internet

  1. Kenya unveiled a sixth submarine internet cable

    Thirteen years since Kenya welcomed its first ever fibre optic cable, the country has now unveiled a sixth submarine internet cable that promises to offer higher speeds, lower latency and broader bandwidth. The launch of the Pakistan and East Africa Connecting Europe (Peace) cable on Tuesday...
  2. NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  3. Ukiachana na VPN na TOR hii njia pia inaweza kukusaidia ku-access blocked sites au apps kwenye internet kwa kubadili DNS Servers

    Hello bosses....... Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
  4. Sielewi model ya vifurushi vya internet vya mitandao ya simu

    Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti. Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi. Kwa mfano: Airtel unakuta 1500 unapata 1gb Ila wana kifurushi cha 8gb kwa 15000, ikiwa ina maana 1gb...
  5. N

    Halotel kwisha kazi kwenye internet

    Jamaa walikuwaga poa sana kwa unafuu wa vifurushi na speed ila kwa sasa ni disaster hawafai kabisa, waepuke waepuke waepuke speed kama konokono
  6. TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi kuisha haraka

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu. Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
  7. Februari 8: Siku ya Kimataifa ya Mitandao Salama (Safer Internet Day)

    Siku ya Kimataifa ya Mitandao Salama inalenga kuongeza ufahamu wa masuala yanayojitokeza mtandaoni ili kuhamasisha mitandao salama na bora zaidi. Katika kuadhimisha Safer Internet Day, changamoto kama unyanyasaji mtandaoni na nyinginezo hupewa umuhimu kwani siku hii inalenga kuongeza ufahamu...
  8. TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima. Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet. TTCL walinipa hii details. Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k. Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem. Nikaamua kucheki...
  9. K

    Watumiaji wa Unlimited Internet leteni mrejesho

    Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa nipeni some recomendations
  10. R

    Nawezaje kudhibiti matumizi ya internet Kwenye laptop yangu?

    Habari Wakuu. Nina laptop aina ya Toshiba ila tatizo niiiunga na WiFi hotspot ya Simu yangu ya Tecno inakula data so mchezo. Juzi tu niliiunga ili kuperuzi website kadhaa lakini ndani ya dakika tano ikawa imetafuna MB 300! Naomba msaada nifanyeje kudhibiti hii hali.
  11. Tunaofanyia kazi nyumbani karibuni tushirikishane ni internet ipi unayotumia na desk setup yako ipoje?

    Heri ya mwaka mpya wakuu! Kwa wale wanaofanyia kazi nyumbani unaweza kutushirikisha ni internet ipi unayotumia na gharama zake zipoje pia. Na kama hutojali unaweza kushare desk setup yako tuweze kuona inamuonekano gani.
  12. Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  13. TTCL FIBER INTERNET INAPITA KWENYE NGUZO AU??

    Naombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inavyopita chini inawezaje kusambazwa majumbani, inabidi machimbo yachimbwe majumbani ili kuvutiwa waya wa fibrea au inakuwaje?
  14. Naomba kuuliza hivi kuna Internet Download Manager App Kwa ajili ya MAC Computers

    Wakuu naomba kuuliza kama kuna Internet Download Manager App Kwaajili ya MAC Computers. Kama ipo naomba link
  15. Jinsi Ya Kuweka Ukomo wa matumizi ya data ktk internet

    Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet. Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi shutdown lkn tatizo lipo pale pale , pia sio mtu wa kuangalia videos mtandaoni kiviile lkn kifurushi...
  16. R

    Satelite internet in Tanzania

    Habar wadau hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni TTCL ZUKU LIQUID...
  17. Fahamu Vivinjari (Browsers) maarufu zaidi duniani

    - Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea tovuti hiyo. - Takwimu kutoka tovuti ya Global Stats Counter zinaonesha kuwa kivinjari cha Chrome...
  18. L

    Biashara ya mtoa huduma ya Internet

    Ndugu zangu wana jamiiforum poleni na shughuri za hapa na pale naomba ushauri. Nahitaji kufungua kampuni ya mtoa huduma ya internet "ISP" kahama, ni hatua zipi za kufuata na gharama ya kianzio ni kiasi gani ahsanteni
  19. C

    Je Unajua Nini Kuhusu Mkongo wa Taifa?

    Unajua Nini Kuhusu Mkongo wa Taifa ? Wakati unajengwa Mkongo wa Taifa tuliambiwa mengi na politicians pamoja na vyombo vya habari. But personally bado nina maswali mengi kichwani. Wajuzi ningeomba watufafanulie some essues:- 1. Kwanini maeneo mengi upanikanaji wa internet bado ni shida...
  20. Meneja Masoko wa TTCL atimuliwe kazi, anaihujumu TTCL

    Huyu meneja wa masoko wa TTCL afukuzwe kazi Serikali popote mlipo, maboss wa TTCL, na wizara ya mawasiliano huyu afisa masoko wa TTCL ni hatari kwa usalama wa uchumi wa taifa hili Anatoa wapi ujasiri wa kutumika kuhujumu shirika namna hii? TTCL ndo kwanza wamefufuka, wanahitaji kuwafikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…