israel

  1. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  2. JamiiForums Tanzania Israeli yaachana maamuzi ya kusitisha mapigano Gaza, yaua zaidi ya watu 400

    🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza. Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.
  3. JamiiForums Tanzania Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

    Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zapendekeza Wapalestina watakaohamishwa kutoka gaza waende kuishi somalia, Sudan na somaliland, mawasiliano yanaendelea kufanywa

    Wadau hamjamboni nyote Taarifa mpya kabisa juhudi zaendelea kutekeleza mpango wa Marekani kuhamisha Wapalestina kutoka gaza Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Advertisement Israel and US said in contact with Sudan, Somalia about resettling Gazans Officials say approaches also made to...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini UN iko obsessed sana na Israel?

    Hawa jamaa wako kimya na yanayoendelea syria angali washia na wakristo kuulia ila wako bize kutafuta hadi sisimizi alieingia gaza kutoka Israel. Hadi leo hawajakamata hamas kwa ukatili walioufanya ila wanahangaika na Israel aliyejibu mashambulizi. Eli Cohen Judah Tribe
  7. U

    JamiiForums Tanzania Israel yakata usambazaji umeme kwenye maeneo yote ya gaza, lengo kuwalazimisha magaidi wa Hamas kuachia huru mateka 59 inaowashikilia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Nishati, Eli Cohen, ameagiza Shirika la Umeme la Israel (IEC) kusitisha mara moja usambazaji wa umeme kwa Ukanda wa Gaza, katika kile kinachoonekana kuwa ni juhudi za kuongeza shinikizo kwa eneo hilo, ambapo mateka 59 waliotekwa kutoka Israel bado...
  8. JamiiForums Tanzania Russia ya wahifadhi raia wanaokimbia kuuwawa na magaidi yanaodhaliwa na Israel huko Sryria

    LATAKIA: SYRIA Russia imeruhusu raia wa jamii ya Alawite wanaokimbia mauaji ya Utawala wa Magaidi uliosimikwa na kufadhiliwa na Israel kuingia ndani ya kambi ya Jeshi Khmeimim Air base Latakia 🚨🇷🇺🇸🇾 Russian Federation Troops at Russia's Khmeimim airbase, Latakia region, has opened its doors...
  9. JamiiForums Tanzania Houthis wa Yemen kuanza mashambulizi dhidi ya Israel wakati wowote kuanzia sasa

    Itakumbukwa kuwa Houthis walisimamisha kuishambulia Israel baada ya makubaliano ya kusitisha vita ili kubadilishana mateka wa kivita. Israel amekiuka makubaliano ya round ya kwanza na Hamas . Israel wamezuia misaada misaada yote ya I binadamu kuingia Gaza, wanavamia makaazi ya wapalestina west...
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa magaidi wa Hamas auwawa. Na askari wa Israel huko Jenin

    Majeshi ya Israel yanaendelea kuwasaka magaidi wa Hamas popote walipo siku ya leo kiongozi wa magaidi hao huko JENIN aliweza kuuwawa na sasa. .Jenin imekuwa ngome kubwa ya Magaidi ambao mara kwa mara walikuwa wakipigana na wenzao wanaoongozwa na Serikali ya Mahmoud Abas. Israel imekuwa ikiingia...
  11. JamiiForums Tanzania Israel yaupinga mpango wa waarabu kuhusu ujenzi wa Gaza

    Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje: "Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu haiangazii uhalisia wa hali ilivyo baada ya Oktoba 7, 2003, na inabakia kukita mizizi katika mitazamo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani haki za binadamu za Israel

    Wanaukumbi. Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza. Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu atoa onyo kali kwa magaidi wa Hamas!!

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho hawajawahi kukishuhudia maishani mwao na ameahidi kusitisha Misaada yote kwa magaidi hao huko Gaza mpaka...
  14. JamiiForums Tanzania Jamaa anaisanifu Israel eti wananchi wake wanaandamana kumpinga Benja. Anasahau kuwa wananchi wanafaidi uhuru wa kujieleza ambacho uarabuni ni nadra

    Kuna jamaa kaandaa chapisho humu kifua mbele. Itikadi kali nishawaambia kati ya utapeli mkuu kuwahi kutokea dunia hii ni nyie na itikadi yenu. Mnamchumchukia netanyahu maana amewaanyoosha kisawa sawa ndugu zenu. Mnasahau kuwa hata great leaders wanapingwa na kwa nchi zilizowastaarabu na utu...
  15. JamiiForums Tanzania Syria is going to be divided, not less than three parts, and the winner is Israel

    The obvious groups will be Druze state, Kurdi state and what will remain as Syria, may be. The threat for the Shia military group is high and very obvious to also form their own part. The winner of all this is Israel, he will grab more land under the claim of "buffer zone". I do think of...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu mpya wa Jeshi ya Israel kuwafuta kazi majenerali 4 lengo kurejesha imani kwa wananchi kufuatia shambulizila baya la Oktoba 7,2023.

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu mpya Jeshi la Israel atawafuta kazi majenerali wanne wa IDF kwa kushindwa kwao kuzuia shambulizi la Oktoba 7, 2024 ambapo jumla ya Waisrael 1,200 waliuawa na magaidi ya Hamas Majenerali hao ni pamoja Oded Basyuk anayeongoza idara ya mafunzo, Tomer Bar anayeongoza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Israel yaridhia kuongezwa muda wa usitishwaji vita hadi Ramadhan na kwaresma itakapokwisha

    Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake inapendelea utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishwaji wa mapigano. Israel ilikubali pendekezo...
  18. JamiiForums Tanzania Hamas Wajuta wanasema wangujua haya matokeo dhidi ya Israel wasingevamia October 7th

    Moussa Abu Marzouk, mbele, anahudhuria mazishi ya Saleh Arouri, huko Beirut, Lebanon, Januari 4, 2024. (Picha ya AP/Hussein Malla) Kiongozi wa juu wa chama cha kisiasa za kigaidi cha Hamas Moussa Abu Marzouk alisema hangeunga mkono uvamizi na mashambulizi ya Oktoba 7, 2023 kusini mwa Israel...
  19. JamiiForums Tanzania Mateka wa Israel’ Noa Argamani alifichua uwongo wa Israeli na jinsi Israel ilivyomlenga yeye pamoja na Waisraeli wengine wawili

    Wanaukumbi. Fromer Israel ‘mateka’ Noa Argamani alifichua uwongo wa Israeli na jinsi Israel ilivyomlenga yeye pamoja na Waisraeli wengine wawili. Noa Argamani anaelezea wakati ambapo jengo alilokuwamo Itai Svirsky na Yossi Sharabi liliporomoka, likiwaweka chini ya kifusi, wote wawili waliuawa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda mwandamizi hamas wajuta kufanya shambulizi Oktoba 7, 2023 dhidi ya Israel , matokeo yake yamekuwa mabaya na wapo tayari kusalimisha silaha

    Wadau hamjamboni nyote? Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, Mousa Abu Marzouk, amesema hangeunga mkono uvamizi wa tarehe 7 Oktoba 2023 katika kusini mwa Israel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…