huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Huduma za treni ya SGR kwa abiria wa daraja la biashara hazina viwango

    Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa. Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa. Kuna muda abiria wanajazana na hata AC haziwashwi viti vimekaa ovyo kiufupi mazingira hayakidhi kuitwa daraja la...
  3. JamiiForums Tanzania Pata gb za Vodacom kwa gharama nafuu zaidi. Huduma ni buree

    Mtanzania, Vodacom Tanzania imekusogezea huduma ya vifurushi vya SME BUNDLES kwa gharama nafuu kulinganisha na vifurushi vya kawaida. Nipigie 0795790411 niweze kuiwezesha line ili kupata access ya hvifurushi hivi. Hakuna gharama ya kuiwezesha line, kuhusu kujiunga ni mteja mwenyewe utajiunga...
  4. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 MV Kazi yasitisha kutoa huduma leo Desemba 9

    Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji. TAMESA imeshauri watumia wa kivuko...
  6. JamiiForums Tanzania PATA HUDUMA YA BULK SMS kwa sh. 9/=

    Ni huduma muhimu inayopatikana kwa gharama nafuu mno. Bulk sms inakufaa sana wewe mfanyabiashara, Kampuni/ Taasisi hata mtu binafsi. Gharama zetu ni kuanzia shilingi 9 hadi shilingi 15 kwa kila msg. Kwetu sisi mteja atawekewa mfumo wa Bulk sms buree pamoja na training ya kiwango cha kuridhisha...
  7. JamiiForums Tanzania Huduma za Mwendokasi zarejea kubeba abiria Mbagala-Gerezani

    Baada ya siku 21 tangu kusitishwa kwa huduma ya mabasi yaendayo haraka katika barabara ya Mbagala kuelekea Gerezani na Kivukoni kufuatia uharibifu uliotokea wakati wa maandamano ya Oktoba 29, huduma hiyo imeanza rasmi kurejea leo kwa kubeba abiria. Katika baadhi ya vituo vya Kilwa Road, mabasi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za elimu binafsi (Private Coaching)

    Unahitaji kujifunza ujuzi mpya au kuboresha uwezo wako binafsi? Sasa ni wakati wako! Tunatoa MAFUNZO BINAFSI (One-on-One) kwa: 🌍 Lugha za Kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kichina, Kihispania n.k. 💻 Kompyuta – MS Office, Internet Skills, Typing, Coding, Graphic Design n.k. 🚗...
  9. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa huduma ya mtandao (Internet service) umekosesha nchi mapato makubwa ya ndani na nje

    Wasalaam Aleykhum, Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W) Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi wa Uchaguzi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika: Serikali ya Tanzania isitishe amri ya kutotoka nje na kurejesha huduma za Intaneti

    TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwa kurudisha huduma za Internet

    tulipata tabu sana kupata taarifa. RIP waliopoteza maisha katika maandamano ya amani
  12. JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TRC kwa uwezo wa kurejesha huduma baada ya ajali

    Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu. Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa...
  13. JamiiForums Tanzania TCRA: Watumiaji wa Huduma ya Intaneti wameongezeka kutoka Milioni 54.1 (Juni 2025) hadi Milioni 56.3 (Septemba 2025) sawa na 4.1%

    Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1. Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Habari wanajukwaa. Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas. Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket ya ndege kupitia kampuni ya uwakala ya ndege. Baada ya kutengeneza hiyo kadi nikafanya malipo, hela...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Gavana aipongeza CRDB Bank kwa kuthubutu kufanya mageuzi chanya ya kimataifa ktk huduma

    02 October 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  17. JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza: Tunataka huduma ya mwendo kasi (Mwanza Rapid Transport)

    Habari Tanzania ! Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza. Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana. Wenye...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi azindua huduma ya Water Taxi Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema huduma za Water Taxi zimeanza rasmi visiwani Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuboresha usafiri wa baharini, kuvutia watalii na kuongeza ajira kwa wananchi. Akizungumza alipowasili katika Bustani ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Leo natoa OFA ya 50% ya huduma zangu zote

    Jana nimefikisha Threads 100 humu JF. Zote zikiwa ni educational contents nikielezea namna unaweza kusajili biashara, Kampuni, kupata Leseni au kusajili trademark. Na wewe msomaji wangu umekua supportive sana. Sasa Leo Nina OFA kwa ajili yako Kama unataka kusajili -Business name pamoja na...
  20. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB imenikata pesa bila sababu

    Wasalaam nyote. Wakuu sipo kwa ajili ya kuharibu biashara au brand ya kampuni yoyote ile, kwani mie sina ubiya wala ushindani na yeyote. Ila Wallah, leo hii katika kutoa pesa zangu katika benki ya CRDB kiasi kilichokuwepo na kile nachopaswa toa kuna shilingi 24,000/= imemegwa Kwanza hakukuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…