ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Kampuni ipi ina majiko imara ya umeme?

    Wakuu naomba kuuliza. Ni kampuni ipi ina majiko imara ya umeme/gas? Jiko linalohitajika la umeme, liwe na plate 2 za umeme na 2 za gas. Natanguliza shukurani.
  2. O

    Ripu nzuri ni ipi?

    Wataalamu nisaidieni katika hili maana mafundi wengine wanasema ripu ya mkono bao ni nzuri kuliko ya kutumia galamara nawasilisha
  3. Hivi Mbowe tunamlaumu kwa sababu ipi hasa?

    Unakuta nalalama eti Mbowe kawa kimya kisa kalambishwa asali na watawala. Unakuta namlaumu Mbowe eti ooh, katishwa kidogo tu ameufyata! Ooh, Mbowe ni TISS kuipinga serikali ni gheresha tu! Kwangu mimi malalamiko yote hapo juu nimebaini hayana mashiko na ya kipuuzi hakika! Hivi Mbowe huyo...
  4. Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

    Tunataka tuwekewe hadharani mchakato mzima wa upatikanaji wa vishkwambi vya sensa. Kuna jambo hapa nimehisi.
  5. Ni ipi sababu ya kuteguliwa Rafael Chegeni kabla ya kiapo cha Mkuu wa Mkoa?

    Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza. Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
  6. Aliyetangaza Agosti 23 kuwa siku ya Mapumziko kwa ajili ya Sensa hakufikiria?

    Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo? Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa? Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na...
  7. Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

    Habari zenu wana Jamii forums. Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu. Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
  8. Nataka kuandika kitabu, nikipeleke kwenye kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji ? malipo yapo vp ? kuna janja janja zipi za kukwepa ?

    moved
  9. Hospitali ipi naweza kupimwa masikio?

    Wakuu, Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa
  10. D

    Nikasome ipi kati ya masters ya education au nitafute bachelor ya kitu kingine

    Habari wanajamii Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile Kwa sasa nina miaka 32, nauona uzee huu hapa unasogea ikiwa sina mali, mke wala kitu cha thamani ninachomiliki na mbaya zaidi naishi nyumbani...
  11. T

    Parmatch vs Pmbet IPI BORA?

    PMBET Promo code Jaza A84 pmbetTANZANIA, Hii ni kampuni inayojihusisha na michezo ya kubeti Tanzania, ndani ya pmbet unaweza kubashiri au kubeti michezo mbalimbali, pia unaweza kucheza michezo kamavile Keno, wolf, namba za bahati miongoni mwa michezo mingine. Parmatch Tanzania, kama ilivyo kwa...
  12. Fani ipi kati ya hizi ina fursa za kupiga pesa?

    Salaam wadau, Moja kwa moja kwenye maada husika Mimi ni kijana mwny umri wa mid 20’s. Nina mpango wa kwenda VETA ili kujifunza ujuzi niweze kujipatia kipato. Lengo langu nikasomee kimojawapo kati ya udereva au ufundi simu+computer. Udereva nilioulenga ni Basic driving + ADVANCED DRIVERS GRADE...
  13. Ujumbe kwa maprogrammer

    kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa...
  14. Ipi jezi kali 2022/2023?

    Piga kura yako...
  15. Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri) Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa...
  16. Ipi ni siasa bora!

    Siasa ni nini tuanzie hapo kwanza. Siasa ni shughuli za kumuinua mtu hadhi yake au nguvu yake katika taasisi fulani. Je kiserikali siasa ina maana gani? Hapa tunaona siasa ni shughuli za kichama kupata nguvu kuongoza eneo au nchi. Sasa umewahi kujiuliza siasa ina faida gani katika nchi yetu na...
  17. Ipi gari maarufu (wengi wanamiliki) mkoani kwako? Ipi gari maarufu kwenye nchi uliotembelea?

    Tujuzane, huku tukiendelea kusubiri sherehe za namba E mwezi huu mwishoni August ama September, 2022.
  18. Napenda kujua hiyo kitu hapo inatengenezwa kwa kutumia software ipi?

    created by software ipi na hii inaitwaje!
  19. Klabu ipi imelamba dume kati ya Simba SC na Yanga SC kwa mikataba hii?

    Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao Simba sc na MBET Yanga sc na SPORTPESA Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka...
  20. F

    Is Education Better Than Money? Elimu shule za gharama vs Asset kwa mtoto wako ipi itamfaidisha ukubwani

    Habari wadau. Najua wengi tunaikumbuka hii Debate Topic "Is Education Better Than Money? Kipindi tunashiriki hii debate tulikuwa wadogo na wategemezi. Nina imani sasa tumekuwa na tumeona mengi kwenye maisha. Je wewe kama mzazi unaona lipi litamfaidisha sana mwanao akifikia umri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…