hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Voyager 1 chombo cha ajabu kinachonitisha kichwa. Aisee! hii itakushangaza

    Salute bosses! Hebu nikuambie story moja ambayo imenishangaza sana sana sana, mpk nimekaa nikagusa research hii wiki nzima kuhakikisha nimeelewana na hiki kitu vizuri. The research ni kuhusu chombo cha angani kinaitwa Voyager 1, na guys ukisoma hii story mpk mwisho utajiona mdogo sana mbele ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeleta hii video wenye kujua watupe mwangaza

    Nimepita tiktok nimekutana na hiki kipande cha video kinachohusu kutelekezwa kwa gari la abiria,sasa wengi tulitamani kujua kilicho peleka mpaka gari hii kutelekezwa. Wachangiaji wote nilio fuatilia hakuna hata mmoja alietoa sababu za kutelekezwa gari hili. nimeleta labda tunaweza kupata ABC za...
  3. JamiiForums Tanzania Ikifika Hatua kama hii ujue Tatizo ni kubwa kuliko kawaida

  4. JamiiForums Tanzania Huyu demu alikua hanijibu meseji Sasa hivi anajibu nikiwa Sina mzuka nae inakuaje hii wazee

    Yaani alikua ananisumbua kinyama Sasa nashangaa Sasa hivi anashobo na Mimi nishamchoka hata kabla sijagonga aisee yaani nashangaa tu sinamzuka nae hizi meseji za Jana sijamjibu mpaka Leo ananiambia piga ila nimekausha kiufupi Sina mzuka nae kabisa Sasa hivi wezangu mlishawahi kukutana na hii...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini hii Sheria ya shule huwa haifanyiwi kazi au haitimizwi?

    Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo. Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na uthibitisho usio na shaka, hasa hiyo Ushoga na Usagaji. Mara nyingi suala linamalizwa kimya kimya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je ni haki hii

    Napitia wakati mgumu Mke wangu ananinyima tendo la ndoa kisa israel na iran wanapigana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Malalamiko yetu wana ndoa

    Jamani msituchoke sisi ambao tupo kwenye ndoa pale tunapokuwa tunatoa malalamiko yetu kwenye mitandao ya kijamii Wengine ndo njia yetu ya kuondoa stress any way jana usiku nilinyimwa tendo la ndoa na mke wangu naumia sana
  8. JamiiForums Tanzania Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

    Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts. Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
  9. JamiiForums Tanzania Video hii inaonyesha jinsi saratani ya tezi dume huanza mpaka kukumaliza

    https://youtu.be/j9tJbO66lng
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM Geita imechanganyikiwa? Madiwani walimkataa Manunga kuwa mwenyekiti wa Halmashauri . Leo hii mnafukuza uanachama huku mlilazimisha awe mqenyekiti?

    Alishindwa na Diwani Kapembe. Mkalazimiha awe Mwenyekiti. leo Mmefukuza uanachama
  11. JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ni ngumu kukuta ndoa ya mkinga imevunjika au kusikia mafumanizi

    Sababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka. Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama. Mke huwezi kumzuia kuchepuka ila...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anaepaswa kuongezwa katika picha hii?

    Nitaanza mimi: CHUCK NORRIS
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya hewa ya Dar (mvua) imenifanya nipitie upya contacts zangu

    Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha. Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
  15. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana: Sisi ndio wa kudharauliwa namna hii?

    Waungwana, hii mnakubaliana nayo kweli? Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje!? Kwamba hadi macho madogo wametupita sisi? Kuna mambo ya sisi kuwa nyuma, sio hili, nimekataa!!! https://x.com/Globalstats11/status/2030202522074497522?s=20
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
  17. JamiiForums Tanzania Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Taarifa ya TAMISEMI, ikiwataka watumishi wakabadilishe majina

  19. JamiiForums Tanzania Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

    Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
  20. JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…