huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je huduma za benki ya NBC zikoje kwa wazoefu?

    Wakuu habari za weekend, Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao. Baada ya kushuhudia huduma mbovu za CRDB na wafanyakazi wa NMB kutokuwa sharp kwenye kutoa huduma nafikiria...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Foleni kubwa katika kupata huduma katika Mabenki

    Habari wakuu. Bila kuwapotezea muda, kwa kila ambaye amewahi kutumia huduma za kibenki hapa Nchini kwetu Tanzania kuna tabia ya uchelewevu wa huduma na upotevu wa muda sana hasa ukifika Matawini na ATM. Leo nataka tuangazie hili la huduma za kwenye matawi hasa zile za kufuata ndani ambazo kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

    Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
  5. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kukosekana kwa huduma ya umeme Mbagala na Kigamboni

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI Jumatatu, 08 Septemba 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Mbagala na Kigamboni kuwa kumetokea hitilafu ya umeme leo tarehe 08 Septemba 2025 katika njia ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi nilijua hizi siku 3 za bila huduma basi jamaa watarudi wakiwa kamili ila kumbe mambo ni yale yale. CRDB "popote utoporo"

    Kuna mwamba humu aliwahi kusema hii benki iliondoka na kimei sasa ndio namuelewa.
  7. JamiiForums Tanzania CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli. Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala Tawi
  8. JamiiForums Tanzania TTCL: Kufungiwa Huduma za Fiber ni bure, wanaodaiwa kuchukua rushwa hatua zitachukuliwa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
  9. JamiiForums Tanzania M-Koba na M-wekeza?

    Je, kikundi cha M-Koba kinaweza tumia huduma ya M-wekeza? Na kama kinaweza, Je utaratibu ukoje?
  10. JamiiForums Tanzania Naomba list ya Machimbo ya huduma ya massage inayoinclude Happy Ending

    Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
  11. JamiiForums Tanzania Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa...
  12. JamiiForums Tanzania Zamani tulipanga foleni kupata huduma hizi

    Wakuu kwema… Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe. 1. Luku Ili upate huduma ya kununua umeme (luku) ilikuwa lazma ufike kwenye ofisi za Tanesco. Baadae wakaongeza huduma kwenye baadhi ya vituo vya...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Msibani juzi mchungaji wa Kisabato kutumia muda mwingi kushambulia RC na kuwa na Ibada za wafu huku akidai wao hutoa huduma na siyo Ibada

    Msibani kwa ndugu zetu marehemu ni Msabato hivyo mwili waombe wa na umewekwa mbele kabisa ndani ya jeneza. Mchungaji akadai hizo siyo Ibada bali ni huduma Akadai Ibada ni dhambi na huendeswa na wakatoliki. Akadai kwamba ni kweli mwili wa marehemu uko mbele lakini hawana Ibada bali wanatoa...
  14. JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Kizimkazi kinatoa matibabu na chakula bure

    Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya matibabu inapatikana. Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makampuni legit yanayota huduma za online business

    Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online. Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu waliotapeliwa wanasema tumetapeliwa mtandaoni bila kutaja majina ya mtando upi wala majina ya...
  16. JamiiForums Tanzania Karibu tukuhudumie kwa huduma zifuatazo

    Hellw JF, natoa huduma zifuatazo. Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu Huduma katika masuala ya ajira 1. Kujisajili ajiraportal 2. Kujisajili taesa 3. Kujisajili katika bank portals 4. Kuandaa application letter 5. Ku edit document mbalimbali 6. AVN 7. Transcript Huduma katika...
  17. JamiiForums Tanzania Vitongoji 1,997 sawa na 88.4% vimepatiwa huduma ya umeme Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), iliyopita na inayoendelea...
  18. JamiiForums Tanzania Mnataka huduma ya Fiber, changamkieni fursa hii

    Umuofia kwenu. Wale mnaosubiri huduma ya internet ya fibre huu uzi ni maalumu kwenu. Kuna kampuni ipo kasi sana inaitwa SAVANNAH FIBRE, ni kampuni inayojihusisha na kutoa huduma ya internet ya spidi ya Fiber. GHARAMA ZAKE 👉Kufungiwa ni BURE 👉Router unapewa BURE Wewe cha kufanya wapigie simu tu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu katika halmashauri ya Kibaha

    Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko. Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…