huduma kwa wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtandao wa Halotel mmejipata sasa mnadharau hadi wateja wenu

    Mtandao wa Halotel mlikuwa ni wastaarabu sana wakati mnaingia kwa mara ya kwanza hapa nchini Mlikuwa na huduma bora na customer care nzuri sana Lakini sasa nashangaa jinsi ambavyo hamjali wateja ipo hivi nimeomba huduma ya WIFI toka kwenu sasa unakatika mwezi mzima kila nikipiga simu mnanijibu...
  2. H

    Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo

    Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo. Namba za huduma kwa wateja hatufurahishwi na haitusaidii kitu, kazi kutaja track no then IMEISHA sio vzr Bwana. GODFREY NYAISA(mkurugenzi brela)...
  3. A

    KERO KCMC University namba za huduma kwa wateja hazipatikani, hata e-mail za admission hazijibiwi

    Hawajaweka wazi "tuition fee ya program mpya ya Masters of Public Health Online, ada ya course mpya ya Geriatric Medicine hawajaweka wazi ada ni shingapi na ni course mpya. Pia, namba zao za huduma kwa wateja hazijawahi kupatikana. Najiuliza taasisi kubwa kama KCMC University inakuwaje wanaweka...
  4. Shirika la Posta Tanzania: Tunaomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa Namba za Huduma kwa Wateja

    Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008. Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
  5. KERO Hivi inakuwaje taasisi za serikali zinatumia namba za huduma kwa wateja zisizopatikana

    Wanabodi hivi inakuwaje taasisi kubwa za serikali ambazo zinatakiwa kutoa huduma kwa jamii kidijitali au ana kwa ana zinakuwa zinatumia namba za huduma kwa wateja either zisizopokelewa au kutopatikana kabisa mfano zile FAX number huwezi kupiga kwa simu ya kawaida . Email napo changamoto...
  6. Airtel Tanzania, wameshindwa kutatua tatizo la muamala wangu kwa siku sita mfululizo

    Ninaandika ujumbe huu kueleza masikitiko yangu makubwa kuhusu huduma za Airtel Tanzania, baada ya kushindwa kutatua tatizo la muamala wangu kwa siku sita mfululizo, licha ya kutoa taarifa na kufuata maelekezo niliyopewa na huduma kwa wateja. Siku ya Jumatatu, tarehe 12 Oktoba 2026, nilihamisha...
  7. Vodacom Tanzania yasisitiza Uhusiano wa Kibinadamu katika huduma kwa wateja katika enzi ya AI

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto), akikabidhi tuzo ya pongezi kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika utoaji wa huduma kwa wateja. Hafla hiyo ilifanyika wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma...
  8. Wiki ya Huduma kwa Wateja: Taasisi gani ina Huduma Nzuri kwa Wateja mpaka unatamani wengine wajifunze kwao?

    Wiki ya Huduma kwa wateja huadhimishwa Duniani kila mwaka katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Oktoba kwa taasisi za serikali na kampuni binafsi kusherehekea, kutathmini na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na wateja. Ikiwa ni ukingoni mwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, ni taasisi gani inaongoza...
  9. D

    DAWASA, WADAU WAKUTANA KUJADILI MABORESHO MKATABA HUDUMA KWA WATEJA

    Wadau wa huduma za maji katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani wamekutana kujadili na kutoa maoni kuhusu maboresho ya Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), hatua inayolenga kuongeza uwazi, uelewa na ubora wa huduma kwa wananchi. Katika...
  10. KERO AZAM TV huduma kwa wateja kwa njia ya simu ni bomu jingine

    Ninawasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu huduma ya Azam TV ambayo nimeilipia lakini sijapata huduma ninayostahili, pamoja na kushindwa kabisa kupata msaada kutoka kwa huduma kwa wateja. 1. NIMELIPIA TSH 28,000 LAKINI HUDUMA SIJAPATA KAMILI Jana nililipa TSh 28,000 kwa ajili ya kifurushi cha...
  11. B

    HOJA TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti

    TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo yaliyopangwa (scheduled maintenance). Hii ni changamoto ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiwasababishia...
  12. HOJA Pawepo na sheria inayolazimisha Taasisi na mashirika kujibu huduma kwa wateja kwa wakati

    Ni mara ngapi umepiga simu kwenye Taasisi na simu haikupokelewa? Ni mara ngapi umetuma ujumbe na hukujibiwa? Ni mara ngapi umepiga simu na number haipatikani sasa unajiuliza kwanini waliweka mawasiliano yao Nadhani imefika wakati sasa pawepo na sheria inayowataka kujibu kwa wakati ambayo...
  13. Huduma kwa wateja necta bado hazijakidhi ubora mzuri

    Habari,, Tuna Huduma mbalimbali zinazohudumia mamilioni ya wateja nchini kama vile mitandao ya simu, tanesco, mabenki nk. Ingependeza sana taasisi muhimu kama NECTA ingeweka juhudi zaidi katika ubora wa Huduma kwa wateje hasa wale wa mikoani kwani Huduma muhimu kama vile uthibitisho wa vyeti...
  14. A

    KERO Responded NACTVET wana huduma mbovu katika kuwasiliana na wateja wao

    Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja. Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
  15. A

    KERO Uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Igawilo – Mbeya boresheni huduma kwa wateja

    Sisi baadhi ya wananchi tuna malalamiko kuhusu hali ya utoaji huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Igawilo, zipo changamoto mbalimbali zinazoathiri upatikanaji wa huduma bora za afya kwa leo nitazitaja mbili tu. Kwanza kabla ya yote kuna huduma zisizoridhisha kwa baadhi ya Watumishi...
  16. A

    KERO Dar: Usalama duni wa watoto wanaoenda kuogelea Jangwani Sea Breeze Beach, nani anawajibika?

    Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto wamekuwa wakisikia ikitajwa na wenzao shuleni. Nilikubali. Nikawasha gari, mimi na mke wangu...
  17. TANESCO huduma kwa wateja hongereni sana kwa huduma nzuri

    Kipekee nipende kuwapongeza TANESCO upande wa huduma kwa wateja wako vizuri sana kuliko taasisi yoyote ile ya serikali (nadhani) wanapokea simu faster sana na kurespond. kama fire wangekuwa hivi tungefika mbali Halafu kuna RITA sasa hao hata namba iliyo kwa website yao haipatikani .
  18. KERO Hakuna Taasisi yenye huduma mbovu kwa wateja kama UTT AMIS

    Hawa jamaa ni very conservative, slow, backward and premitive institution. Upande wa customer care ni wabovu na wameoza. Unaweza kuweka hela zako vizuri kabisa ila kuzitoa sasa utazungushwa kama deni. Najua hata humu JF wapo watakuja kujitetea ila uliza wateja wa UTT watakwambia. Mfano hela...
  19. Namba za huduma kwa wateja wizara ya elimu

    Tunaomba tusaidiwe hii wizara ya elimu walizindua kituo Cha huduma juzijuzi na wakatangaza ila ukipiga simu utakuta namba haipatikani au namba haipokewi tunaomba kusaidiwa kufikisha hii taarifa kwa wahusika
  20. A

    KERO Huduma kwa wateja ya TRA ni mbovu sana

    TRA Tanzania wana customer care mbovu sana, wanatudharau wateja wao, hawataki kujibu kwa wakati na walikuwa na haja gani ya kufungua account ambayo hawaiendeshi? Katika ajira zilizotangazwa juzi juzi wameshindwa hata kuajiri watu watakaosimamia hi mitandao yao ya kijamii. Kama hawa tra wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…