huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. Kimantiki takwa la kuachiwa huru kwa Tundu Lissu kabla maridhiano hayajafanyika halina maana tena!

    Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote. Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
  2. C

    Mwanaharakati ameandama mahakamani Kenya akishinikiza kuachiwa huru kwa Twaha Mwaipaya

    Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Julius Kimani, amefanya maandamano katika Mahakama ya Milimani jijini Nairobi, kupinga kutoweka kwa mwanaharakati raia wa Tanzania, Twaha Mwaipaya ambaye hadi sasa hajulikani alipo. Hayo yamejiri leo Jumatano, Novemba 11, 2026 siku ambayo shahidi...
  3. K

    Mwanamke aliye ndani ya ndoa kipato kikiongezeka anataka kuwa huru, Mwanaume akipata Pesa anawaza kujenga na kuimalisha famila /ndoa. Nini sababu?

    Habari za jumapili wadau, kuna hii tabia ya wanawake walio katika ndoa wanapopata Pesa cheo au umaarufu mahusiano yao ya kimapenzi / ndoa na wenza wao hufa. Kwanini mwanamke asitumie hicho kipato chake kuimalisha mahusiamo ya ndoa. Ukifuatilia baadhi ya ndoa zimevunjika baada ya mwanamke...
  4. Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  5. L

    Ingekuwa ni jambo la kusikitisha, kufedhehesha na kukatisha tamaa sana kama Lissu angeachiwa huru

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Kilicho sababishwa na kuchochewa na Lissu Ingekuwa ni Jambo la Aibu Fedheha na jambo la kukatisha Tamaa ikiwa Lissu Angekutwa Bila Hatia na kuachiwa Huru Kuingia Mitaani . Haiwezekani Maneno yooote yale ya Uchochezi aliyokuwa anayatoa halafu eti Mwisho wa siku...
  6. G

    Lissu aliye gerezani atawatesa sana kuliko Lissu aliyeko huru uraiani sauti yake inaenda mbali sana kuliko angehutubia jangwani akiwa huru

    Sijui washauri wa hicho kikundi ila mahesabu Yao yanamjenga Lisu zaidi na zaidi Mfano Jana kitendo Cha KUbana internet kwenye social media wametangaza mission ya Lisu zaidi Maana mamilion ya watanzania wanaotumia Facebook Whatsapp Instagram watajua Nini kinaendelea baada mtandao kuwa down...
  7. Well done Mahakama huru ya Tanzania

    Mmetekeleza wajibu wenu kwa uhuru, uwazi weledi na kwakuzingatia katiba ya Tanzania. Mmetumia vema maudhui ya pande zote yaliyowasilishwa mbeleni yenu kuamua kutenda haki bila kujali mashinikizo, porojo, mihemko au makasiriko ya maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu kutoka ndani na...
  8. ikitokea lisu akaachiliwa huru, huu ulinzi utamsindikiza hadi nyumbani labda?

    Mwenyezi Mungu ajalie yatoke maamuzi yanayotarajiwa na wengi. sisi tuliopo huku mtaani kila mtu sala yake anaomba lisu achiliwe , si kwa maslahi yoyote isipokuwa ya taifa na hatma nzuri kwa taifa letu. mi nakajiuliza ikiwa itakuwa hivyo ambapo pia ni dua yangu kwa Mungu awe huru,sasa alivyo...
  9. Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  10. Sala Dua na Maombi yangu Lissu aachwe huru, huu mjadala ufungwe, tuendelee na mambo mengine

    Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine. Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50 Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
  11. PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  12. Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
  13. LEMA waambie walokutuma, Hatuogopi kufungwa kwa sababu ya Ripoti za Kihuni za JAJI Chande na JAJI Lila,Kwann CCM hawataki uchunguzi Huru?

    Kama Viongozi wa CHADEMA wataishia Jela, swali la msingi ni Wanaishia Jela kwa Haki au Uonevu na Ukandamizaji??. Yaaan wewe LEMA mpumbavu, unataka CHADEMA iwapihie Magoti CCM eti sasa Viongozi wake wasifumgwe??? Wewe LEMA ni mjinga kupindukia, Badala ya kuwaambia Wananchi lazima Tupambane...
  14. 4

    Nafikiri kama tunaenda kwenye uchaguzi huru na haki Ccm wampe Makongoro awe Mgombea wao

    Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua . Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana Thanks
  15. C

    kesi za maandamano ya Oktoba 29 yatamatika Bunda na kuachiwa huru kwa watu 30

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Musoma, imemwachia huru George Mapuli Bukingi na kuhitimisha rasmi mfululizo wa kesi za vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, wilayani Bunda. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Kakolaki, aliyekubali rufaa ya Bukingi iliyokuwa ikipinga...
  16. Ulikuwa mtu huru una enjoy Life. Ghafla unaambiwa umeteuliwa kuwa Ayatollah Iran. Unaoneshwa mashimo ya kuishi

    Hii Dunia haipo fair kabisa. Imagine ulikuwa na uwezo wa kutembea popote upendapo. Kwenda beach, porini, shambani n.k ulikuwa unaweza kaa na watoto wako na wakezo mka enjoy Anatokea mbwa mmoja kwa wivu na chuki zake anapendekeza unakuwa Hayatollah. Hapo hapo maisha yanabadilika. Unaanza...
  17. N

    Tunatafuta Kampuni za Habari au Waandishi wa Habari Huru kwa Ushirikiano wa Kimkakati (Strategic Partnership).

    wakuu kwema, tunatafuta kampuni za habari au waandishi wa habari huru wenye nia ya kushirikiana nasi kimkakati katika kuendeleza teknolojia, habari na usambazaji wa maudhui ya kidijitali. Tunakaribisha wenye nia ya kuchunguza fursa za ushirikiano. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
  18. Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

    Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom? Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
  19. R

    Vijana nguvu mnayoiweka kwenye Derby mgeliiweka kwenye liberation struggle ya Tanganyika, tungelikuwa huru kitambo!

    Mtaa wote kelele, hakukaliki. Najiuliza nguvu hii ingelitumika kuikomboa TANGANYIKA, tungelikuwa huru mudà kitambo. Tumelogwa na nani!
  20. Mahakamani huru ya Tanzania isione huruma, aibu wala haya katika kuwahukumu wakiuka sheria na wasio itii katiba ya nchi.

    In fact, kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi. Sheria na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…