israeli

Israeli Jews or Jewish Israelis (Hebrew: יהודים ישראלים, romanized: Yehudim Yisre'elim) are Israeli citizens and nationals who are Jewish through either their Jewish ethnicity and/or their adherence to Judaism. The term also includes the descendants of Jewish Israelis who have emigrated and settled outside of the State of Israel, where they are predominantly found in the Western world. The overwhelming majority of Israeli Jews speak Hebrew, a Semitic language, as their native tongue.
Israeli Jews trace their origins back to the ancient Israelites and Hebrews, and, as a population, are a least partially descended from ancient Middle Eastern Semitic populations. The Jewish population in Israel comprises all of the communities of the Jewish diaspora, including Ashkenazi Jews, Sephardi Jews, Mizrahi Jews, Beta Israel, Cochin Jews, Bene Israel, Karaite Jews, and many other groups. The Israeli Jewish community manifests a wide range of Jewish cultural traditions and encompasses the full spectrum of religious observance ranging from the Haredim, who observe Orthodox Judaism, to the Hilonim, who maintain a secular Jewish lifestyle. Among Israel's Jewish population, over 25 percent of schoolchildren and over 35 percent of all newborns are of mixed Ashkenazi and Sephardi/Mizrahi descent, and these figures have been increasing by approximately 0.5 percent annually. Over 50 percent of the entire Israeli Jewish population is of at least partial Sephardi/Mizrahi descent.Despite the ongoing debate over the question of determining Jewish identity among Israeli Jews, the Jewish status of a person, which is considered a matter of nationality by the Israeli government, is registered and controlled by the Israeli Interior Ministry, which requires a person to meet the Halakhic definition to be registered as a Jew. In a December 2017 estimate by the Israel Central Bureau of Statistics, the Israeli Jewish population stood at around 6,556,000 people, comprising 74.6 percent of the total population of Israel (if the Arab populations in East Jerusalem and the Golan Heights are included).A 2008 study by the Israel Democracy Institute shows that a plurality of Israeli Jews (47 percent) identify as Jews first and as Israelis second, and that only 39 percent consider themselves to be Israelis first and foremost.Jews living in the Holy Land prior to the establishment of the State of Israel in 1948 were commonly referred to in English as "Palestinian Jews" (in reference to the Palestine region and its British Mandate) and in Hebrew as HaYishuv HaYehudi Be'Eretz Yisra'el (lit. 'The Jewish Community in the Land of Israel').

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:Atoa wito wa Umoja!!!

    Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu: Maneno machache kabla ya Shabbat. Katika siku za hivi karibuni, nimemweleza Avigdor Lieberman, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, Naftali Bennett, na Gadi Eisenkot kuhusu hali ngumu ya usalama tunayokabiliana nayo. Tuko katika njia...
  2. Rais wa Israeli Isaac Herzog aongea na Mwana Mfalme Reza Pahlavi

    Rais wa Israeli Isaac Herzog na Mwanamfalme wa Iran Reza Pahlavi walizungumza pamoja katika semina maalum ya mtandaoni iliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Ben-Gurion. 🕊️ Naomba tuione Iran huru ikiishi kwa amani na Israeli hivi karibuni.
  3. Vyama vya Kiarabu vimesababisha ugumu kuunda serikali nchini Israeli

    Wanaukumbi. Vyama vya Waarabu vimesababisha mtafaruku mkubwa nchini Israel, Vyama hivyo vya Waarabu, ambavyo Benjamin Netanyahu alivielezea kama wafuasi wa ugaidi, sasa vina wabunge wawili Waislamu ambao wamechaguliwa kuwa manaibu spika wa bunge la Israel, Katika bunge la Israel lenye viti...
  4. Rais wa Israeli amteua mpinzani wa Netanyahu, Gadi Eisenkot kuunda serikali mpya ndani ya siku 28

    Bwana Gadi Eisenkot wa chama cha Yashar, amepewa nafasi ya kuunda serikali mpya ya Israeli. Picha credit kwa Baz Ratner wa AP. Raisi wa Israeli Herzog amemteua bwana Gadi Eisenkot kuunda serikali mpya ya Israeli ndani ya siku 28 ambazo zitaongezezeka kwa siku 14 zaidi. Bwana Eisenkot ambae...
  5. Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yako sawa licha ya tuhuma!!

    Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yatasimama licha ya tuhuma kubwa za ufadhili wa kigeni unaolenga kushawishi kura. Katika taarifa ya pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara na mkuu wa Shin Bet David Zini, Sohlberg anasema madai hayo ni mazito lakini...
  6. Mitandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Israeli

    Kwa jicho la mitandaoni na maoni mbalimbali , wayahudi na wazayuni ni kama wameshamchoka, Netanyahu kabisa🤔 Ila ukija kwa wayahudi wa chunya na mpitimbi, wanatamani Netanyahu ashinde😅
  7. Je wajua Manchester United ni timu ina mahusiano mazuri na Israeli?

    Hii timu toka imeonyesha chuki dhidi ya waarabu ya wazi kabisa na kukumbatia sera za Israeli ( zayuni) imekua takataka kabisa, kwa sasa hili takataka linaloitwa manjesta limekua likiwaunga mkono Israel dhidi ya palestina acha yapigwe tu mamaeee
  8. Israeli mwenda karudi Tena jangwani

    Karibu Tena jangwani
  9. Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anampa onyo kali kiongozi wa Hamas: Al-Hayya

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anampa onyo kali kiongozi wa Hamas: Tuliwaangamiza viongozi wa Hamas huko Gaza, na sasa ni zamu ya Al-Hayya kumwangamiza!! Hamas ikijibu vitisho vya Waziri wa Ulinzi Israel Katz vya kumwangamiza Khalil al-Hayya, mkuu wa ofisi yake ya kisiasa: Vitisho...
  10. T

    Israeli iko bara gani?

    Hii nchi mbona ni kama haieleweki enyewe. Israeli iko mashariki ya kati ambayo kiuhalisia ni bara la asia lakini vilabu vyake vinacheza uefa na hata timu yake ya taifa inacheza michuano ya ulaya . Kwani hii nchi iko bara gani hasa au mimi ndo sielewi
  11. Je Israeli iko overrated? Au ni kweli wao ni wabobevu zaidi duniani?

    Swali la kama Israel ni "overrated" (imepewa sifa kupita kiasi) au la, linategemea sana sekta unayoiangalia (kijeshi, kiteknolojia, au kiuchumi) na vigezo unavyotumia. Tathmini halisi inaonyesha maeneo ambayo Israel iko juu sana kulingana na sifa zake, na maeneo mengine ambapo ukweli wa mambo...
  12. Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu. Je Mungu huyo yupo? Maana nimefika...
  13. Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz: aiambia Iran kuhusu Ali Taher Ridge kuwa hilo ni eneo la usalama!!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz: Ali Taher Ridge ni sehemu ya mstari wa njano na eneo la usalama la Israeli nchini Lebanon - IDF inajiandaa kivitendo kudhibiti ukingo na kuzuia jaribio lolote la Hezbollah au kipengele kingine chochote kurudi na kuanzisha uwepo hapo. Mtu yeyote...
  14. Mama punk ya Israeli yamewekeza dola bilioni 3.2 huko Texas na kutengeneza ajira zaidi ya 4,200

    Seneta Ted Cruz anasema makampuni ya Israeli yamewekeza dola bilioni 3.2 huko Texas na kuunda ajira zaidi ya 4,200. Data ya Texas inathibitisha takwimu hizo zinahusu miradi 34 kuanzia 2015-2024. Mnamo 2026, uhusiano unazidi kuimarika kupitia usalama wa mtandao, ulinzi, mradi uliopendekezwa wa...
  15. Hotuba ya Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Itamar Ben-Gvir ilivyopotoshwa!!!

    Simulizi iliyosambaa kote kwenye vyombo vya habari vya kimataifa inadai kwamba Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Itamar Ben-Gvir aliitaka Israeli kuwaua "Wapalestina 30 hadi 40" au "watu 30 hadi 40 huko Gaza" kila usiku. Kuna tatizo kubwa na usemi huo: katika podikasti hiyo hiyo, Ben-Gvir...
  16. Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
  17. JD Vance amewafokea moja kwa moja mawaziri wa Israeli kwa mashambulizi yao binafsi dhidi ya Rais Trump

    Wanaukumbi. JD Vance anawaita moja kwa moja wajumbe wa baraza la mawaziri la Israeli kwa mashambulizi yao binafsi dhidi ya Rais Trump "Donald J. Trump ndiye mkuu PEKEE wa nchi katika DUNIA NZIMA anayeunga mkono taifa la Israeli kwa wakati huu, na yeye ndiye mkuu wa nchi yenye nguvu duniani...
  18. Katibu Mkuu wa Hezbollah, Naim Qassem, anakataa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa na Israeli na Lebanon:

    Katibu Mkuu wa Hezbollah, Naim Qassem, anakataa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa na Israeli na Lebanon: Tunakataa jaribio lolote la kuhusisha kuwepo kwa upinzani na kukomeshwa kwa uchokozi au kujiondoa kwa Israeli. Tunatoa wito kwa maafisa kukomesha kejeli na matusi haya...
  19. M

    Kama kweli tunaipinga Israel, tuache kutumia iPhone. Vinginevyo ni sawa na kulaani kitimoto ila tukijifungia vyumbani twala hadi kujilamba vidole

    Israel imehusika kwa kiwango kikubwa katika teknolojia ya chips (ubongo wa simu) nyingi zilizotumika kwenye iPhone kwa miaka mingi, hasa kupitia vituo vya utafiti vya Apple Inc. nchini Israel Hata iphone 17e chip yake kwa kiasi kikubwa sana imekuwa designed Israel, Mitandaoni imekuwa gumzo...
  20. Pakistan yakataa shinikizo la Trump kuhusu Makubaliano ya Abraham, yasema kuhalalisha makubaliano na Israeli 'hakukubaliki'

    Wanaukumbi. Pakistan yakataa shinikizo la Trump la Makubaliano ya Abraham, yasema kuhalalisha na Israeli 'hakukubaliki' —— Waziri wa Ulinzi wa Pakistani Khawaja Asif alikataa wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa nchi zenye Waislamu wengi kujiunga na Makubaliano ya Abraham, akisema Islamabad...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…