hospital

  1. Lubowa Hospital Site: Contractor Cites Safety for denying Members of Parliament access

    FINASI/ISHU, the contractor behind the International Specialized Hospital of Uganda (ISHU) in Lubowa, has broken its silence over a recent incident in which opposition MPs were turned away from the projects construction site, insisting the decision was driven by safety protocols but not a...
  2. Opposition MPs Blocked from Lubowa Hospital Oversight

    Leader of the Opposition Joel Ssenyonyi and members of the Shadow Cabinet were on Wednesday denied access to Lubowa International Specialized Hospital, despite written clearance from the Ministry of Health. The MPs had scheduled an oversight visit to assess progress on the Shs1.5 trillion...
  3. Iganga Hospital Medicines Disappear Without Records

    (Photo By Parliament) The Committee on Health has uncovered serious accountability gaps in the management of medicines at Iganga General Hospital, after finding drugs in the hospital stores without records showing how they were received. The Committee also found that some medicines had...
  4. MARA: Akwea mlingoti wa bendera uchi kumuona mwanae hospital baada ya kuzuiliwa kumuona

    #HABARI Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 50 na 55 amesababisha taharuki katika Kituo cha Afya Nyasho, Manispaa ya Musoma mkoani Mara, baada ya kupanda juu ya mlingoti wa bendera ya Taifa kufuatia kuzuiwa kuingia ndani ya kituo hicho kumuona mwanawe aliyelazwa. Mwanaume...
  5. R

    Mkimbize Mzee Warioba London achekiwe, thoroughly checkup ya afya yake. Achana na hospital za hapa watamfuata huko wahuni

    Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao. Mkimbizeni popote be it London, , USA...
  6. Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

    Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar. Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo. Ikumbukwe, hiyo ni hospital maalum kwajili ya viongozi waandamizi wa Serikali na ile iliyozoeleka huwa ipo hapa Dar.
  7. Jinja Hospital Has 18 Beds, Women Sleep Outside After Delivery

    Video courtesy of Parliament Watch Ug Women at Jinja District Hospital are reportedly being forced to sleep outside after giving birth, as the facility struggles with just 18 beds and lacks an X-ray machine. Jinja District Woman Representative Peace Tibyaze told Parliament that the hospital’s...
  8. A

    KERO Buzuruga Health Center (Buzuruga Hospital) hakuna dawa na huduma si nzuri

    Mwanza, Buzuruga Health Center (Buzuruga Hospital) hali mbaya sana, hakuna dawa wala huduma si nzuri, wagonjwa wanaelekezwa kununua dawa nje ya hospitali kuna duka husika, taasisi haina hata plasta. Upande wa wanawake wajawazito wanakutana na changamoto ya vifaa, havipo vya kutosha, wananunua...
  9. A

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Mbinga (MDH), Watumishi hatulipwi stahiki zetu

    Watumishi wa Hospitali ya Wilaya Mbinga (MDH) hatulipwi stahiki zetu, ikiwemo fedha za uniform, extra duty, likizo, duty na call. Watumishi tunaishi maisha magumu sana huku Katibu, kila akiulizwa, hana majibu mazuri. Fedha za Basket Fund tunazikusanya na tunapata, lakini hakuna malipo...
  10. G

    Hakuna muwekezaji afungue hospital ukanda wa Ubungo, Kimara, Mbezi yote basi hata Kibaha

    .
  11. Kagera: Familia yadai kijana wao kupigwa na Polisi, na kulazwa Bugando hospital Mwanza

    Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza. Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
  12. O

    Rais William Ruto Apiga Simu Karen Hospital Kuhusu SHA: Je, Mfumo Mpya Unafanya Kazi?

    Rais William Ruto amempigia simu Mkurugenzi Mtendaji wa Karen Hospital, Juliet Gikonyo, kutaka kujua iwapo hospitali hiyo inapokea malipo kutoka kwa Social Health Authority (SHA). Katika mazungumzo hayo, Gikonyo alithibitisha kuwa hospitali hiyo inapokea fedha kutoka SHA na kueleza kuwa, kwa...
  13. O

    Mathare: Wakazi wa Mabatini na Hospital Ward Walalamikia Majitaka

    MATHARE, NAIROBI — Wakazi wa Mathare Number 10, Mabatini Ward, pamoja na Hospital Ward, Mathare 4B, wanakabiliwa na changamoto inayofanana ya mifereji ya majitaka inayopita karibu na makazi yao. Picha kutoka maeneo hayo zinaonyesha maji machafu na taka zikikusanyika katika maeneo yanayozungukwa...
  14. “Soroti Regional referral hospital is more of a mortuary than hospital”Mp Acom Alobo warns

    Soroti City Woman Representative, Joan Acom Alobo, has issued a strong appeal to the Minister of Health, urging immediate intervention to rehabilitate Soroti Regional Referral Hospital. In her remarks, Alobo described the facility as “more of a mortuary than a hospital,” citing the dire state of...
  15. A

    KERO Serikali, TNMC tusaidieni. Watumishi hospitali ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA tunateseka

    Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa. Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
  16. A

    KERO Malalamiko huduma dawa hospitali Tandahimba kwa wa watoto chini ya miaka 5 na waendao kliniki ya watoto

    Malalamiko kuhusu utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba Wananchi tunalalamikia hali ya utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba, kwa kuwepo kwa vitendo vinavyoashiria udanganyifu, hususan kwa akina mama wajawazito na watoto wenye umri wa...
  17. FALSE Fact Check: Did Gen. Muhoozi Kainerugaba Demand an Explanation Over Parking Fees at Mulago Hospital?

    Tunachokijua Claim A Circulating post by Mawejje Media (Mawejje TV) claims that Gen. Muhoozi Kainerugaba questioned why Mulago National Referral Hospital, a government facility, charges parking fees, allegedly citing rates of UGX 1,000 for bicycles, UGX 3,000 for motorcycles, and UGX 10,000...
  18. Baba mzazi wa tunu shekhome amefariki dunia usiku huu hospital ya kairuki

    Pole sana tunu wewe na dada mwajabu shekhome poleni sana . Mungu ni mja wa.wote I niliahidi... Nipo pamoja nanyi
  19. A

    KERO Responded Idara ya Radiology – Muhimbili Hospital hatulipwi malipo ya muda wa ziada, kwanini sisi tu?

    Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa kujishughulisha mtaani unaishia kazini. Lakini humo ndani kuna taasisi kama MOI na JKCI wao wanalipwa...
  20. M

    KERO Changamoto zinazoendelea kwenye hospitali ya Wilaya ya Ubungo, zinazohitaji kuchunguzwa na kutatuliwa

    Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua: 1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya muda wa ziada (overtime) tangu mwezi Novemba hadi sasa. Wanapouliza uongozi, wamekuwa wakielezwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…