israel

  1. JamiiForums Tanzania Israel kushindwa kuimaliza Gaza na kuikalia hadi siku ya leo, angeingia vitani na Ukraine angetoboa?

    Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF. Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali. Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani...
  2. JamiiForums Tanzania Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

    Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza. Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka wahamiaji wanaoishi nchini humo kuheshimu utamaduni wa Ujerumani na kuitambua taifa la Israel

    Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka hatua za haraka zichukuliwe ili kudhibiti wahamiaji wanaoishi nchini humo wanaotaka utamaduni wao na imani zao za kidini ndizo ziwe juu ya zile za mwenyeji wao yaani Ujerumani. Pia wanataka wahamiaji hao watambue haki ya kuwepo kwa taifa la Israel...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa serikali ya Israel toka kuanzishwa kwa taifa hilo ni makomando sisi tunataka machawa

    Wakati Israel viongozi wa kuu ni makomandoo wa jeshi IDF au wakuu wa TISS kama Shinbet Mossad Shayetet 13 nk sisi tunalea machawa. TISS MJITAFAKARI.
  5. JamiiForums Tanzania Vita vya intaneti ni vita vyingine Israel ilivyoshindwa mapema huko Gaza. Jifunze mbinu zilizotumika

    Gaza ikiwa ni kama gereza la wazi la muda mrefu imefungiwa na kila kitu kuingia humo chini ya uangalizi wa Israel.Hata mawasiliano pia lazima yapitie Israel. Mara Israel ilipoamua kuingiza askari wa miguu wakiongozwa na vifaru ilijua ingepata hasara kubwa ambazo wasingependa zijulikane na raia...
  6. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
  7. JamiiForums Tanzania Israel haiwezi kutekeleza 'adhabu ya pamoja' ya watu huko Gaza: Lavrov Russian foreign minister

    Wanaukumbi. The Russian foreign minister says it is unacceptable that Israel is using Hamas’s October 7 offensive as justification for a collective punishment of Palestinians in Gaza and has called for international monitoring of the situation on the ground in the besieged enclave. Speaking...
  8. JamiiForums Tanzania Fatah wasema Israel haitaweza kuimaliza Hamas. Ni sehemu ya harakati zao kuikomboa Palestina

    Waziri mkuu wa Palestina katika serikali ya Mahmoud Abbas ameweka wazi kuwa Israel inajidanganya kusema inataka kuwamaliza Hamas. Hiyo haitatokea. Akizungumza na CNN, Mohammad Shtayyeh amesema Hamas ni sehemu ya harakati za wapalestina kwa hivyo haiwezekani na haikubaliki kuwamaliza. Kauli...
  9. JamiiForums Tanzania Biden administration uses emergency authority to sell tank shells to Israel

    Wanaukumbi. The Biden administration has used an emergency authority to allow the sale of about 14,000 tank shells to Israel without congressional review, the Pentagon said on Saturday. The state department on Friday used an Arms Export Control Act emergency declaration for the tank rounds...
  10. JamiiForums Tanzania Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

    Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo. They did rejoice on 7th October right?
  11. JamiiForums Tanzania Picha mpya ya Yesu yamuonesha akiwa kwenye maporomoko ya majengo yaliyosababishwa na mayahudi

    Picha hiyo ilizinduliwa rasmi kwenye misa ya Jumapili iliyopita mjjini Jerusalem alipozaliwa nabii Issa a.s (Yesu) ambapo padri Munther Isaac alisema huo ni ubunifu wa wanafamilia wa kikristo kuungana na wenzao wapalestina kuomboleza madhila wanayopata kutoka kwa mayahudi. Akimalizia misa yake...
  12. JamiiForums Tanzania Israel wasambaratisha msikiti wa kale

    Ilikua kosa kubwa sana kuua Wayahudi, jamaa wameamua hamna kinachosalia... Damage to al-Omari Mosque in Gaza City from Israel-Hamas war, on December 8, 2023. (Screen capture/X) New footage shows the massive extent of damage to the historic al-Omari Mosque in Gaza City. Palestinian media says...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

    Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati, Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana! Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira...
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Ashkelon na Sderot ndani ya Israel wasema Hamas hawawezekani

    Sauti za mamia ya maroketi kutoka Gaza kila siku na miripuko angani ya Iron dome zinazojaribu kuyaharibu angani zimewakera sana wakazi wa miji ya Ashkelon na Sderot ambayo iko jirani na Gaza. Hali hizo ambazo zinaendelea baada jeshi la Israel kuingia Gaza na baada ya kurejelewa kwa vita...
  15. JamiiForums Tanzania Israel walipua chuo kikuu cha Al-Azhar University kule Gaza maana kilitumiwa na magaidi

    Hamna kinaacho achwa, Gaza itakua shamba.... The IDF says troops of the Combat Engineering Corps’ 749th Reserve Battalion destroyed buildings containing Hamas infrastructure at Gaza City’s Al-Azhar University. According to the IDF, on the university campus, troops found a tunnel entrance that...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Ni kama Wana Israel wakivuka bahari ya Shamu

    Mambo CCM inapenda kuyaona, hawa viumbe wa CCM hawataki waone unapata raha hasa wewe mlipa kodi utapigika kisawa sawa
  17. JamiiForums Tanzania Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua. Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana...
  18. JamiiForums Tanzania Hamas yamuua mtoto wa Waziri huku Israel ikisema vita vimekuwa vigumu

    Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza. Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu. Maumivu kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

    Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat...
  20. JamiiForums Tanzania Tuko tayari kupigana kwa muda wowote vita itakaochukua - Hamas watoa tamko kuadhimisha vita na Israel

    Kiongozi muandamizi wa Hamas, Ismail Haniyeh amesema vikosi vya kivita vya kundi hilo vimejitayarisha vya kutosha kuendeleza vita na Israel kwa muda wowote vita hivyo inakavyochukua. Katika tamko hilo kiongozi huyo amesifu utayari wa vikosi vya kivita na mikakati mnyumbuliko waliyojitayarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…