inaitwaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kuna watu wanauliza swali kwanini wale wapemba waliouliwa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 Wakatholiki hawa kuwaombea ,Hii inaitwaje

    Yaani katholiki Sasa limekuwa ni dude kubwa kweli kila baya litapakaziwa. Ila niwaambie hamliwezi Just imagine muislamu na machawa wenye chuki na wakatholiki Leo wanahoji Kwa nini hawakuwaombea waliouwawa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 kule pemba. Au mauaji ya mwembe chai. Je waislamu...
  2. Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
  3. Hii kitaalamu inaitwaje?

    Kuna hawa jamaa ukiwaongeleaga wadogo zao wa kike au dada zao Huwa wanakasirikaga ? Mfano mimi Kuna mwanangu mmoja ukimtaja tu dada ake jamaa ananuna ......,yani ukimuambia tu dada ako ni pisi haongei na wewe siku nzima au ukimuambia mdogo wako nimemuelewa anamind Hii inasababishwa na...
  4. Hela ya 'Mchezo' kwa kiingereza inaitwaje?

    Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani...
  5. Kitaalamu hii inaitwaje?

    Week end njema .πŸ€―πŸ€―πŸ€―πŸ€―πŸ€―πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
  6. Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

    Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania? asanteni sana.
  7. Hii hali wadau ndio inaitwaje kitaalamu?

    Mko poa? Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?.. Na Dem hata sina .
  8. Hii kitaalam inaitwaje wakuu?

  9. Saa ya Kikwete (PHILIP STEIN) inauzwa bei gani?

  10. Kitaalamu hii inaitwaje?

    Unamdai mtu pesa yako ulimkopesha mwezi umepita hajalipa anatoa tu ahadi cha ajabu anakuja tena kujieleza shida anataka umkope tena pesa.
  11. Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  12. Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
  13. M

    Bodi ya mikopo kuanza makato upya baada ya Miaka minne kumaliza deni!

    Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?. Nolipojaribu kuwasiliana nao majibu yao wanasema hiyo ni retention fee hili limenishangaza sana na nimewapa statement ya...
  14. P

    Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

    Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu, Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli, Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
  15. Hii inaitwaje kitaalamu 😁

    Hii inaitwaje kitaalamu 😁
  16. Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  17. Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

    Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
  18. hii app inaitwaje

    hii app inaitwaje wadau msaada
  19. Mwenye kujua hii nyimbo inaitwaje anisaidie

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…