idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    DW News : Utafiti unaonyesha kuwa idadi ya Waislamu itazidi idadi ya Wakristo duniani ifikapo mwaka 2035

    Makadirio ya Kituo cha Utafiti cha Pew yanaonyesha kuwa kutakuwa na Waislamu bilioni 2.57 na Wakristo bilioni 2.52 ifikapo mwaka 2035. Watafiti wanasema tofauti katika viwango vya uzazi zinachangia mabadiliko hayo. Uislamu na Ukristo vinaongezeka kwa ukubwa, lakini idadi ya Waislamu inaongezeka...
  2. MBEYA NI KAMA BAJAJI NI NYINGI KULIKO IDADI YA WATEJA

    Kamwe usianzishe biashara kwasababu Umeona mwenzio ameanzisha na anapiga pesa. Kumbuka kila biashara inachangamoto zake,na inahitaji uzoefu flani. Jana nilikua Jiji la Mbeya ni kama BAJAJI NI NYINGI kuliko idadi ya watu wanaohitaji huduma hiyo(sina uhakika hii ni assumption tu). Nikawaza...
  3. Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara lakini viongozi hawataki kuishi maisha ya ufukara

    Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
  4. Kwanini siku hizi idadi ya wanaume wanaoenda kanisani imepungua sana? Na idadi ya wanawake kwa waganga imeongezeka sana?

    Huu ni ukweli usio na pingamizi, wanawake wamekuwa washirikina sana hadi inasikitisha. Na wanaume wamekuwa wapagani sana hadi inaogopesha
  5. H

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
  6. Nimetembelea mjini Twitter na instagram, idadi ya watu wanaotekwa na kupotea inatisha

    Wakubwa,ni Mimi tuu ,Nina mda siajaenda miji miwili mitakatifu, Twitter na inster ,Kuna clip nyingi za watu wanaolalamika ndugu zao hawaonekani ? Hii Ina maana gan kama taifa . Kwa sasa nchi yetu Ina laana cyo bure Siombei ila nataka niseme ,, "TANZANIA NOW ITS NOT A COUNTRY " But the...
  7. Ballon d'Or wabadili gia angani baada ya Cristiano Ronaldo kuongoza kwa idadi ya kura kwenye B.O.A.T

    Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time) Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili. Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu...
  8. Kwa idadi ya waTz zaidi ya milioni 70 waliopo sasa, ikitokea hata waTz milioni 10 wakasusia jambo fulani mathalani uchaguzi hapatakua na athari zozote

    Kwasababu, idadi ya ambao hawatasusa inatosha kabisa taifa kumove on bila ya changamoto yoyote kama ilivyo sasa. In fact, Idadi hiyo ya waTanzania, inafanya taifa kufocus zaidi na mambo yajayo kuliko kubabaika na porojo au misimamo isiyo na tija ya ving'ang'anizi ambao wanajipa umuhimu na...
  9. Utalii wa Faru weusi waongeza idadi ya watalii hifadhi ya Taifa mkomazi

    Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ni moja ya Hifadhi tano zilizopo mikoa ya kanda ya Kaskazini ambazo ni Tarangire ,Manyara,Arusha na Kilimanjaro . Hifadhi hii ya mkomazi inaunganisha mikoa ya Kilimanjaro na Tanga ikiwa na ukubwa wa Kilometa za mraba 3245 ikiwa umbali wa Kilometa 112 kutoka Moshi...
  10. Nikiwa Rais kuna course za degree zitafutwa, nyingine zitahamishiwa masters, nyingine zitapunguzwa idadi ya wanafunzi, na nyingine kuungwanishwa

    Kwa sahivi kuna lundo la course zinatolewa ambazo hazina tija na nyingi zinatakiwa kufutwa, zinatakiwa zihamishiwe kwenye masters na phd sababu ni kama zinatolewa na vyuo kwa ajili ya kupata faida na huku wanafunzi akihitimu anakua na nafasi ndogo sana ya kupata ajira, nyingine zitapunguzwa...
  11. idadi ya watu waliokufa na walio hai ipi kubwa?

    Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
  12. Idadi ya watanzania kufika Milioni 120 ifikapo 2050

    Ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania linatarajiwa kufikia takribani milioni 120 ifikapo mwaka 2050, hali inayotarajiwa kuongeza mahitaji ya miundombinu na huduma muhimu. Fursa kubwa zinaonekana katika ujenzi wa nyumba, barabara, hospitali, mifumo ya maji na miundombinu ya mijini, huku sekta...
  13. Polisi na vyombo vya habari wamewekewa filter za kutangaza matukio na idadi ya watu.

    Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi. Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi. Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa...
  14. Idadi ya Wanaume wasiooa Marekani imeongezeka kwa karibu asilimia 50, kiwango cha juu zaidi

    Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4 Dondoo Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20–39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47%...
  15. Hivi Chadema ina idadi ya wanachama wangapi nchi nzima mpaka sasa?

    Binafsi kama mTanzania, natamani sana kujua na kufahamu hilo, kwasababu ni muda mrefu sana tangu chadema istop kusajili wanachama wapya kidigitali. Na bilashaka yoyote hata wadau kadhaa wa JF, nadhani wanatamani na wangependa walau kufahamu hilo. Anae fahamu tafadhal aweke wazi numbers tu...
  16. Idadi ya watu vs Fursa za ajira

  17. 2080 idadi ya wanawake itakuwa kubwa kuliko wanaume

    Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume. Chanzo : NBS
  18. S

    Ndani ya wiki 2 wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa huku idadi kamili ikifichwa

    Ndani ya wiki mbili pentagon wamesema wanajeshi 100 wamejeruhiwa na watatu kuuliwa. Lakini ripoti zinasema pentagon wamekuwa wazito na slow kwenye kutoa takwimu halisi huku idadi kamili wakificha kwa hofu za kiusalama. Iran ilishambulia kambi za marekani zilizopo kwenye nchi za ghuba ya uajemi.
  19. Nauza tofali used zipo idadi 200

    Tofali zimesha uzwa zote, Asanteni
  20. Eti wenye Pesa hawana Kelele one day ntachafukwa niwape wana JF kwa idadi ya watu 500 kila mtu 100,000, mi si tajiri Lakini

    Ndiyo kelele ni za maskini, Ila wenye pesa hawapigi kelele endeleeni kunichokoza Kelele zinapigwa na wanavyofanya Mi si tajiri na si tajiri sana ila ka bilion 2 sikosi kwenye majumuisho yangu Siko vibaya sana Nasema haya makusudi, Ninyi ndugu zangu, kwanza dunian hakuna mtu maskini ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…