My people,
Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki
Haki huja baada ya amani kuwepo sehemu yoyote ile duniani,kwani uwepo wa amani ndio hufungua kurasa nyingine za mazungumzo...