

    Baada ya kusikiliza kwa makini na kuchambua hotuba mbili za Rais Samia, sasa natoa mapendekezo katika hatua tatu. Katika hatua ya kwanza, napendekeza kwamba: majukumu ya "Kamati ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya" yafafanuliwe ili kukidhi matarajio ya wananchi wengi yenye kujikita kwenye...
  2. R

    Jaji Mkuu Masaju tatizo ni kuwa mnawaona watanzania wote ni wajinga! Mahakama iko compromised, si lazima kusoma hukumu kuliona hilo, tumesikiliza!

    Hata mtoto wa IJA aliyefuatilia mwenendo wa kesi ya Lisu , hata yule mwenye very basic education ya sheria, hata yule anayesoma hukumu TANZLII bila kwenda shule ya sheria, anaona ukweli kuwa kesi ya Lisu imekuwa flawed! Wewe ndiye una tabia ya hovyo kushindwa kuuongoza muhimili wa mahakama...
  3. Jaji Masaju: Tusiruhusu Taifa letu kutawaliwa tena na Wakoloni

    ''Wakati ambapo taifa tunataka libaki kuwa huru, libaki huru lakini likiwa na umoja, hii ndio utambulisho wetu katika jumuiya ya mataifa. Taifa huru lakini lenye umoja. Kwa hiyo tuchukue kila zinazowezekana hatua halali kuimarisha uhuru wetu na umoja wetu. Tusiruhusu tuje tutawaliwe tena na...
  4. K

    Jaji mkuu naye ni mropokaji na chawa ! Porojo tu

    Jaji wa maneno maneno hana vitendo. Zamani kulikuwa na majaji wenye kuheshimiwa sasa tuna majaji machawa chawa 😔
  5. S

    Natamani kuona maisha ya Jaji Nduguru na Katuga kwa sasa hasa wanapokuwa mitaani na sehemu zingine kama maofisini, n.k

    Baada ya kukamilisha kazi waliyokuwa wamepewa, natamani sana kuona jinsi watu hawa wanavyoishi na kupokewa na jamii wakiwa maofisini, mitaani na sehemu nyinginez kama kwenye misiba, n.k
  6. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  7. R

    Jaji Mkuu, Mh Masaju, kwanini hukumu ya Tundu Lisu haiko mtandaoni, TANZLII? Mnaficha nini?

    1. Means mnajua ukora mlioufanya,.mnaficha aibu yenu 2. Mnajua ile siyo hukumu, ni hotuba ya Ndunguru 3. Mnajua dunia inataka kuisoma maana AI will translate it in all languages 4. .....ongeza
  8. O

    Tungekuwa na wanasiasa wanaotuliza akili basi mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE tungeyatumia kupata mabadiliko (Reforms)

    Ninaandika hivi kuwakumbusha wanasiasa na umma wa Watanzania kwamba Tume ya Jaji CHANDE ilipendkeza kuwa na Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa ,Kuwa na Katiba mpya ifikapo 2028 na kwamba chaguzi zijazo za 2029/2030 zifanyike chini ya Katiba mpya,Fidia kwa waathirika nk. Lakini kwa...
  9. K

    Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga

    Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga. Tumefika wakati hata watu wenye akili zao wanajifanya wajinga ili wapande vyeo maana huu utaratibu wa udikteta mchara tulio nao huwezi kuwa na akili ukapendwa. Ndiyo maana wafanyabiashara wengi na CEO kama...
  10. Jaji Mkuu George Masaju: Uongozi Wako wa Mahakama Umetuaibisha WASABATO Tunaoheshimika kwa Kusimamia Haki.

    Sio uongo kuwa jamii ya walio wengi hapa Tanzania inaamini kuwa Waumini wa dhehebu la Wasabato ni watu wenyetabia ya kusimamia Haki na Ukweli. Kitendo cha George Masaju kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu kilileta matumaini kuwa sasa mahakama zetu zitakuwa TUKUFU kama zinavyo itwa lakini kume ndio...
  11. Jaji Ndunguru na Katuga ipo siku yatawakuta kama kilichomkuta jaji aliyemuhukumu kifo Saddam Hussein

    "Historia haijawai kuwa nzuri Kwa majaji wanatoa hukumu ambazo sio za haki"..Lissu. Hawa vibaka wawili Ndunguru na Katuga ipo siku yatawatokea puani. Nashangaa jana kwenye msiba watu wanasema Ndunguru afukuzwe kanisani. Ata huyu kibaka Katuga Msikitini anaenda kufanya nini? Mwaka 2006 jaji...
  12. Ulofa wa Jaji Ndunguru Huu Hapa: “Haiwezekani Lissu Akavuruga Uchaguzi kwa Njia za Amani”

    ULOFA WA JAJI NDUNGURU: ETI “HAIWEZEKANI LISSU AKAVURUGA UCHAGUZI KWA NJIA ZA AMANI” Napendekeza kuwa Jaji Ndunguru anasumbuliwa na ulofa wa kifalsafa, yaani, philosophical illiteracy, katika kipengele Cha falsafa inayochunguza uhusiano uliopo kati ya sababu na matokeo (etiology). Hoja yangu...
  13. Jaji Malata: Namshukuru Rais Samia kwa kuwanunulia mahakimu pikipiki

    Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Songwe Mhe Malata amekabidhi pikipiki sita (6) kwa mahikimu wa mkoa wa Songwe. Aidha Mhe Jaji Marata amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia kwa kuidhinisha fedha zilizowezesha upatikanaji wa pikipiki hizo. Chanzo: ITV online
  14. K

    Jaji Ndunguru anasubiri kupandishwa cheo

    Jaji chawa Ndunguru anasubiri kupandishwa cheo kwasasa majaji wanatafuta kazi ya wanasiasa nao waweze kuiba maana mahama haina pesa za upigaji kama serikalini
  15. K

    Kwanini heshima ya Jaji Mkuu na Mahakama imeshuka kwa kasi kubwa?

    Je kwanini Heshima ya Jaji mkuu na mahakama imeshuka kwa kasi kubwa? 1. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi 2. Sisa zimeingilia mahakama na majaji wanatoa maamuzi kisiasa wakitegemea vyeo 3. Majaji kukaa karibu sana na wanasiasa tena wa chama kimoja 4. Kesi nyingi za kisiasa...
  16. Wakoloni Wametufanya Vibaya Kutu Indoctrinate Kasumba ya Kiingereza! Kosa la Kiswahili Wahusika Waswahili, Kizungu cha Nini?!, Hii Sio Mental Slavery?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali Wakoloni Wametufanya Vibaya Kutu Indoctrinate Kasumba ya Kiingereza! Kosa la Kiswahili Wahusika Waswahili, Kizungu cha Nini?!, Hii Sio Mental Slavery? Tanzania japo tumejipatia uhuru wetu zaidi ya miaka 65 sasa, bado tunakabiliwa na jinamizi la the colonial...
  17. S

    Hivi ICC wanasubiri ripoti na utekelezai wa mapendekezo yatayotolewa na Tume ya Jaji Lila?

    Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu mashitaka yaliyowadilishwa kwenye hii mahakama ya kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu. Je, mahakama hii haiwezi fanya uchunguzi na kuwashitaki wauaji wa mauji ya Oktoba 29 mpaka waone huu mchakato wa ndani unaendaje? Je, ICC wana amini hii...
  18. Video: Peter Madeleka (Wakili msomi) aichambua hukumu ya Jaji Danstan Nduguru kwa Tundu Lissu. Ni hukumu batili...

    https://youtu.be/eCxcuqDMftY?si=jt5ije0UyztmghrJ KWA UFUPI: Wakili Peter Madeleka: Hii ni Moja ya hukumu ambayo nikipata nakala yake ngumu, nitaiwekea fremu na kuitundika sebuleni kama kumbukumbu... Wakili Peter Madeleka: Mahakama kuu imejipa jukumu la kusikiliza na kutoa hukumu ya kesi ya kosa...
  19. Jaji Ndunguru anachekesha sana

    Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana. 1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa...
  20. K

    Jaji mkuu kwa Watanzania wengi anaonekana kama Boya na mlalamishi tu!

    Jaji mkuu kwa Watanzania wengi anaonekana kama Boya na mlalamishi tu!. Huwezi kumlinganisha na watangulizi wake mtu pekee ambaye ni boya kama yeye ni mswahili wa tanga Jaji Mohamed Chande Othman . Badala ya kufanya kazi analalamikia majaji wengine
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…