huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  2. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mfungwa aliye gerezani kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii

    Uchambuzi wa kisheria kuhusu utaratibu wa mfungwa kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii: Mwandishi: Zakaria Maseke (Mwanasheria) (0612275246/0754575246) Makala hii inachambua utaratibu wa kisheria wa kubadilisha adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii...
  3. K

    JamiiForums Tanzania NMB Bank rekebisheni huduma zenu, mnakoelekea mtatupoteza wateja

    Kuna changamoto upande wa NMB Bank, nimekumbana na changamoto ambayo hadi sasa haijapatiwa suluhisho. Juzikati nilituma fedha kwenda kwenye akaunti nyingine, zikaonekana zimekatwa kwenye akaunti yangu, lakini hadi siku ya tatu, mlengwa hajazipokea. Nilipojaribu kuwasiliana na NMB kupitia DM...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanaohusika kudai fedha za ‘parking’ kwa kusimamisha magari barabarani, wamekuwa kero kwa Wananchi!

    Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina kera sana kupoteza muda wa Wananchi. Wananchi kweli anapaswa hulipia lakini kwanini wasiweke njia nzuri...
  5. JamiiForums Tanzania Dar haiwezi kuwa na bus stand Moja tu, Chalamila amewaza kupata Kodi sio huduma Bora Kwa abiria

    Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno 1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala 2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
  6. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Kishiri limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao ya maji inavyotekelezwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka. MAJIBU YA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni...
  7. JamiiForums Tanzania Nakodisha Ps4 elfu tano kwa siku, natengeneza Pads za ps4 na ps5, narusha Games za ps4 na ps5 nipo Dodoma ukihitaji huduma Tuwasiliane

    Habari, kama maelezo yalivyo hapo Nakodisha Ps4, Pia Ps4 na Ps5 zinapatikana kwa bei nafuu pamoja na Pads zinapatikana ukihitaji Tuwasiliane nipo Dodoma.
  8. JamiiForums Tanzania HUDUMA YA MAOMBI

    Habari ndugu zangu, naombeni msaada wa maoni na ushauri, eti utaratibu wa MAOMBI ya kiroho kama huduma ya matibabu unagharimu kiasi gani Cha fedha. Na je malipo Huwa ni kabla au baada ya huduma. Natanguliza Shukran
  9. JamiiForums Tanzania Huduma Hii Ya Kulisha Ubongo Itasaidia?

    Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi, Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata, - kukosa muda wa kusoma vitabu. - lugha changamoto sio kwamba hawajui kizungu ila ni kwamba "hawatak suluba ya kubabaika kuelewa" nina...
  10. JamiiForums Tanzania Huduma ya Upandikizaji wa Vifaa vya Kusikia Muhimbili Yabadilisha Maisha ya Watoto 115

    Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
  11. JamiiForums Tanzania 10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

    Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension. Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine. Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja. 10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za RITA Temeke makabala ya Uwanja wa Taifa zinasikitisha, umeme umekatika na jenereta wamegoma kuwasha

    Nimefika leo, Alhamisi, kufuatilia marekebisho ya cheti changu ili niweze kupata cheti kipya. Hata hivyo, nimeelezwa kuwa huduma imesimama kutokana na kukosekana kwa umeme, ambapo inadaiwa transformer imeharibika. Tulijaribu kupendekeza kutumia jenereta lililopo kwa kuchangia gharama za mafuta...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aielekeza TAMISEMI kusimamia huduma za Ugani kwa tija na ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kuhakikisha Wakala wa Huduma za Ugani (NAESA) unatekeleza majukumu...
  15. JamiiForums Tanzania Kama upo kundi hili la huduma na biashara natoa offa ya website design pamoja na email ya kampuni kwa 180,000 tu

    Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies & Brokers Banks & Financial Institutions Microfinance Companies...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimechoka na huduma ya Parimatch Tanzania, mwezi mzima bila majibu ya kweli

    Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania. Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Pampu mpya zaendelea kufungwa Ruvu Juu, kuimarisha huduma

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la ufungaji wa Pampu mpya katika mtambo wa Uzalishaji maji Ruvu Juu, zenye lengo la kuimarisha uzalishaji na usambazaji wa maji katika Mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani. Akizungumza wakati akikagua endelevu za...
  18. JamiiForums Tanzania Mabadilishano kati ya elimu bure na huduma ya Afya bure, elimu tulipie, huduma ya Afya ndio iwe bure

    Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango...
  19. M

    JamiiForums Tanzania HUDUMA: Kutafsiri (English/Swahili), Kuandika na Kudesign CV, Cover Letters na Makala – Nicheki DM

    Mambo vipi wana-JF, Kama unatafuta mtu wa kukusaidia kazi za kuandika, kutafsiri, au kutengeneza CV na Cover Letters za kisasa kabisa, upo sehemu sahihi. Ninafanya kazi hizi kwa umakini mkubwa, haraka, na kwa bei nafuu sana inayozungumzika. Hizi ndio huduma ninazotoa: Uandishi wa CV na Cover...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathare North: Barabara imeharibika kwa Miaka 4, Je, Uchaguzi Ukikaribia Ndio Huduma Zinakumbukwa?

    Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa takriban miaka minne. Picha zinaonyesha barabara yenye mashimo, mawe, vumbi na sehemu zilizochimbika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…