👉WAISLAMU 🕌husema UKRISTO ni DINI ya UONGO✔️
👉WAKRISTO ⛪husema UISLAMU ni DINI ya UONGO.✔️
SASA MIMI NAKUBALIANA NA WOTE KWAMBA UISLAMU🕌 na UKRISTO⛪ Ni DINI za UONGO✅
Watu wengi ukiwauliza Swali Kwamba Ebu nielezee MUNGU ni kitu gani, yukoje, anafanya nn❓ Halafu mwambie asiishirikishe Biblia...