hilda newton

Dame Hilda Mabel Stevenson (née McKay; 1893–1987) was an Australian philanthropist and community worker. She was the daughter of Hugh Victor McKay, a combine harvester inventor. She was the trustee and founder of the Sunshine Foundation.

View More On Wikipedia.org
  1. We Hilda Newton wa CHADEMA kama unatukana ili kumfurahisha Maria Sarungi; Pole sana. Sheria zetu zipo very active

    Nadhani hawa watu wanaofugwa na Maria Sarungi ili wale mpaka waonyeshe post za kutukana watu, tuwaambie tu kuwa Sheria zetu zipo very active than ever. Ipo siku mabeberu watawatapika na mkija nchini mtashitakiwa kwa makosa ya Jinai mnayoyafanya mikidhani ni sifa. Hakuna mtu anafurahishwa na...
  2. A

    Hukumu ya Lissu mpaka tukaitafute kwa Mitandaoni. Vyombo vya Habari hamuoni aibu?

    Kuna ka clip ka tarehe 6 waandishi kama mia hivi wamemzingira RPC Muliro nje ya Mahakama, wamemrushia vi soft ball ( viji swali mlenda mlenda) viwili kuhusu whether hali mjini ni shwari au sio shwari. Sasa katika wale woote wale hakuna hata kichwa kimoja kilichoingia ndani ya mahakama chenye...
  3. Hilda Newton na Mange Kimambi.

    Haya madada malengo yao yalikua lissu anyongwe , hayana jema kwa chadema kabisa 🤔 Na yamejizolea manyumbu kibao , yenyewe yanapokea oda za kipumbavu tu , kutoka kwa hawa wanawake 🚮🚮 Chadema kwa hili mjitafakari sana kuhusu hivi virusi vikali dhidi yenu 🤔 Cc ,Dr Matola PhD Bufa
  4. Uamuzi kesi ya Habeas Corpus ya Mwanaharakati wa Tanzania. IGP wa Kenya atakiwa kufika mahakamani kesho akiwa na Twaha

    https://youtube.com/shorts/Om6-i2nIOu0?si=iTlHgXvXon-PhACc ‼️UPDATES KESI YA MAOMBI YA HABEAS CORPUS KWA AJILI YA TWAHA MWAIPAYA‼️ 📍Kutoka Mahakama Kuu ya Kenya; Ameanza Wakili wa Mkuu wa Serikali 🇰🇪, Marwa, ameieleza Mahakama kuwa wanaendelea na jitihada za kumtafuta Twaha Mwaipaya na kwamba...
  5. C

    Wakili wa John Pambalu Hekima Mwasipu amekanusha taarifa za Hilda kwa kusema kuwa ni uongo

    Wakili anayemtetea Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni ya Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Pambalu, Hekima Mwasipu amekanusha madai yaliyotolewa na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA kupitia Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Hilda Newton kwamba kurejea kwa mteja...
  6. C

    Hilda Newton: Lema alimuhakikishia usalama John Pambalu akirudi Tanzania ila akaishia kukamatwa na Polisi

    Juzi niliwambia kwamba kuna mtu alimshauri Pambalu arudi Bongo ila sikumtaja huyo mtu nani. Sasa iko hivi, huyo mtu ambae alimshauri Pamablu arudi bongo ni Godbless Lema na yeye ndo alimuhakikishia Pambalu kwamba atakuwa salama alienda mbali zaidi akasema kwamba kazungumza na Mafwele kila kitu...
  7. Kama Twaha amekamatwa basi Hilda Newton ni vizuri ukabadili location au ukajileta mwenyewe kumuangukia Bi. Kizimkazi

    Hamjambo! Ni ngumu kumkamata mwanamke kwa sababu vishawishi vya mwanamke nje ni vichache ukilinganisha na sisi wanaume. Mwanamke anauwezo wa kukaa na kujichimbia ndani kama akipewa mahitaji ya msingi mfano chakula, bundle la internet na kifurushi cha Luninga. Ushuani wanawake wanaweza kukaa...
  8. L

    Siku Hilda Newton wa CHADEMA Akikamatwa Na kuletwa Nchini haitakuwa na Sababu ya Kufanya naye Mahojiano wala Kutangaza kama Kakamatwa

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwanamke ameshavuka na kukanyaga mistari yote . Amevuka viwango vyote vya kumvumilia . Havumiliki popote pale Duniani . Siku Akikamatwa haipaswi hata kuhojiwa ama kutangazwa kama Kakamatwa .
  9. Watu wasiojulikana wadaiwa kufuatilia Msafara wa Heche na kupiga picha kila wanapokuwa

    Alichoandika mwanahaarakati Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa Instagram "Hawa watu ambao mnawaona kwenye hii picha ni watu wasiojulikana, wanafuatilia msafara wa Makam Mwenyekiti John Heche tangu ameanza ziara Kanda ya Kaskazini na msafara ukifika uwanjani wao wanafanyakazi ya kupiga picha...
  10. L

    Ninamchukia Sanaaa Hilda Newton Wa CHADEMA Kwa Namna anavyowachafua na kuwadhalilisha Viongozi Wetu kila Uchao. Kufanyike Mikakati ya Kumkamata.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Binti ni zahili na wazi kabisa alikosa Malezi ya Wazazi wake,Ni Wazi amezibuka kiakili, ni wazi amejikulia tu bila malezi ya aina yoyote ile, ni wazi ni Mwanamke fulani ambaye kichwani ana matatizo makubwa sana , ni wazi pengine hata wazazi na mama yake mzazi...
  11. Lema, Sugu, Martin masese na Boni yai mnatafakarisha. Na wew Hilda newton acha kuleta migogoro kwenye chadema yenu

    God bless lema , Sugu ,MMM, na kibonge boni yai ukiwatafakari kwa kina Kuna namna utaanza kupata mashaka juu ya uaminifu wao kwa chama chao cha chadema. Mienendo Yao ya kisiasa Haina tofauti na makada kadha wa kadha waliotekwa na kupoteza maisha , Tena makada maarufu na nguli ambao ukosoaji wao...
  12. Hilda Newton na Maria Sarungi mnapaswa mjitathimini la sivyo mtapoteza credibility hivi karibuni

    Kwanza niwapongeze kwa ujasiri wenu uliotukuka kwa kuamua kua mstari wa mbele kupambana na kufichua maovu ya ccm na serikali yake dhalimu. Wakati huo sisi vidume coconut tukiwa tumezifungia kende zetu baridi ndani, huku tukionyesha ushujaa uchwara nyuma ya ID fake humu JF. Lakini kadiri Siku...
  13. Hilda Newton: Viongozi wa CHASO waliokamatwa Mbeya, hakuna mwanafamilia, Viongozi wa Chama walioruhusiwa kuwaona

    Anaandika Hilda Newron Chadema huko Facebook ‼️HABARI MBAYA KUTOKA MBEYA‼️ Julai 4, 2026 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya liliwakamata Viongozi wa CHASO watatu wa Mkoa wa Mbeya kila mmoja alikamatiwa Chuoni kwake. Tangu siku hiyo mpaka leo hakuna mwanafamilia, Viongozi wa Chama wala Mawakili...
  14. M

    Hilda: Polisi wamemkamata na kumuweka ndani Pendo (mwana CHADEMA), familia yake imeenda Chang’ombe Polisi kufuatilia wamefukuzwa

    Huyu kwenye picha anaitwa Pendo Kileo ni Mwanachama wa CHADEMA kutoka Kata ya Chamazi.Juzi alitoa taarifa Polisi kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba mahali ambapo anaishi kuna CCTV so Polisi wanaweza kuanzia Uchunguzi wao hapo. Leo kapigiwa simu...
  15. Hilda Newton: Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Adam Chagulani akamatwa na Polisi, wanadai kaleta Vijana kutoka nchini Kenya ili waandamane

    Kupitia akaunti yake ya X, Hilda ametoa taarifa akidai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza amekamatwa ============= Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza Adam Chagulani amekamatwa na Polisi jioni hii, kapelekwa kituo cha Polisi Central Mwanza.Polisi wamembambika kesi wanadai kaleta Vijana...
  16. CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

    Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza? Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
  17. A to Z majibizano kati ya Hilda Newton na Buyobe: Ni kweli Buyobe ni mtu wa mfumo?

    Alichoandika Hilda Newton: Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti. Katika maongezi hayo...
  18. Q

    Ukweli kuhusu Fortunatus Buyobe na Sakata la kutekwa Mshabaha Nairobi kwa mujibu wa Hilda Newton

    Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton. ‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️ Shuka na Thread hadi mwisho uzi ni mrefu👇 Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi...
  19. R

    Polisi muiteni Faris Burhani wa UVCCM aliyesema mkutanoni kuwa wapinzani atawapoteza kwanza kabla ya kimuita Hilda Newton

    Faris Burhan alisema mchana kweupe kwenye mkutano kuwa atawapoteza wapinzani, hamjawahi kumuita na kumpeleka mahakamani! Leo mnamuandama Hilda Newton. WHY DOUBLE STANDARDS?
  20. M

    Hilda Newton awajibu Polisi baada ya wito. Asema Sijileti ng'o mpaka mifumo ya utoaji haki iwepo ndio nitaleta ushahidi

    Kwamba Jeshi la Polisi mnataka mie nifike kwa DCI? Mnataka nijilete kwenu nyie ambao April 24, 2025 mliniteka pale Mahakama ya Kisutu mkakaa na Mimi Central Police kisha mkanijazisha na kunisainisha fomu ili nijidhamini halafu nimetoka tu nje mkanigeuka, Mkanikamata tena na kuniweka lockup...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…