jaji mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Jaji mkuu naye ni mropokaji na chawa ! Porojo tu

    Jaji wa maneno maneno hana vitendo. Zamani kulikuwa na majaji wenye kuheshimiwa sasa tuna majaji machawa chawa 😔
  2. Jaji Mkuu Masaju kuongoza maombi ya kitaifa

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa George Masaju, anatarajiwa kuongoza maelfu ya Watanzania katika maombi maalumu ya kitaifa yatakayofanyika Novemba 20, 2026, katika viwanja vya City Park jijini Mbeya. Tukio hilo limeandaliwa na wadau mbalimbali wakiongozwa na Bw. Ndele Mwaselela kwa lengo la...
  3. R

    Jaji Mkuu, Mh Masaju, kwanini hukumu ya Tundu Lisu haiko mtandaoni, TANZLII? Mnaficha nini?

    1. Means mnajua ukora mlioufanya,.mnaficha aibu yenu 2. Mnajua ile siyo hukumu, ni hotuba ya Ndunguru 3. Mnajua dunia inataka kuisoma maana AI will translate it in all languages 4. .....ongeza
  4. Jaji Mkuu George Masaju: Uongozi Wako wa Mahakama Umetuaibisha WASABATO Tunaoheshimika kwa Kusimamia Haki.

    Sio uongo kuwa jamii ya walio wengi hapa Tanzania inaamini kuwa Waumini wa dhehebu la Wasabato ni watu wenyetabia ya kusimamia Haki na Ukweli. Kitendo cha George Masaju kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu kilileta matumaini kuwa sasa mahakama zetu zitakuwa TUKUFU kama zinavyo itwa lakini kume ndio...
  5. K

    Kwanini heshima ya Jaji Mkuu na Mahakama imeshuka kwa kasi kubwa?

    Je kwanini Heshima ya Jaji mkuu na mahakama imeshuka kwa kasi kubwa? 1. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi 2. Sisa zimeingilia mahakama na majaji wanatoa maamuzi kisiasa wakitegemea vyeo 3. Majaji kukaa karibu sana na wanasiasa tena wa chama kimoja 4. Kesi nyingi za kisiasa...
  6. K

    Je, Jaji Mkuu ni yule Msabato mcha Mungu? Hii ni post ya kuomba elimu ya dini

    Nimefuatilia maoni ya wanasheria wasomi kadhaa juu ya hukumu ya Tundu Lisu, wengi wanashangaa kilichotokea mahakamani Baada ya kuona mshangao wao, mimi nisiye na taaluma ya sheria nikapatwa na mshangao zaidi Kwamba hao wanasheria wenye mtazamo kinzani na kilichotokea wanaona kama mahakama...
  7. K

    Jaji mkuu kwa Watanzania wengi anaonekana kama Boya na mlalamishi tu!

    Jaji mkuu kwa Watanzania wengi anaonekana kama Boya na mlalamishi tu!. Huwezi kumlinganisha na watangulizi wake mtu pekee ambaye ni boya kama yeye ni mswahili wa tanga Jaji Mohamed Chande Othman . Badala ya kufanya kazi analalamikia majaji wengine
  8. Ombi kwa CJ: Mahakama Ndie Mlinzi wa Katiba ya JMT, Kwenye Ukiukwaji wa Katiba, Je Mahakama Iendelee Kukaa Kimya Kusubiria Shauri, au Itumie Suo Moto?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
  9. Je Wajua Mawakili ni Maofisa wa Mahakama?, Onyo la CJ Kuwa Mahakama Sio Sehemu ya Uanaharakati, Linawahusu!. Tujikite Kwenye Interest of Justice!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
  10. L

    Lisu anajitetea vizuri sana Mahakamani,lakini napenda niwakumbushe Mkuu, wa jaji Mkuu ni Samia na jopo lake

    Hii ni Kwa Tanzania TU,na nchi za hovyo kama hii. Tundu Lisu anajitetea vizuri sana Mahakamani,ana uwezo mkubwa sana wa kuonesha jinsi kesi yake kweli sio ya uhaini Bali ni kesi ya uongo na ni ya kisiasa. Ana uwezo wa kuonesha kua kesi hiyo Haina maana kabisa Kwa uhalisia na Kwa ushahidi...
  11. Katiba Mpya ikitoa nafasi za Ujaji kutagazwa na kupigiwa kura Lissu anaeweza kua Jaji mkuu akitaka

    Lissu kwa ushawishi alionao kwenye uwanja wa sheria katiba ikiruhusu nafasi za ujaji kutangazwa na kuomba na kupigiwa kura na wanasheria hiwe TLS ndo wawe wasimamizi Lissu anakua Jaji mkuu mapema akitaka sasa ni vema tukaishi kwa kuweka hakiba ya maneno kwa ajili ya kesho.
  12. Pongezi CJ Masaju: Dawa ya Kukomesha Mahakama Kudharauliwa ni Kutoa SMART-Judgement, Zenye Meno, Hukumu Isipotekelezwa, Meno ya Contempt Yana Ng'ata!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu, CJ. Masaju kwa kukemea hukumu za mahakama kudharauliwa kwa kutotekelezwa na watu mbali mbali au taasisi mbalimbali likiwemo Bunge la JMT, lina dharau sana kwa Mahakama. Nimependekeza dawa ya kukomesha...
  13. Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu George Masaju ni mtu mwenye hofu ya Mungu, hivyo ataisaidia Mahakama kutoa hukumu za haki, ambalo litalisaidia taifa na kuwasaidia Watanzania kupata haki. Pia amekemea kitenda cha baadhi ya mamlaka za serikali...
  14. Jaji Mkuu George Masaju mchukulie hatua za kinidhamu Hakimu wa mahakama ya Mwanzo aliyemsomea mashitaka mhadhiri na kumpeleka mahabusu kimakosa.

    Kwanza kabisa huyu Hakimu amekuchafua wewe na mhimiri mzima wa Mahakama. Inaonyesha wazi mahakama sio chombo huru. Japokuwa ni wazi kuwa hakipo huru. Lakini kitendo cha hakimu huyu kumsomea shtaka ambalo hana mamlaka nalo kisheria ni kuidhalilisha mahakama. Sijajua ni mahakama gani ila kwa...
  15. Jaji mkuu ana lalamika ucheleweshaji wa kesi na haki.

    Huyu angekuwa baba mkwe wangu kwa mke wangu nahisi mke angenikimbia. Hivi huyu jaji mkuu kafikaje mpaka kuwa jaji.
  16. Ukimsikiliza Jaji mkuu hotuba zake kuhusu ucheleweshaji wa kesi na mahakama ni vitu viwili tofauti

    Hivi hawa watu mandumi la kuwili wanajua nafasi zao hapo wanaposhikiria. Shida yetu sisi watanzania tunapenda kulifanya kosa libembelezwe kwa hekima. Mpaka leo hakuna la maana kuhusu kesi ya lissu.
  17. Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  18. Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  19. K

    Jaji mkuu : Maneno matupu kwanini kesi ya Lissu inachelewa

    Sasa tunamuona mtu wa porojo tu hana vitendo https://youtu.be/lyoVfSR3phI?si=IN5MIIeSdjM0qi3n
  20. Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

    Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania... Hufai Umeshindwa Huna weledi Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…