huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Huyu ni Wema Sepetu?

    Watu wanabadilika sana huwezi amini kama huyu ndo wema sepetu.
  2. Nipo kanisani, huyu Askofu kila mada anayotoa leo naona ananilenga mimi, nikipata nafasi nachomoka hapa

    Kwanza sadaka sitoi Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
  3. Kwa kuto maoni kama haya huyu mwandishi nae atapotezwa kama Azory Gwanda?

    Kama kuna umuhimu wa maridhiano basi Lissu aachiwe.👇
  4. E

    January Makamba alipewa tilioni 6 za matengenezo tanesco huyu wa sasa amepewa tilion ngap!?

    Alipo ingia makamba tuliambiwa ameomba tilion sita sababu matengenezo hayajafanyika kwa miaka mitano ya Magufuli. Huyu waziri wa sasa ameomba bei gani!?
  5. Sometimes tufundundishane tu Kwa njia ngumu ili heshima iwepo, huyu nyangwisi hatanisahau 😎

    Mwaka jana, mwezi wa 4 nikiwa katika harakati za kueneza kampeni ya kataa ndoa hapa mtaani, alitokea bishoo mmoja na kusema, "bro wewe unajifanya kataa ndoa kumbe jogoo lenyewe haliwiki, unajifanya kataa ndoa ili kuficha ugumba wako.....hivi wewe unaijua raha ya ndoa?". Aisee! Ile kauli...
  6. Karibuni Kwa Ushauri wenu wakuu Kwa Kwa kijana huyu.

    Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa wanyama?
  7. Huyu bodaboda mkazi wa chakani unguja zanzibar kafariki ndugu zake hawajulikani

    Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa. Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni muhimu pale tunapo pata viridhiki kidogo tujitahidi kuanzisha familia, vuta demu ghetto WA kuishi nae...
  8. Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
  9. Sikatai wewe ni jasiri ila humfikii huyu dogo wa Dizonga

    Ishu sio kulala na Ashawo kichakani huku akiwa na Rand 2000 mfukoni ( Kama laki tatu na ushee ya kibongo) . Ishu ni kupiga chukuchuku ( Kufanya Raw Sex/ Sex bila condom) na Malaya wa DURBAN NATAL.. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Man Robbed After Dispute Over Sex Worker Payment: Verulam CBD - KZN A man was...
  10. Sasa huyu mkuu wa gereza si atajamba mahakamani? Kwa Nini serikali mnaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI?

    Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
  11. Kwa nini huyu mwanadada kila akiniona huwa anatabasamu kisha anaangalia chini?

    Jambo watanzania Iko hivi,kuna office moja ya umma nafuatilia huduma flani flani,sasa bana toka day one nafuatilia ile huduma kuna bibie mmoja tulikutanisha macho yetu,sasa wakati niko kwenye kiti nasubiri zamu yangu ifike akatokea incharge wao akatuambia wengine tuelekee kwenye dirisha ambalo...
  12. Kuna wanawake hawazeeki jamani. Hivi huyu bibi Cynthia mnamfahamu?

    Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano. Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.
  13. Leo kumekuwa na Nderemo, Vifijo, Hai hai na Sherehe JF. Hongereni Mods. Huyu jamaa asirudishwe tena

    Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe . Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa...
  14. Weekend Nyingine Karibuni! Demu huyu ntamtawanya na sitataka demu tena hadi mwezi uishe

    Siiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho Mpaka week inaisha itakuwa Powa Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
  15. Huyu Dr Mariposa ni dokta kweli au ndio kama wakina Dr Hayaland

    "Wanaume mnanuka vikwapa, ogeni"
  16. Huyu naeye tutamfatilia 😆 😂 😆 😂 😆

    https://www.facebook.com/share/v/1DLjLg19Jh/ Wenzie wako mazoezini anaenjoy nayeye tutamfwatilia
  17. Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  18. Nimesoma hii comment ya huyu hadi mwili umesisimuka

    Pole sana bwana PERAMIHO YETU 1
  19. G

    Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

    Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba. Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
  20. Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…