itakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    sio rahisi kuwekeza sehemu ambayo inategemea matamko ya wanasiasa, bahasha za kaki na vimemo. Rwanda itakuwa biggest investment centre kufikia 2040.

    Nidhamu ambayo Rwanda inajijengea kwa kushika nafasi ya kwanza barani Afrika na kuwa miongoni mwa nchi 10 bora duniani zenye kiwango kidogo cha rushwa ni taswira endelevu (ongoing brand) itakayowanufaisha sana siku za usoni. Sambamba na hilo, mpango wao wa muda mrefu wa kuanza ujenzi wa mitambo...
  2. Kamu Mungu yupo, watakaochomwa moto sio wasiomuamini tu, zaidi ya watu bilioni 6 watachomeka

    Kama Mungu yupo kweli na Uislamu ni dini ya kweli ina maana watu bilioni mbili tu duniani leo hii ndio wataingia mbinguni, hapo ukichukua Suni, Shia na Waislamu wasioshika dini wote kwa pamoja. Watu wa dini nyinginezo wote tofauti na Uislamu pamoja na wasioamini mungu ni motoni. Kama Ukristo...
  3. Je, rufaa ya Lissu itakuwa huru kama hukumu ya awali ilitokana na maelekezo ya ngazi za juu?

    Kama kuna madai kwamba hukumu ya Tundu Lissu iliathiriwa na maelekezo kutoka nje ya mfumo wa mahakama, basi swali muhimu linakuwa: Je, tunapoingia kwenye hatua ya rufaa, ni utaratibu gani utakaohakikisha kuwa maamuzi yatafanywa kwa kuzingatia sheria na ushahidi pekee, bila shinikizo lolote...
  4. Nina wasi wasi, Mzee Allute atazikwa na wanasingizia, ila kasoro Mwigulu mchemba, ila itakuwa lahana kwa kizazi chake.

    Tarehe 10/11/2026 Allute atazikwa mkoani singida. Nina hakika atazikwa na wana singida wote ingawa baadhi yao wapo mikoa mbalimbali wakiuza bar Silalamiki ila naomba wana singida kasoro Mwigulu usije tuliAaaaaa.
  5. Hawawezi kuruhusu fine kwa lissu itakuwa aibu nyingine kwa ccm

    Wakisema tu FINE.. Nadhani ndani ya dk10 itakuwa tayari Wamwache mzee wa watu akazike it is too much
  6. Kwa matokeo haya ya Man United na Bournemouth kama Carrick hatafukuzwa itakuwa maajabu ya Dunia

    Timu ya Manchester United sasa inaelekea kuwa kati ya timu zinazopigania kutoshuka Daraja kwa kuwa ina alama 7 ikiwa moja zaidi ya Nottingham Forest ambayo ipo kwenye Kundi la timu zinazopambana kutoshuka Daraja katika Premier League. Mpaka sasa United imekubali kichapo cha magoli 3-0 ikiwa Old...
  7. Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa Demokrasia duniani

    Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa nchi Demokrasia duniani, waliopata Demokrasia wataendelea kubaki hao hao, demokrasia itatoweka kwao pia. Ambao hawakupata demokrasia hawatakaa waipate.
  8. M

    Dokezo:Yanayoendelea Ufaransa kuenea dunia nzima. Hapa Tanzania itakuwa zaidi ya Oktoba 29 ya 2025.

    Inasemekana G z wameanza kazi upya. Wamechoshwa na rushwa na ugumu wa maisha huku familia za wanasiasa zikijilimbikizia mali na utajili. Inasemekana yaliyotokea Oktoba 29 itakuwa ni cha mtoto. Safari hii itakuwa mara mbili ya kinachotokea ufaransa. Mwenye kusikia na asikie.
  9. Magufuli aliacha legacy ya kufuta watu uwakili soon itakuwa ni playbook/precedent

    Wakati wa utawala wa magufuli alifanya tukio la ajabu alimvua fatma karume uwakili sababu alikuwa muongeaji sana na mkosoaji sana Polepole akiwa sehemu ya serikali na leo hii anaonekana shujaa akusema chochote juu ya mawakili kuvuliwa uwakili na kushindwa kusimama mahakamani na wao kutafuta...
  10. Kuna biashara zinafanywa na viongozi ndio maana miradi ya serikali kuendelea itakuwa ngumu.

    Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele. Tumeona sukari,reli na n.k. Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.
  11. Hivi kikitoweka hiki kizazi cha wahenga JF itakuwa na watu gani tena wa kuichangamsha au ndio itajifia

    Humu kuna wahenga wa JF katika majukwaa mbali mbali yani kila uzi wachangiaji ni wao na kazi yao kubwa ni kuji-update kwa kubadili Id's lakini wapo humu JF toka inaitwa jambo forum huko Hao ndio huifanya jamii forum kuwa forum iliyochangamka hasa majukwaa ya siasa, mahusiano, michezo, chitchat...
  12. Tukiwachunga hawa 👇mabwana wawili tutaishi vizuri na Dunia itakuwa salama

    Mmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎 Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu. Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa. Ni hayo tu kwa leo.
  13. Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  14. Tukifuata hatua hizi kila sekta itakuwa MSHINDI

    SMALL MIND CREATE A GAP–LAKINI VISION KUBWA HUUNDA MFUMO UNAOFANYA KILA UPANDE USHINDE Kama Mtanzania mwenzako, wacha nami nitie neno kwa kutumia kalamu ya wino wangu. Nimesikiliza hoja. Nimesoma maoni. Nimeangalia reaction za watu waliokubaliana na waliopinga. Na nimegundua kitu kimoja...
  15. Cross - examination kati ya Lissu na Samuya itakuwa hivi

    Lissu : Tafadhali shahidi jitambuloshe mbele majaji na mahakama Samuya : Naitwa Samuya SH Lissu : Elimu yako ya juu ukipata katika chuo Gani? Samuya: mie nilisoma sokoine University ( mfano) Lissu: Kwa Sasa unashikilia nafasi Gani. Samuya : Ni Rais wa Tz Lissu: hebu eleza mahakama...
  16. Je, AI itakuwa hatari sana siku zijazo AU hii ni stori ile ile ya teknolojia?

    Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
  17. Nchi ilipofikia kuna hatari ambayo itakuwa kama ilivyofanya rwanda na burundi.

    Mwalimu wa ushenzi ni Uganda ndio anafundisha CCM tokea kipindi cha magufuri. Mnaweza kuona jambo dogo ila ukweli ni mchungu. Mambo yanayoendelea ni mabaya zaidi.Maana imefikia watawala washakuwa mungu watu wa kutoa hukumu. Sina mengi ila tunapoelekea usishangae vifo au mauwaji ya kimya kimya...
  18. R

    Hivi NMB Jumatatu itakuwa lini

    Wana JF nani anajua Jumatatu ya hawa jamaa wa NMB itakuwa lini? Kwenye calender ya Gregoly, waliyotwambia ndiyo leo kakini mambo ndiyo bado magumu kabisa hata hizo sijui POS nazo hakuna kitu asubuhi hata ATM zao zililinuna kabisa duuuhhh.
  19. Wanasayansi wa Hali ya Hewa Waonya kwamba EL-Nino Itakayotokea Mwaka Huu Itakuwa Mbaya kuliko Zote Zilizowahi Tokea hapa Duniani

    Pamoja na kwamba mamlaka zetu zilitoa taarifa ya kiashiria Cha El Nino mapema mwezi julai lakini taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari Duniani zinaonesha hatari kubwa zaidi. Kikawaida EL Nino huja na sura mbili ,mvua kubwa na ukame wa kupindukia, bikiambatana na joto Kali sana au baridi...
  20. Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…