ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kiomoni Kibamba: Simba wameleta kamati tatu za Uchaguzi mpaka nashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Kiomoni Kibamba amesema Simba wamepeleka kamati tatu za Uchaguzi mpaka anashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi. Aidha Kiomoni amesisitiza Uchaguzi utafanyika siku ile ile aliyotangaza Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu ambaye ametangaza 30/01.
  2. Wazee wa ligi za roads hapa tunaondoka na ipi.

    Kama wote tunatoka Dar muda mmoja kwenda Arusha,nani atawahi kufika mapema?
  3. Ni Ipi Historia ya Kweli ya TANU?

    https://youtu.be/Q7HFK4UMSBI?si=GDh_byVtt_TsG1sd
  4. Video: Sarafu ipi ya Afrika Mashariki imeshikilia thamani yake vizuri zaidi katika miaka 10?

    https://youtu.be/7XUF3in8wzQ Habari wanajukwaa, Video hii inalinganisha sarafu tano za Afrika Mashariki dhidi ya dola ya Marekani, kuanzia 2016 hadi tarehe 6 Novemba 2026. Zote tano zimepoteza thamani, lakini tofauti ni kubwa: Uganda: takriban -16% Tanzania: takriban -18% Kenya: takriban...
  5. Ipi tafsiri ya Serikali kumiliki ardhi badala ya Wananchi?

    Je tafsiri yake nikuwa Serikali inamamlaka ya kupokonya Wananchi ikiwa itahitaji ardhi hiyo? Ikiwa ardhi inamilikiwa na Serikali tafsiri yake ni kuwa Wanachi ni kama wapangaji Au pengine tafsiri yake ni tofauti na hii?
  6. Sheria ipi inamruhusu Masai kutembea na silaha?

    Masai wanatembea na silaha watakavyo 24/7 bila kukamatwa , kuhojiwa wala kufanywa chochote kile wakati wasio wamasai wakikutwa wanatembea hata na bisibisi tu tayari hapo anapewa kesi. Masai wanatembea na marungu na sime na muda mwingine wanaenda hata kwenye sehemu za starehe mfano bar au...
  7. Ipi Ipad bora na sahihi ya mwanafunzi f3.

    Amani na iwe kwetu sote! Humu sijawai kukosa jibu wala jawabu. Mtoto: kike. Umri: 13 Level: form3(2027) uzoefu: hana. Ni ipad gani inamfaa. Masomo na apps zipi nimwekee. sifa yangu mnunuaji: mzazi msomi wa kazamani.
  8. Kila siku Wakristo wanachinjwa nigeria, watu wasio na hatia wanauliwa Sudan, n.k, sasa unajiuliza tofauti na kutoa matamko kazi maalum ya AU ni ipi?

    Mtaji wa masikini ni nguvu yake mwenyewe. Ukitaka kuharibu siku yako nenda uangalie damu zinavyomwagika sudan na nigeria.
  9. Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa anatumia ID ipi humu?

    Habari zenu Wakubwa Naomba kuulizia ID anayotumia Waziri wetu wa afya humu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa nina jambo nataka kumshirikisha Nilimsikia akidai kuna alimjibu mtu humu JF kuhusu kero zinazotokea kwenye sekta ya afya na huwa anapita sana humu kujibu jibu maoni na maswali ya watu...
  10. M

    Ipi ni machines ya ndoto yako

    Ipo hivi kama ni mtafutaji na mpamabanaji mtaani Kuna vitu hukusaidia kwenye mapambano navyo ni kama machines nk, na ili upige hatua kwenye maisha lazima ukubali kuendana na technologia hivyo kumiliki machines ni sehemu ya maisha. Zipo machines ambazo ni ndoto Kwa wengine na wengine wanamiliki...
  11. KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Wakuu habari za jumapili natumaini mko powa Kwa sasa nataka nichukue radio sina sana mawe yakutosha nilitaka nichukue hii radio ya kodtek kt 2319 au seapiano zile old model au hisense hi fi radio maana atleast kuna muziki Tupeane kuna spiki nzuri zaidi ya hizi tukiachana na anker,sony,jbl...
  12. Ipi tofauti kati ya Sea na Ocean?

    Wenzetu ambao mmesoma Elimu mbali mbali, ni ipi tofauti kati ya Sea na Ocean? Kuna maneno ya kiswahili ya Sea na Ocean?
  13. Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  14. Nichukue gari ipi kati ya haya na kwanini

    Wakuu kati ya gari hizi nichukue ipi; Vitz old model,Funy Cargo,Suzuki swift old model,corrola ya 4E, raum old model
  15. idadi ya watu waliokufa na walio hai ipi kubwa?

    Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
  16. Nyie mnaohangaika na Dini ipi ya kweli sijui dini ipi nzuri jifunze hili.

    Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na changamoto katika kujenga mifumo inayozalisha na kueneza sayansi, teknolojia, mitaji na taasisi imara kwa...
  17. 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Hello wana great thinkers 🧠 Blue Monday ✍️ Je, tunapaswa kuamini intuition yetu ya ndani bila kutumia reasoning? Yaani ile umekaa tu pap... ukapata sauti au msukumo wa ndani unaokuambia usifanye jambo fulani halafu ukaamua kuitii bila kwanza kufikiria kwa kina na kuchambua sababu? Umewahi...
  18. Hivi nia na madhumuni ya Tundu Lisu kuihamishia familia yake ng'ambo, na kisha yeye kurejea nchini pekeyake ni ipi hasa dhidi ya umoja na amani ya TZ?

    Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake? Na, kwanini aliitanguliza...
  19. A

    KERO Hatuelewi nauli rasmi ya usafiri wa umma Arusha - Moshi ni sh ngapi? LATRA toeni ufafanuzi

    Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
  20. F

    Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni. kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo kipi sahihi cha kufanya ambacho kitamsaidia mtoto na hata akiwa mtu mzima hatanilaumu baba yake ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…