hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. HISIA ZA EDO KUMWEMBE: Simba SC itacheza na ''Wasoweto wagumu'' zaidi

    SIMBA wameileta timu nyingine kutoka Afrika Kusini ambayo ilikuwa haijawahi kugusa ardhi ya Tanzania. Mamelodi Sundowns wamewahi kugusa hapa. Manning Rangers wamewahi kugusa hapa. Santos wamewahi kugusa hapa. Zilibaki Kaizer Chiefs na Orlando Pirates tu. Timu mbili kubwa Afrika Kusini. Moja ni...
  2. Hii ya kuchinja watu kiroho, imekaaje kisheria?

    Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa. 'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi. Kilichonishtua Mwanamama mmoja jasiri...
  3. Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

    Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake. Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti. Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi...
  4. Unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

    Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material, Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi...
  5. S

    Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

    Habari wadau, Hapa niko mahali fulani nasubiri kukamilisha jambo fulani na kwakuwa jambo husika linachukua muda, nimeamua kujilaza kwenye benchi nikisubiri kuhudumiwa. Wakati nikiwa nimejilaza kwenye benchi(nimetoka shift ya usiku), nikiwaza mambo mbalimbali, likanijia wazo la kesi ya Mbowe na...
  6. Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  7. Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

    Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea. Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia...
  8. Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu. Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani? Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
  9. Unawezaje kuepuka kukataliwa na Mwanamke umpendaye kupitia hisia zake?

    Tuachane na mambo ya Hakimu [emoji23],, Wee ni kijana Mtanashati tu unavijisent vyako vya kawaida ,au bado hujasimama kiuchumi, upo kwenu au kwako isiwe sababu ya kukataliwa na Mwanamke unayempenda..... Kua Mtanashati ili ikupe mwonekano chanya alafu , yajue haya [emoji116]...
  10. Nini husababisha baadhi ya viongozi kuongea kwa hisia kali na uchungu wanapokuwa majukwaani wakihutubia?

    Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini; Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!” Watumishi wa Umma...
  11. Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  12. R

    Jumanne Muliro aache kupaniki suala la Askofu Mwingira, badala yake asome PGO

    Nimemsikiliza Jumanne Muliro Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida...
  13. Hoja Fyatu: Hisia ya Uduni (inferiority complex) miaka 60 baadaye...

    Tunaona fahari kufikisha miaka 60 ya uhuru... Tunajivunia mafanikio mengi.. Tunajitahidi kufanya mengi.. Lakini kama taifa bado tunajitazama kama duni..hatujiamini, hatuamini uwezo wetu..tunajitilia mashaka.. Hadi wazungu watupongeze Hadi wazungu watukosoe Hadi wazungu watusikilize Hadi wazungu...
  14. Kwanini unamuumiza mtu unaempenda (mpenzi) au yeyote yule mwenye kushare hisia na wewe?

    Kwa nini unamuumiza mtu unaempenda? Ni kawaida kujisikia vibaya unapo muumiza mtu mnayependana hasa kama alikuamini sana. Kuna sababu mbalimbali nyuma ya maumivu kwenye mahusiano yako. Lakini matendo yako pia yanaweza kumhathiri mtu unaempenda kwa kiasi kikubwa. -Kuna muda, kumlinda mtu...
  15. Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali

    Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa, mifumo ya AR/VR na teknolojia ya kutafsiri hisia za mwili na kuunganisha na vifaa vya kiteknolojia...
  16. Kichaa ana hisia za kupenda? Je, anaweza kuafanya mapenzi?

    Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali. a) Je, wana hisia za kuweza kumpenda mtu kimapenzii? b) Je, wana uwezo wa kushiriki kufanya...
  17. Harmonize: Natumaini urafiki wangu na Kajala Masanja utarejea

    Hivi majuzi mwanamuziki Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize alizindua albamu yake ya pili 'High School'. Staa huyo wa Bongo alitumia ukurasa wake wa Instagram kufafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo ishirini zilizo kwenye albamu yake mpya. Harmonize alisema wimbo nambari saba katika...
  18. Hisia na mihemko havijawahi kumuacha mtu salama

    Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu. Niende kwenye mada, Wanaume sisi ni viumbe wenye uthubutu sana, hatupendi kushindwa kupata kile tukipendacho, tutatumia nguvu nyingi, akili na muda mwingi, ili tu kupata...
  19. Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

    Watu wengi hufikiri wanawake wanavutiwa na wanaume ambao ni nice, wenye mali, nyumba, magari, anayejali na vitu kama hivyo. Ukijaribu kumuuliza mwanamke mmoja mmoja ni aina gani ya mwanaume anamhitaji, asilimia kubwa watakuambia tunahitaji mwanaume ambaye ni nice, anayenipa pesa, anayetuma na ya...
  20. Hizi ndio sex organs za mwanamke zinazoamsha hisia

    1.Uke 2.Mapaja 3.Matiti 4.Kitovu 5.Hipsi 6.Makalio 7.Lipsi 8.Macho 9.Kiunonyigu Hivi ndio vitu ambavyo kimojawapo sisi wanaume hupenda.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…