israel

  1. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia jeshi la Israel lina mkono mrefu muwe mnaelewa!

    KIPONDO CHA NGUVU 🔴 Kamanda wa Hezbollah Ali Kaid Hashem katika kijiji cha Khania, kusini mwa Lebanon. Kakoswa na kombola la kwanza kaamua kukimbia lakini akakutana na bomu la pili ambalo hakuweza kupona aliangamizwa palepale bila huruma. https://x.com/osint613/status/1914638512684458055?s=61
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwaangalia Wanavyoshupaza shingo kutetea Palestina asionewe na Israel alafu ukiona Wanavyotetea Wauaji CCM utaelewa hakuna Masheikh pale.

    Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki. Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha. Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa Mungu bila kuogopa utawapendeza au kuwafurahisha Watawala. Viongozi wa kweli wa Dini ni wale...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon asema hana haraka na kuwanyang'anya silaha Hizbullah wakati Israel inaendelea kuvunja mkataba wa amani wa Novemba 2024

    Uhusiano wa serikali ya Lebanon na chama cha Hizbullah umezidi kuimarika baada ya raisi Joseph Aoun kukasiririshwa sana na mauwaji yanayoendelea kufanywa na majeshi ya kiyahudi ya IDF ndani ya ardhi ya nchi yake.Tamko hilo linafuatia baada ya shambulizi lililoua watu wawili leo. Katika...
  4. JamiiForums Tanzania Israel inavuna ilichopanda mashariki ya kati na Afrika.Tatizo hawataweza kuandaa na kula karamu yake

    Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe anayefanya kazi za kiyahudi. Utafiti huo umekuwa ukitajwa muda mrefu lakini haikujulikana ukweli...
  5. JamiiForums Tanzania Kombola la Ballistic kutoka Yemen lapopolewa asubuhi hii huko Israel

    Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Wahouthi sasa hivi...
  6. JamiiForums Tanzania Hamas wapata kipondo baada ya maficho yao kuangamizwa na majeshi ya Israel

    Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kichapo cha mbwa-koko baada ya Jeshi la anga la Israel kuyashambulia maficho yao. Inasemekana magaidi wote waliokuwa wamejichimbie eneo hilo hat uko nao wameangamizwa!!!
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu atembelea wanajeshi wake huko Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
  8. JamiiForums Tanzania Shambulizi la Israel laua mhudumu wa afya Gaza, tisa wajeruhiwa

    Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi, na kusababisha kifo cha mhudumu wa afya na kuwajeruhi wengine tisa, wakiwemo wagonjwa waliokuwa wakitibiwa. Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi...
  9. JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha Pasaka jamaa mmoja ameenda na kondoo Hekaluni huko Israel

    Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
  10. JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yanaendelea kuharibu mahandaki huko Gaza

    Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel
  11. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mlima wa mizeituni huko Jerusalem Israel.

    Ukiwa kwenye mlima wa Mizeituni Mji wa Yerusalem unaonekana hivi
  12. JamiiForums Tanzania Israel Olatunde avunja rekodi na kuwa mwanariadha mwenye kasi zaidi Ireland

    Vyombo vya habari vya Ulaya vilikuja na taarifa kuhusu bwana mdogo Israel Olatunde ambaye ni raia wa Ireland kwa kuzaliwa na moja ya mwanamichezo ambaye anajitazama kama raia wa Ireland, huku pia akiwakilisha nchi yake kwenye mchezo wa riadha kama Irish man. Wazazi wake ni Wanaijeria kwa asili...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atoa salamu za Pasaka kwa wananchi wa Israel

    "Katika usiku wa seder, tunakusanyika na wapendwa wetu kusimulia safari kutoka utumwa hadi uhuru. “Lakini mwaka huu, familia nyingi zitaona viti vitupu—wale mateka wetu bado wanashikiliwa na Hamas, mashujaa wetu walioaga dunia, na waliojeruhiwa ambao wanapigania kufufuka. “Imbeni na kusaidiana...
  14. JamiiForums Tanzania Marubani 1000 wa jeshi la Israel wasaini waraka wa kupinga vita.

    Ni uhakika kuwa nguvu kubwa ya jeshi la Israel ipo kwenye mapigano ya angani kwa kutumia ndege za teknolojia za kisiasa kuwapiga inaoamini ni maadui zake. Jumla ya marubani wa ndege hizo wengi wao wakiwa ni wastaafu wamesaini waraka kupinga kuendelea kwa vita ambavyo wameona havijafikia malengo...
  15. JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
  16. JamiiForums Tanzania Ndege vita,drone na helikopta za Israel zilipopolewa Lebanon na Palestina

    Ndege vita/jet na drone zilianguka Lebanon, israel ikijitetea kuwa ni tatizo la kiufundi Wakati huohuo helicopter ilianguka huko gaza na kuua askari wawili wa israel,utetezi wao ni ule ule, tatizo la kiufundi https://www.jpost.com/breaking-news/article-849513
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za timu za kiarabu hapo ndio najua kwanini kule gaza Israel acheki na wowote

    Kwa hizi tabia za kishenzi hawa jamaa ndio maisha yao....
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'.

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'. Mufti Mkuu wa Misri Nazir Ayyad Jumatatu alisema "halikuwa jambo la kuwajibika" kwa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) kutoa fatwa ambayo ilisema "Waislamu wote wenye uwezo" wana wajibu wa kufanya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake, kuwa kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…