inaanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanzo NEW WORLD ORDER. Sasa inaanza. Hapa yapo Mataifa yenye Nguvu tu Duniani.

    Sasa wale ambao waliishia madarasa na hawakupata ujuzi wa hii lugha watanisamehe. https://www.instagram.com/reel/Df5OITgoP8E/?lqvp=NXZ0NjgzZTMwZGt0
  2. Biashara Yako Inaanza? Pata Wateja na Matokeo ya Uhakika kwa Kasi Sasa!

    Kuanzisha kampuni mpya ni hatua kubwa, lakini changamoto kuu ya biashara nyingi zinazoanza ni kupata wateja wa kwanza haraka na kujulikana sokoni. Usipoteze bajeti yako ndogo kwa kubahatisha au kutumia njia za kizamani zisizo na mrejesho. Nasaidia biashara zinazoanza (Startups) kupiga hatua kwa...
  3. W

    Je, Nairobi Inaanza Kugeuka Kampala? Boda boda Zinazidi Kutawala Taswira Ya Jiji

    Ukiwa katikati ya Jiji la Nairobi, hasa katika maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara, ni vigumu kukosa kuona makundi ya boda boda yakisubiri abiria, yakipita katikati ya magari au yakichukua nafasi kando ya barabara. Hali hiyo inazidi kuibua swali kuhusu mwelekeo wa usafiri katika jiji...
  4. M

    Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  5. Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  6. M

    AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako. Claude imetangaza maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika au kuboresha

    AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako-Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi.-Je, hii ni hatua nzuri ya kudhibiti matumizi ya AI au itawafanya watu waogope kuitumia?
  7. Leo ligi kuu inaanza, fungua link hii iliyomo JF maalum kwa ajili ya msimu huu wa EPL

    Arsenal kila la kheri https://www.jamiiforums.com/threads/english-premier-league-uzi-maalum-wa-msimu-2026-2027.2455265/
  8. Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  9. Ripoti za uwezekano wa vita kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza

    Ripoti za uwezekano wa mzozo kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza. Mrorongo wa ndege za Marekani tayari uko katika eneo hilo, na diplomasia inajitokeza chini ya kivuli cha kuzuia. Tehran inajenga upya silaha zake, inaunga mkono wawakilishi, na inaendelea kutoa wito wa...
  10. S

    Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

    Huu ni mtazamo wangu: Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais. Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
  11. K

    Dira ya 2050 inaanza kwa kujidanganya!!!! eti kuna demokrasia na uhuru wa mahakama!!!!

    Hapa Mbowe kasema ukweli https://youtu.be/lJ_VHuVjKnc?si=MhaK0MDr-HUhBDeW
  12. Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  13. PreGE2025 Video: Je, G55 walitapeli wenzao? Mzee Rungwe ameamua kupata kiinua Mgongo? Movie inaanza kuharibika

    Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA. Wanasema wao si CHAUMMA, bali ni CHADEMA japokuwa walihudhuria mkutano huo?
  14. Wapendwa dawa ya fungus kwenye mapaja naona na scrotum INAANZA kuwa nzito loh

    Shalom wapendwa Ma dk wenzangu Matibabu wote Naomba kuuliza dawa ya fungus kwenye mapaja na pia nahisi scrotum inawasha Nilikuwa.mkoa.mmoja nahisi maji yake hayakuwa salama kwangu na mwezi sasa nimekunywa grysofulvin wiki ikatulia kuwasha naona imerudi tena Mbaya zaidi naona na scrotum...
  15. Ruto aoomba kukaa na upinzani kutengeneza serikali ya umoja

    WAKUU habarini za jion Naangalia itv hapa naona habari njema MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia...
  16. T

    Dollar inaanza kupanda thamani dhidi ya Shilingi

    Hapa katikati kumekua na mtiririko mkubwa na wa kushangaza wa kushuka kwa kiwango cha kubadilishia fedha hasa Dollar ya kimarekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania. Hali hiyo ilipelekea watu wengi kujiuliza maswali mengi na kukosa majibu. Wengi walifikiri labda ni matokeo ya uchaguzi wa Marekani...
  17. Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

    Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
  18. Prof. Issa Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake inaanza kutumia mabavu

    Mwanasheria na Profesa mkongwe kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, alitoa onyo kwa serikali wakati wa Kongamano la Kitaifa la Ardhi 2024 na Maadhimisho ya Miaka 30 ya Hakiardhi, yaliyofanyika Jumanne, Oktoba 29, 2024. Akihutubia washiriki, Prof. Shivji alisisitiza umuhimu wa...
  19. Recruting ya JWTZ inaanza lini?

    Baada ya kutuma maombi ya jeshi la wananchi tanzania ni kwa mda gani majibu yanatolewa na kwa njia gani
  20. Kama Ligi ndio ingekuwa inaanza sasa basi Simba ingeshuka daraja

    Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake . Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko maofisini hali ni mbaya zaidi , kuna wakati matokeo ya timu yetu yanasababisha baadhi wasiende...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…