ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ila ngumi za Tanzania zina uhuni sana

    Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala. Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la leo ni aibu
  2. JamiiForums Tanzania Ila hii bongo🤔, kila uchao unakutana na influencer anasema watu hawajui kuajiriwa ni utumwa, sasa unajiuliza kuna mahala pa kuokota pesa ukawekeze?

    Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka. Tusipende kuona kwamba kujiajiri ni kitu ambacho sio process, sio gharama na sio kigumu.
  3. JamiiForums Tanzania Nina hakika Rais Samia ana nia njema nasi ila hili la 29.10.2025 limechafua mno mnonga!

    Nina uhakika Samia hakuingia Ikulu kutuibia, lengo lake alete Maendeleo kwetu ila ili la 29.10.2025 limechafua sana anga hata afanye nini sisi tumechagukwa mno mnonga
  4. JamiiForums Tanzania Ila Arsenal dah!

    Naona kabisa hawataki kuchukua kombe.
  5. JamiiForums Tanzania Ukiangalia stori za dini zote hapa dunia zilifikishwa kwa watu kwa hiari ila kuna hio moja ilibidi watu wafanyiwe fujo ndio wengine wapokee kwa lazima

    Tena kwa mauaji na unyang'anyi. Nisengependa kuwataja ila mnawajua na watakuja kwenye comment kutisha watu maana wanajijua🤐
  6. JamiiForums Tanzania Ukiachana na madhaifu yake yote ila Ndugu Jakaya Kikwete alikuwa rais wa tofauti sana na je logic ya kuondoa bendera ya Chadema kwa Mtei ni ipi?

    Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho. Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Garage STD 7 anaingiza 50-200K daily. Wahitimu wengi bila ajira hawamudu bando. Elimu ni muhimu, ila ujuzi ni muhimu zaidi

    Lengo si kuwahamasisha watoto waishie darasa la saba, la hasha kabisa. Lengo ni kuwaonesha wazazi uhalisia wa mambo; kwamba ajira wanazozitamani kwa watoto wao ni chache sana na si kila mtu atapata nafasi hizo. Hivyo ni muhimu kumuandaa mtoto katika mazingira yatakayompa ujuzi mbalimbali ili...
  8. JamiiForums Tanzania Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  9. JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilijiuliza kwanini nchi zetu za afrika kuna vichaa wengi wanaolanda landa mjini, wengi watasema ni uchawi, ila naamini jibu ni hili hapa

    Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii. Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
  10. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza kwa nini visa vingi vya aliens tunavipata kwa nchi za wazungu sana ila huku africa recently sijawahi kuona watu wanasema wameona UFOs.

  11. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

    Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
  12. JamiiForums Tanzania Niliamini mliwauwa ila sikuamini mliwazika kama Taka taka Leo ndo nimeamini, Je IKULU ni tamu chini ya kuwazika kama taka taka?

    Daaah, baada ya kuwasikiliza watu wawili kutoka Arusha na Dsm nimeamini mliwazika shimo Moja kama Taka taka aise shame on you! Najiuliza hivi Rais awa wanao jitokeza kwa tume umasikia? Je kweli uliruhusu watu vijana wetu wazikwe shimo kama la taka taka Ili uwe Rais? Walah nimelia nimelia kweli...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa alisemaga humu eti ukifuha ng'ombe mmoja wa maziwa mwajiriwa wa serikali hakufikii😂 ila JF bana isifutwe aisee

    Hii ndio zile ahadi za kiujamaa tukaishia kula vumbi hadi leo
  14. JamiiForums Tanzania Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  15. JamiiForums Tanzania Bora Uganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi walizima pasipo kumwambia yeyote

    Bora Waganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi tulikuta tupo korokoroni, wakawaua watoto zetu kama nzige wakachimba mashimo wakawafukia kama takataka. Waganda wamezimiwa huku wakiwa na taarifa lengo ni kuwa wasioneshe vijana waliojitokeza KUCHAGUA Bobi Wine bali watuoneshe mizee ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi M7 'akishinda' kama wetu Uganda imepoteza ila Bobi Wine akishinda Uganda na hata M7 atakuwa ameshinda

    Naomba yaliyotokea Tanzania yasitokee Uganda vinginevyo ilazimike kuwa hivyo. Heri Bobi ashinde ndipo waganda wote washinde kuliko kushindishwa m7 ambaye umri umemuacha. Sijui kwanini watawala washenzi na waroho wa kiafrika wanapenda kufia madarakani.
  17. JamiiForums Tanzania Ambulence hatuna ila magari ya bei mbaya ya polisi tunayo!

    Nimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.
  18. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliaminishwa kabla ya kuanzisha biashara, ila ulipoingia uliona mafanikio au mauzauza

    Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
  19. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani? Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
  20. JamiiForums Tanzania Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…