huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

    Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
  2. Sasa Saa Nne Usiku: Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali

    Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali Haina mana wote wanatabia ya uvivu. Huu ni ushuhuda wangu mimi. Siku zote Kuna watu wanadhani wao Kwa kuwa hawahusiki na hawaendi hata hapo temeke hospital wakaona weakness za watumishi, tanesco, maji wakaona upumbav wa baadhi wa...
  3. Vodacom Tanzania kusambaza huduma ya M-PESA nchi za SADC

    Watumiaji walio na M-Pesa ya Vodacom sasa wataweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi kwa nchi nane mpya zilizo na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), kutokana na upanuzi wa jalada la mfumo wa uhamishaji pesa wa kimataifa (IMT). Nchi mpya zitakazotumika katika upanuzi huo ni...
  4. Huduma ya chakula Gronecy Kasulu mnafeli sana.

    Wale watu wa vyombo na Live band kwa mji wa Kasulu basi Gronecy ni fire. Ila kwenye chakula hamna kitu majanga order zinachelewa unaagiza chakula unapata ndani ya masaa mawili mpaka matatu. Kama una njaa na unategemea ule vyombo utapata madonda ya tumbo. Jirekebisheni Restaurant kubwa kama...
  5. Aweso akagua ukarabati wa bomba la Maji Dar

    Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?! Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba. Nchi hii!! ---- WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa...
  6. Huduma za Afya JKCI Outpatients ziboreshwe

    Unaumwa, una appointment ya kumuona Cardiologist JKCI. Unaambiwa njoo saa 12 asubuhi. Unafika mnakusanywa kwenye mahema mnasubiri Daktari. Unapewa namba. Unaambiwa Katie Bima. Mnapanga foleni ya Bima. Saa 4 tayari huiamuona Doctor unaambiwa Yuko Wodini Bado. Unakaa unamuona Doctor Saa 7...
  7. N

    Naomba mrejesho wa "Supakasi unlimited internet" ya Vodacom

    Habari wadau, Nahitaji kwa ambae anatumia huduma ya Internet ya Vodacom supakasi unlimited atupe mrejesho huduma yao ikoje upande wa kasi na kama Mbps unazolipia ndizo unazopata siku zote za mwezi. UPDATE APRIL 2023 Nilijiunga na Ttcl fibre baada ya Vodacom kukuta eneo langu halina 5G coverage.
  8. Changamoto ya upatikanaji kwa njia za mawasiliano zitolewazo na Taasisi za Umma, makampuni na sehemu zote zitoazo huduma

    Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya. Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo. Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
  9. N

    Wananchi Geita wajitokeza kumpokea Rais Samia kwa wingi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
  10. L

    Wazee wafurahia huduma ya chakula mjini Hefei, China

    Kampeni ya kutoa huduma ya chakula kwa wazee wanaokumbwa na tatizo la maisha imefanyika katika eneo la Luyang mjini Hefei, China. Migahawa 36 imefunguliwa katika eneo hilo, na kila mzee anaweza kupata ruzuku yuan 100 hadi 200 (sawa na dola 14 hadi 28 za kimarekani) kwa mwezi kulingana na hali...
  11. Rais Samia akishiriki Makabidhiano na Uzinduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022

    Rais Samia akishiriki Makabidhiano na uzunduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022 Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo, Burugo Kata ya Nyakato Bukoba ambacho kimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
  12. L

    China: Tiba asili zinavyochangia huduma za afya kwa jamii

    Ukizungumzia tiba asili kwa watu wengi picha inayokuja haraka ni kwa watu waishio vijijini au jamii ambazo hazijapiga hatua katika masuala ya matibabu, lakini ukweli ni kwamba imani hii sio sahihi. Nchini China tiba asili ina mchango mkubwa katika ustawishaji wa afya sawa na ilivyo au...
  13. J

    Serikali kuimarisha Usalama wa Huduma Mtandao

    SERIKALI KUIMARISHA USALAMA WA HUDUMA MTANDAO Na Faraja Mpina, WHMTH, DAR ES SALAAM SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendelea kuhakikisha inaimarisha usalama wa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na biashara mtandao ili wananchi...
  14. Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
  15. S

    Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  16. CPR: Huduma muhimu inayookoa uhai wa watu walio kifoni

    CPR, ama Cardiopulmonary Resuscitation ni njia ya dharura na haraka, inayotolewa kwa mtu aliyepatwa na changamoto ya mshtuko wa moyo (Cardiac arrest). Huhusisha kubonyeza kifua pamoja na kutoa hewa mbadala kwa mhusika ili kutunza mzunguko wa damu kwenye viungo muhimu vya mwili ikiwemo ubongo...
  17. L

    Huduma za afya nchini China zaboreshwa kwa kiwango kikubwa

    Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya taifa inayoangukia...
  18. Utafiti: Watanzania wana hofu ya kukosa huduma za kijamii wakimchagua kiongozi wa upinzani

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo wa Repoa walioufanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung ya nchini Ujerumani, mwaka 2021...
  19. Mtu unatoaje huduma ya gesti bila kondomu?

    Unapokea wageni mbalimbali kuwapa huduma ya gest. Wengine unapokea usiku kama huu. Halafu unaombwa kondomu huna. Si utaua watu? Hii sio sawa
  20. Ushauri na Huduma za Usajili Kimtandao

    Express and Quick Business Solution ni kampuni yenye uzoefu wa utoaji ushauri na huduma za usajili kimtandao kwa ufanisi na haraka. Usajili wa Kampuni Usajili wa log/Nembo ya biashara/Trademark Usajili wa NGO's Maombi yote ya vibali na leseni za biashara, leseni za viwanda, leseni za makazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…