Tangu 2012 Nimekuwa Nikijaribu Kusimama Tena — Changamoto Niliyonayo Sasa
Wakuu, nimeona leo niandike kitu ambacho kwa muda nimekuwa nikikifikiria sana.
Mwaka 2012 nilifeli masomo. Tangu wakati huo nimepitia vipindi mbalimbali vya maisha—wakati mwingine nikiwa na matumaini, wakati mwingine...