hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake, hii confidence mnaitoa wapi?

    Hapa mtaani Kuna mgogoro umetokea Mume na mke wamepigana makonde usiku huu sasa kilichonishtua ni confidence ya huyu mwanamke Anamtukana Mume wake matusi ya nguoni kilichonishangaza ni kauli yake eti amuache aishi maisha yake kama amemchoka amuache kwani Kuna Wanaume wengi wanamtaka cha ajabu...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii hotuba ya Gavana wa Bungoma Ken Lusaka mbele ya Polisi imewagusa wengi

    Video ya Gavana wa Bungoma, nchini Kenya, Ken Lusaka, imekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuwapa ukweli mchungu maafisa wa usalama. Aliyasema hayo Januari 2024 kwenye uzinduzi wa kituo cha “Reinforcement” katika kaunti hiyo. Katika hotuba yake iliyojaa busara na vionjo vya ucheshi, Lusaka...
  3. JamiiForums Tanzania Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Hali hii, nchi itafakari kuhusu Maisha ya Raia Wake

    Juzi nilienda hospital moja ya serikali. Baada ya mlolongo mrefu wa huduma za hapa na pale, hatimae nikaelekezwa ilipo duka la dawa la hospital nkaenda kununua hapo. Nikiwa hapo katika foleni ya kununua dawa Kuna wagonjwa waliokuwa mbele yangu na wengine pembeni yangu ambao walishindwa kumudu...
  5. JamiiForums Tanzania Tufanyaje ili tuitoe nchi kwenye hii laana ya damu?

    Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa. Viongozi wa dini wapo kimya ukiacha wakatoliki, wengi wanauunga mkono serikali iliyotufikisha hapa. Tukiacha hii laana...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii Inaonesha Lissu Kajikatia Tamaa Kabisa na Kuvurugwa akili. Jela ni Mwalimu Hodari asiyefelisha Masomo Yake

    Ndugu zangu Watanzania, Usicheze na magereza hata siku moja . Kule siyo kwa mchezo mchezo,kule hata uwe Nunda kiasi gani utajikuta umebadilika kitabia na kuwa mtu mwema tu utake usitake upende usipende. Hakuna ujeuri kule wala ubraza men ama ujuaji. Ona sasa lissu amekaa mwaka mmoja tu lakini...
  7. JamiiForums Tanzania App za mikopo kama YakoMkopo, PesaSasa kupotea Play Store – hii ni hatua sahihi?

    Wakuu, Nimegundua jambo la kushangaza – baadhi ya app za mikopo kama YakoMkopo na PesaSasa hazionekani tena kwenye Google Play Store. Uki-search zinaonyesha “This app isn’t available.” Swali ni: Je, hii ni hatua ya makusudi dhidi ya hizi app? Kama ni kweli zinafanya udhalilishaji, riba kubwa au...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nembo ya kumuunga Mkono Lissu ni hii: Hakuna kuchana wala kunyoa nywele mpaka lisu aachiwe

    Hakuna KUCHANA wala KUNYOA nywele mpaka Lisu aachiwe! Wote wapiganaji kuanzia sasa mpaka hapo atakapo achiwa LISU ndiyo mtindo wa kutunza Nywele. HAKUNA KUCHANA WALA KUNYOA NYWELE KICHWANI.
  9. JamiiForums Tanzania Waacheni Warudi Lakini Wasitutoe Kwenye Reli: Je, Hii ni Mkakati wa CCM Kudhoofisha CHADEMA?

    Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa. Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
  10. JamiiForums Tanzania Waacheni Warudi Lakini Wasitutoe Kwenye Reli: Je, Hii ni Mkakati wa CCM Kudhoofisha CHADEMA?

    Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa. Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
  11. JamiiForums Tanzania Unamkuta mwanamke amezaliwa mweupe kabisa, halafu tena bado anajichubua, hivi hali hii huchochewa na nini?

    Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona. Ni kitu gani hasa wanawake wa aina hii huhitaji? Kama ni uweupe, si wamezaliwa nao kabisa? Unakuta binti kaiva sura...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Kikwete ana changamoto zake ila ndiyo Rais bora kuwahi kutokea nchi hii

    NI JAKAYA KIKWETE; Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji. Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
  14. JamiiForums Tanzania Mtu asiejua kutumia computer ni Sawa na maiti inayotembea kwa karne hii

    Habari Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote hawajui Hii ni hatari kwa maendeleo ya taifa lolote lile linalojitambua Bora Hawa watu wa afya...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Ukraine kuzishambulia vinu vya kuchakata mafuta leo hii Russia nayo ya shambulio makazi ya Raia

    Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu. Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
  16. JamiiForums Tanzania CCM kwanini hamfanyi hii challenge kama kweli mna mapenzi ya dhati na Nchi Yetu?

    Siku hizi viongozi wa chama na serikali wamekuja na mtindo wa kuandaa mashindo na challenges mbalimbali za kimifumo, andiko nk Na lengo la mashindano hayo wao wanasema ni kulenga kutatua changamoto zinazolikabiri taifa letu mfano wa challenges zilizowahi kufanyika ni pamoja na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

    Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu. Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata...
  18. JamiiForums Tanzania Ku-Cheat": Biblia Inakuitaje Dhambi Hii?

    HAIITWI “KU-CHEAT”… Biblia inaiita: • KUZINI “Usizini.” — Kutoka 20:14 • UASHERATI “Uikimbieni zinaa…” — 1 Wakorintho 6:18 • HIYANA KWA MWENZI WA UJANA WAKO “Bwana amekuwa shahidi kati yako na mke wa ujana wako, ambaye umemtendea kwa hiyana…” — Malaki 2:14 • KUVUNJA AGANO “Kwa sababu Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Nafikiri hii ndio chaneli pendwa ya mabeki tatu

    Ina vitamthilia vya ajabu ajabu, unakuta mara simba mweupe anapaa angani hukuu amseshikilia mkuki na miguu yake, kama sio utakuta zile za kihindi jamaa wanangaaliana kwa ukali karibia nusu saa , basi wadada unakuta wanafurahi sana.
  20. JamiiForums Tanzania Mapenzi Bongo vs Ulaya: Mizengwe yote hii?

    Kule ulaya ukimfuata Demu ukamuambia unampenda jibu utalipata kabla hata dakika Tano hazijaisha. Akikupenda atakujibu I like you too na mazungumzo yataendelea akiona humvutii atakuambia I'm not interested kwa heshima. Hakuna Ile habari ya ngoja nifikirie ambayo itachukua mwezi mzima. Kwao, muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…