ikulu

The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Vijana tulioshiriki ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma tutapata lini mrejesho wa ahadi za Waziri?

    Vijana tulioshiriki katika ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tulipewa matumaini makubwa baada ya kuitwa na Waziri wa Ulinzi jijini Dodoma, ambaye alituahidi mambo makubwa ndani ya muda mfupi. Hata hivyo, mpaka sasa ni takribani miezi miwili imepita bila kupata mrejesho wowote kuhusu...
  2. Civilian-Coin: Wazazi wetu wametumia gharama kutusomesha halafu Ikulu inaunda Mafeki na kuwapa vyeo na heshima kwa majina yetu na kutudhalili juu. "

    Wazazi wetu wametumia gharama kutusomesha halafu Chamwino inaunda Mafeki na kuwapa vyeo na heshima kwa majina yetu na kutudhalili juu.Sasa sisi hatuwezi kusomea watu shule halafu mwingine afaidi kwa elimu yangu, haiwezekani...Maorijino tuko njiani tunakuja Chamwino mpaka Magogoni.
  3. Nimekaa pahala nimetulia najiuliza Samia ananufaika na nini kumfunga Lissu? Je kuto ruhusu amzike Kaka yake ananufaika na nini? Je ikulu yampa nini?

    Hakika inaumiza najiuliza wewe Ndunguru na Samia mnafaidi nini ndugu zangu? Kesho Kaka yake anazikwa. Nyie mtafaidi nini ? Inaumiza inaumiza inaumiza mnoooo! Dunia sio mbaya walimwengu ndoa wabaya
  4. Mh rais waliopoteza ndugu ili uingie ikulu, wafidie tu Mama machozi yao yanaichafua ikulu mno mbinga!

    Ukiangalia ile clipunya Anger, ukiangalia ile clipu ya Baba anae mtaka mwanae amzike maana mpaka sasa alizika kiatu tu, Leo jioni nimekutana na nyingine ya Mwanamke aliyevalia kofia ya bwana ake analalama alimzika mumewe akiwa ameisha oza, na ana watoto wawili hawana msaada wowote,anaomba...
  5. Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  6. TBS mko wapi? Trump na Ikulu ya Marekani wamesema Mirija ni hatari kuliko hata plastiki!

    Ikulu ya Marekani imekiri kuwa mirija ya kunywea kinywaji ni hatari kuliko hata chupa za plastiki. Ikumbukwe chupa hizo ni hatari zaidi kwa afya na zinasababisha kansa. chupa za Maji na vinywaji za Dar es
  7. A

    KERO Ucheleweshwaji wa utoaji wa majibu ya rufaa za Utumishi Ikulu

    Habari za kazi? Sisi ni wahanga wa manyanyaso katika utumishi wa umma, na tumekata rufaa katika Ofisi ya Rais, Ikulu, tukitafuta haki zetu za ajira. Hata hivyo, mchakato wa kushughulikia rufaa zetu unaendelea kwa kasi ndogo, huku muda ukizidi kwenda bila kupata majibu. Hadi sasa, hatujapokea...
  8. Museveni and his Upanga days unpaid bills Covered by my family

    This is a factual account, read it as a story of how the vagaries of life can take you from a refugee fleeing debt to a president, or a character flaw and seminal integrity issue that explain bigger leadership problems in Uganda and Africa. You are probably aware that Yoweri Museveni studied at...
  9. M

    Yameanza Mbeya Leo. Kufikia Oktoba 29 watakimbia Ikulu.

    Kwa ujumla hii serikali imejaa uovu na wananchi hawaitaki. oktoba 29 wananchi wanareknew upya. Sina mengi.
  10. Elimu ilianzia ikulu ikapelekwa tandale na haikuanzia buza kuelekea ikulu.

    Habari wakuu. Zingatia kichwa cha habari tajwa hapo juu, soma kwa kutafakari sababu huu uzi mfupi unakupa majibu kwanini elimu ya sasa licha ya kusoma mpaka chuo kikuu ila haimsaidii mtu mmoja mmoja asiye na ajira kujikwamua kiuchumi. Kihistoria elimu ilianzia ikulu special for kings, prince...
  11. IKULU hamna taarifa ya pole ya MSIBA mkubwa ajali MOROGORO! Je Tueleweje

    Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30 Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika? RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
  12. Kazi Kada ya Kuonja Chakula Ikulu

    Hii kazi ni kama ya kizembe ukiiona ila ni moja ya kazi ngumu sana duniani.
  13. SI KWELI HATIMAE: Dr. Nchimbi Aonekana Ikulu Usiku wa Manane Kumfariji Rais Samia

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Emmanuel Nchimbi, amefanya ziara ya kushtukiza na ya faragha usiku wa manane katika Ikulu ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali na kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Ziara hii imefanyika...
  14. Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  15. Vyombo vya Habari vya CNN, MSNBC, na Politico vyapigwa marufuku kuingia Ikulu ya Marekani,

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuwa anapiga marufuku mara moja vyombo vya habari vya CNN, MSNBC, na Politico kuingia Ikulu ya Marekani, kutokana na kile alichokiita kuripoti habari za uongo bila kukoma. Pia alisema kuwa vyombo vingine vya habari vinatarajiwa kuzuiwa kuingia huko hapo...
  16. Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  17. IKULU WIKI HII

  18. Nukuu Za Rais Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar

  19. Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  20. Barua ya VP ni Taarifa ya Uamuzi wa Kujiuzulu Sio Ombi!. Taarifa ya Ikulu ni Ombi Limekubaliwa!. Ilipaswa Iwe Rais Amepokea Taarifa Ameridhia!

    Wanabodi Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!. Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…