hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ujenzi wa Barabara hii ya Bukoba Manispaa ulitakiwa kukamilika Oktoba 2024, haujakamilika hadi Februari 2026

    Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti: 1990 Hadi 2005 miaka hiyo ngono ilikua rahisi sana kuipata kuliko Sasa, sababu ni hizi 2

    Habari za asubuhi Katika tafiti yangu hii nimekuja na sababu kuu 2 ambazo ukizifatilia kwa undani utaungana namm kwenye hili suala 1. Kipindi hicho kulikua hakuna na huduma za miamala ya simu hizo binti akipinga mzinga/kirungu lazma afate geto kwa miguu yake, kulikua hakuna mambo ya kutuma...
  3. JamiiForums Tanzania Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics)

    Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics) Kiitikio: ------------ Hii leo Crazy GK Mwanafalsafa AY Weka manyanga chini Hivi sasa tupo hewani Twakupa maneno matamu Na yenye thamani Verse 1: AY ----------- Oya.! Navaa buti Na full CBM Nazama street Ntapiga dili zaidi ya 12...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Polisi nanyi hamuaminiki milele, taarifa hii hakuna mwenye akili anaweza kuiamini kutokana na matendo ya kuteka watu na kusema hamuhusiki

    Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

    Acha uvivu, acha ushirikina. Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto. Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika. Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku. Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi. Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia...
  7. JamiiForums Tanzania Hii meza ina urefu gani ?

  8. JamiiForums Tanzania Nauza hii Gari Nissan Pick-Up engine QD32

    Nissan Pick-Up Engine QD32 Cc 3153 Fuel Diesel ⛽ AC ipo Full Document. Location Dar Es Salaam Bei milion 25 maongezi kidogo. Nipigie simu boss ukague hii Chuma 📱0754693556
  9. JamiiForums Tanzania Shamba nililonunua kwa Tsh laki 3 mwaka 2009 leo hii thamani yake imevuka Tsh 40m

    Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naipenda sana dini ya kiislam lakini kila nikifikiria aina hii ya ubaguzi kwa watu wa dini nyengine hadi kuwaua kama adhabu huwa nachoka kabisa

    Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana. Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
  11. JamiiForums Tanzania Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tunapoendelea kupambana na hii regime ya kihuni ya kuteka na kuua raia hutuwezi kumtoa MAGUFULI kwenye hili mazuri yake hayawezi kumuondoa kwenye hii

    Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa...
  13. JamiiForums Tanzania Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

    Umeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu. Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi hizi bangili huvaliwa na wazee wa ukoo huwa tunaita mate ndele au unakuta bibi mzee kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Hii Jambo limekaaje

    Habari wakuu wa kuwazuka. Unakaa sehemu au mawazo yakujia kichwani juu ya Jambo Fulani liwe Baya au Zuri kwamba linatoke au umekaa unasema MTU Fulani anakuja au upo na simu yako Kuna mambo unatazama ghafla linakuja wazo MTU Fulani atapiga simu Sasa hivi baada ya dakika 3 au 5 kweli MTU Yule...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ananiuzia pixel 6a mpya kwa 450,000. Ni sahihi thamani hii au napigwa?

  16. JamiiForums Tanzania Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Kama umeweza kusoma mchezo wa hapa bongo kwenye designing ya hardware au software products kumejaa utapeli. Kwasasa kuna low quality work mno hasa kwenye kazi za mobile application, websites yaaani app au web ya mbongo utaijua tu nyingi zipo hovyo mno ingawa wahandisi wazuri wapo lakini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Hii hapa kazi ya afande MWENYE akili

    Mlinzi mmoja wa usalama jijini Houston amepata heshima kubwa mitandaoni baada ya video kuonyesha akipambana na wanaume wawili tofauti—mmoja baada ya mwingine—na kuondoka akiwa amesalimiana nao kwa mikono, badala ya kuwakamata au kuwafunga pingu. Tukio hilo lilitokea karibu na gari la chakula...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya za Nissan Dualis kuwaka moto… Sio tatizo la kiwandani bali uzoefu mdogo wa mafundi wetu kwenye magari ya Nissan hata ukizingatia service

    Sio kwamba Nissan Dualis zina kasoro ya kiwandani hadi zote ziungue moto. Tatizo kubwa ni service duni na mafundi wasio wataalam wa Nissan. 1. Kuna Plastiki ya kuzuia joto (heat shield/insulation) nyuma ya engine na lipo karibu sana na bomba la moshi, loki za plastiki, zikipata joto kali...
  20. JamiiForums Tanzania Je hii ni ndio top ten bora ya rap ya Tanzania?

    1: dar es salaam stand up - chiddy 2: Zari la mentali - proj j 3: Mtazamo - afande sele 4: Mitungi/mikasi - ngwair 5: Bongo dar es salaam - prof j 6: Geto langu - ngwair 7: Habari ndio hio - ay/mwana fa 8: Hawatuwezi - nako 2 nako 9: mchizi wangu remix - nako 2 nako, chiddy, mwana fa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…