huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. HOJA Taasisi na Serikali ziwekeze katika mafunzo ya watoa huduma kwa wenye changamoto ya kusikia

    Katika mfululizo wa makala hizi, tunaona ukubwa wa tatizo na ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vya matibabu vya Jiji la Mbeya, na athari zake za kisheria na kiafya kwa watu wenye ulemavu wa kusikia. Swali la msingi: Nini kifanyike ili kupata suluhisho la tatizo hili? Sehemu...
  2. D

    KERO Huduma za UDOM kwa upande wa changamoto za kitehama kwa wanafunzi ni mbaya mno

    Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms) Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati...
  3. Je,unahitaji huduma ya Masomo ya ziada nyumbani?

    Je, unahitaji mwalimu wa ziada kwa ajili ya mtoto wako au wewe mwenyewe? Tunakuunganisha na walimu wenye uwezo kwa ajili ya kujifunza nyumbani au sehemu mnayokubaliana. ✅ HUDUMA ZETU ZA HOME TUITION 1️⃣ Watoto wa Nursery na Kindergarten (KG). 2️⃣ Wanafunzi wa shule za msingi. 3️⃣ Wanafunzi wa...
  4. Makampuni ya Bia wajenge Soberhouses kila Wilaya,Wauzaji/Watengenezaji Pombe kali wajenge na kufacilitate Dialysis na Huduma za wagonjwa wa Figo/Ini

    Wakuu Serikali inapata wapi shida kuweka sharti la lazima kwa wachangiaji kodi wake ambao shughuli zao zimekua na athari mbaya kwa jamii...mathalani Wazalishaji/Wauzaji wa pombe Hivi TBL hawana capacity ya kujenga soberhouse nzuri kila wilaya?Kwanini wauzaji wa pombe kali wasipewe sharti la...
  5. Kwa nini watumishi wa umma wanachelewesha huduma kwa raia makusudi?

    Hivi ni kwa nini kwenye taasisi za umma imekuwa ni tamaduni ya kawaida kuchelewesha kimakusudi huduma fulani kwa raia ili tu kushawishi mazingira ya kutanguliza pesa ili uwahishiwe huduma? Ni mishahara midogo, tamaa au usimamizi mbovu. Maana unaweza kukamilisha kila kinachohitajika na swala...
  6. Responded TCRA Yawapa Mwezi mmoja Watoa Huduma Za Intaneti Kurekebisha Nyaya Holela

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya siku 30, ili kuimarisha usalama wa wananchi na kuhakikisha miundombinu hiyo inazingatia viwango na...
  7. Ubungo Riverside wapewe maua yao, huduma nzuri

    Huduma nafuu, usalama na ya viwango. Tutarudi tena
  8. Ni sababu zipi za msingi Tanzania huduma za internet ziko juu, majumbani bado huduma za Wi-fi ni chache kuliko Kenya?

    Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji. Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi. Hali iliyopo nyumbani...
  9. Vodacom Tanzania yasisitiza Uhusiano wa Kibinadamu katika huduma kwa wateja katika enzi ya AI

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto), akikabidhi tuzo ya pongezi kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika utoaji wa huduma kwa wateja. Hafla hiyo ilifanyika wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma...
  10. W

    Huduma ya maji nchini, hakuna atakayeachwa

    Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026. Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo...
  11. Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kutumia mifumo ya e-Ardhi na e-Office kwa ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi

    ARUSHA Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi, kuondoa urasimu na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
  12. M

    DAWASA wametoa msamaha wa faini ya huduma ya kurejeshewa Maji kwa kulipa deni tu kuanzia Oktoba 10 hadi 31, 2026

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika maadhimisho ya mwezi huu wa Huduma kwa mteja, Mamlaka imetoa msamaha maalum kwa mteja kurejeshewa huduma...
  13. Responded DAWASA yaelezea sababu ya kuyumba kwa huduma ya maji Goba River view

    Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni. Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
  14. Tanzania yatajwa Mfano katika utoaji huduma za Afya ya Mama na Mtoto

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua katika utekelezaji wa malengo ya afya ya mama na mtoto, huku juhudi zinazofanyika zikitoa masomo muhimu kwa nchi nyingine za Afrika.
  15. Kero: Wananchi Walia na Mateso ya Bima Kutotumika Kwenye Vipimo, Wizi wa Dawa na Uzembe wa Wauguzi

    Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
  16. Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kuzingatia maadili na kuimarisha huduma kwa wananchi

    ARUSHA: Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kuhakikisha usimamizi na usajili wa hati za ardhi unafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
  17. Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  18. kusajiri kampuni yenye huduma mchanganyiko

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  19. Mwanza,Geita,Shinyanga,Kahama na Tabora-Tumewafikia kwa Huduma ya Website BURE kwa mwaka wa kwanza

    Je wewe ni mfanya biashara kutoka katika maeneo hayo? Je unatamani kupeleka biashara yako mtandaoni? Sasa unaweza kupata tovuti/website kwa ajili yako kutoka kwetu.Kama uko tayari tafadhali wasiliana nasi kwa kututajia Mkoa wako na aina ya biashara unayofanya.Utapata Huduma Hii Bure kwa Mwaka...
  20. Responded TTCL yafafanua sababu za Mdau wa Goba kukosa huduma ya Faiba licha ya kulipia

    Baada ya andiko la Mdau alilozungumzia Huduma ya Faiba kutoka TTCL, andiko hili hapa ~ TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti Ufafanuzi umetolewa kutoka TTCL 👇🏼 Tunamshukuru mteja kwa kuwasilisha hoja yake na kutupa fursa ya kufuatilia suala hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…