inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani? kuna raia hawatoboi week Moja.
  2. Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  3. Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  4. Inaweza kuwa Moja ya Taaluma inayolipa sana kwa sasa.

    Unaweza ukajihoji kuwa ulipoteza muda kupigania taaluma uliyonayo. Vichwa vyenye rutuba inayoweza kustawisha Ujinga vinazidi kuongezeka. Uongo unaweza kuwa moja ya bidhaa pendwa na muhimu kwa uhai wa serikali na viongozi feki. Wanufaika wanapambana kwa kukaza hadi mishipa ya nyoro kama...
  5. Q

    Wakili Dickson Matata: Hukumu inaweza kuwa batili, mahakama haikumsaidia mshitakiwa kuwaleta mashahidi wake.

    Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za...
  6. Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA

    Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA
  7. Je, mahakama kukataa kuwa summon Rais Samia, VP Mstaafu Philip Mpango na PM Mstaafu Kassimu Majaliwa inaathiri "Fair trial" ya kesi ya Lissu?

    By Advocate Paul Boniventure; Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza... Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
  8. Wakuu kun benki inaweza nikopesha kwa kutumia kiwanja cha 45m x 65m kama collateral?

    Karibuni Nina biashara ,ila nataka kuongeza bidhaa, benki ipi ina sera za kuwapatia wateja mikopo kwa kutumia hata kiwanja?
  9. E

    Bei ya mafuta inaweza kushuka zaidi kwa kupunguza kodi, tozo

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetangaza habari njema kwa watumiaji wa vyombo vya moto na mitambo nchini, kwa kushusha bei za mafuta. Kuanzia Jumatano ya Septemba 2, 2026, bei ya petroli imeshuka kwa Sh102 kwa lita, huku dizeli ikipungua kwa Sh101 kwa...
  10. Liwalo na Liwe. Nadhani leo inaweza kuwa mwisho. Naona imefikia hatua ambayo nakosa uvumilivu. Naweza kumpatia mwingine

    Inawezekana hata ile asubuhi kusema gari haiwaki battery imekufa kabisa ilikuwa ni mbinu na alianza tengeneza mazingira. Huyu demu nina miezi naye miwili tu. Yaani 2 months. Mbali na sisi kutumiana. Maana tumeshanyanduana sana. Hakuna faida nyingine tumepeana zaidi ya wakati flani aliomba...
  11. Nikiulizwa Leo Unahitaji Nini Kwenye NChi Yako

    Ninachokihitaji kiko sehemu ya Utangulizi wa Katiba ya JMT 1977, Kuna maneno ambayo yamepewa kichwa cha MISINGI YA KATIBA. Yanasomeka kama ifuatavyo. MISINGI YA KATIBA KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii...
  12. M

    Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani mpaka ikamilike? Pamoja na finishing

    Habari wakuu,
  13. Je, akili inaweza kuudhibiti moyo?

    “Kuna minyororo ambayo haionekani kwa macho, lakini humfunga mtu kuliko chuma. Minyororo hiyo ni hisia.” Moyo unataka kile kinachokufurahisha leo. Akili inapaswa kujiuliza: “Hiki ninachotaka leo, kitanigharimu nini kesho?” Ndiyo maana mtu anaweza kujua kabisa kwamba jambo fulani linamuumiza...
  14. Nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi ? Nione kama naweka mjengo wa 3

    Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035 Nimependa muonekano wake ! Je inaweza cost vipi leta mchanganuo Britanicca
  15. Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
  16. B

    Je, kuoa ambaye ameshazaa na wewe huna mtoto inaweza kuleta changamoto baadae?

    Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29, 1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela...
  17. Inawezekana kuwa dhahabu hii? Nashindwa kuelewa

  18. Je, dini inaweza kuimarisha ujinga na umaskini?

    Wakuu, heshima kwenu. Lengo langu siyo kushambulia wala kudhalilisha, bali nikujaribu kuangalia uhalisia wa masuala ya ibada katika maisha halisi na matokeo yake. Tangu nikiwa kijana mdogo kabisa, nimeshiriki ibada fulani kila mwaka. "Ibada ya kubariki mbegu" Kwenye dhehebu langu. Kwenye...
  19. N

    Barua ya uhamisho kutoka mkoani kwenda halmashauri inaweza kukuhamisha?

    Habar za mda huu wadau, Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa, Ikawa kimya miezi nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps...
  20. O

    IEBC Yaonya: Kupost Picha ya Ballot Paper Iliyopigwa Kura Inaweza Kukugharimu KSh1 Million au Miaka 3 Jela

    Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) imewaonya wapiga kura wa Ol Kalou kwamba kushare picha ya marked ballot paper kwenye social media ni kosa la kisheria. Kulingana na onyo hilo, mtu atakayepatikana amepiga au kusambaza picha ya ballot paper baada ya kupiga kura anaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…