humu

The VL Humu (Whirlwind) is a Finnish fighter aircraft, designed by Valtion lentokonetehdas in 1944, and based on the American Brewster F2A Buffalo.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanaume ambao hatujawahi kutoka na wanawake wa JF tunakwama wapi? Mapenzi yanawezekana humu au ni mijadala tu?

    Kwa wale ambao hatujawahi kutoka kimapenzi na wadada wa JF, hebu tukutane hapa tupeane uzoefu, ushauri, faraja na mbinu za kuwapata. Nasikia humu kuna wanawake wa hadhi, intellectuals, great thinkers, wanawake wenye upeo mpana wa kufikiri na mijadala yenye mashiko na waliojipata kimaisha. Sasa...
  2. Dah leo nimekunywa pombe nyingi sana ila nina cha kusema kuhusu mahusiano yetu humu🤔

    Sisi ni watu wenye akili timamu sana , ndio maana tunakoseana , 🤔 Kiukweli tumezinguana ila sioni sababu ya kuendelea kuzinguana humu . Kupevuka nikuona na kuacha yapite, leo binafsi natoa kila mtu ignore kwa kutambua , nimekua kihisia na kiakili🤔 Na ndivyo JamiiForums.com inataka...
  3. Wakili Peter Madeleka katema sana shule humu kwenye hii podcast, watu wengi tunahitaji Elimu ya sheria

    Jamaa kaongea sana humu, watu wengi tunakosa maarifa https://youtu.be/u2aZFKR9NKQ?si=ZvTGb_CQ7YGspu3R
  4. Hii ndoto inamaana gani? ndoto nyingi nilizoleta humu zilikuwa na maana kulingana na wadau waliozitafsiri

    Kuna ndoto niliwahi zileta humu kulingana na tafsiri za wadau nyingi zilileta maana. Leo nimeota hivi usiku. Nilikuwa mm na mke wangu na mdogo wangu wa kiume ambaye pia naishi nae huku nilipo sasa tulikuwa tumetokea mjini tunatembea na mguu tunarudi kwenye mitaa tunayoishi. Sasa njiani...
  5. Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  6. Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

    Nimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza. Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia. Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna...
  7. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  8. Ila JF 😁, kila mtu ana pesa, ana nguvu za kiume, anatongozwa na wake za watu , kila mtu haishi kwa shemeji yake na kila mdada humu ana keboz makubw🔥

    Maisha yaendelee
  9. Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

    Hii ndiyo kusema kuwa, usipendelee kuchukua upanda na kuanza kurusha makombora ukiona bibie na babue wanazozana kwenye jukwaa. Hao ni wapendanao kule piem. Red black, ShesRise_1, na Seran njoo tuulinde huu uzi kwa wivu wa kupindukia, maana una mafunzo ndani yake.
  10. Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa anatumia ID ipi humu?

    Habari zenu Wakubwa Naomba kuulizia ID anayotumia Waziri wetu wa afya humu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa nina jambo nataka kumshirikisha Nilimsikia akidai kuna alimjibu mtu humu JF kuhusu kero zinazotokea kwenye sekta ya afya na huwa anapita sana humu kujibu jibu maoni na maswali ya watu...
  11. Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l

    Wanabodi Hii ni PNA ya Makonda Siku hizi ukimsifia kiongozi yeyote, huchelewi kuitwa chawa, hivyo kama mtu utaitwa chawa kwa kuusema ukweli, then let it be it!. Kuna viongozi wengi nimekuwa nikiwazungumzia, mmoja wao ni Paulo Kristiano Makonda, wanga na wasio mpenda wanamuita DAB, hawa...
  12. Video: Ukimsikiliza Lissu alipokuwa bungeni halafu ukisoma nyuzi za machawa humu JF utagundua, Machawa kuna namna fulani wana laana

    https://www.tiktok.com/@emmanoeli3/video/7681738572277288210?_r=1&u_code=e0hkf9aj984902&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=dmbi6bhhk236d0&share_item_id=7681738572277288210&source=h5_m&timestamp=1791747785&user_id=7073563122229298182&sec_user_id=MS4wLjABAAAAUJa_GofDENFj0b3t4zylnDgbbtbouvSMjso0y1zh...
  13. Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  14. Hivi kuna mjuaji humu JF ameshawahi kutokea kama Gentamycin?

    Habari jamani Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta. Nawasilisha
  15. Zai kama upo humu JF natumaini ulipata msaada ambao ulikuwa unahitaji. Sikuwahi kujua kuwa mwanaume anaweza mkimbia mwanamke sababu ya kutaka sex sana

    Kama ni pepo, kama ni high libido , kama ni tabia tu unajua mwenyewe aisee ila haukuwa wa kawaida. Kilichonichosha ni wewe kupendelea kutumia sex toys nikuchomeke kwenye jagina na MAKEBO yako huku nikiwa nakufanyia romance. Kila fikra iliomo kichwani mwako ni ngono na kila hamasa ya kufanya...
  16. Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

    Marcostilone ERoni Grahams Dr am 4 real PhD mcTobby Hongereni sana vijana ingawa watasema hizi zote ni akaunti zangu😁
  17. Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

    Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana? Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
  18. Humu ndani kuna mtu nampenda nisaidieni kumwambia

    Mimi sio domo zege ila nahisi kawahiwa
  19. Hivi wanaume wa jf unajiskiaje kujua hakuna mali humu?

    Binafsi unajisikia furaha sana... I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
  20. Kuna sisi tunapenda humu JF 😁😁

    Tunapenda mno , ila tukigeuzwa vituko , sio kila mwanaume anapenda hili life style, kuna wengine tunapenda tutulie na wanawake zetu, ni nyie wanawake mnatugeuza tu kukataa ndoa🍺🤔
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…