hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazishi ya Rais Kibaki: Wabobezi wa protocols, hii imekaaje?

    Wakuu naangalia mazishi ya mzee Kibaki kule Othaya. . Kuna jambo sijaelewa kwenye protocol naona ameanza kuingia Ruto then Raila Odinga then Rais Uhuru Kenyatta. . Hii imekaaje kwa nyie wabobezi wa Protocol?
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

  4. JamiiForums Tanzania Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

    Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee. Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
  5. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ipatikane ndani ya miezi sita ili kudhibiti hii mikakati ya ufisadi unaoendelea. Jitihada za nguvu ya kila namna zifanyike

    Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna. Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora. Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeshindwa ku rent ama kununua hii Royal tour documentary amazon

    Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwani ninyi mnawafanyaga nini wanawake wa aina hii?

    Habari wandugu, Nimekutana na wanawake kadhaaa lakini sijawah kutana na mwanamke kama huyu ukweli ananipa changamoto sana. Nimwanamke ambae nimekutana nae somewhere tukabadilishana namba baada ya kumuelewa kiaina. Nikaanza kuanzisha ukaribu nae kwa kuwasiliana nae mara kwa mara na hapo ndo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania AJIRA ZA WALIMU: Safari hii hatutavumilia figisu figisu kwenye ajira ya walimu kama nyakati nyingine

    Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo. 1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
  9. JamiiForums Tanzania Wenyeviti Serikali za Mitaa amkeni: Wakuu wa Wilaya angalieni hii inawahusu

    Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga. Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu...
  10. JamiiForums Tanzania Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

    Jamaa yangu alinipitia tuende somewhere kusherehekea sikukuu yetu ya Muunganisho wa Tanganyika na Tangapwani. Alikuja na gari yake mpya Toyota Rumion mwaka 2008 engine ya 1.8 actually hizi gari huwa naziona tu sikuwahi panda au dhania zingekuwa nzuri. Ndani mambo si mengi saaaana. Ila imetulia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama Asali Feki inajulikana upesi kwa Mbinu hii je, Bange Feki inajulikana kwa Mbinu ipi?

    Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie...
  12. JamiiForums Tanzania Madeni ya kampeni za 2020 yaibuka, wadai watishia kuipeleka CCM Mahakamani

    Tenda ya kuzalisha vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni za mwaka 2020 ilikuwa ni kubwa, hivyo ikatulazimu kukopa ili tuweze kutimiza lengo la mahitaji tukitaraji kuwa baada ya mwezi fedha ingerudi, lakini hadi sasa hakuna tulicholipwa" Salum Mussa Kwa kuwa Uhuru Media Group ni kampuni ya CCM...
  13. JamiiForums Tanzania Walimu wa Hisabati, hii inaweza kutusaidia kufaulisha Wanafunzi na kulipenda somo hili

    Habarini za humu JF Elimu, Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa! MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU 1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
  14. JamiiForums Tanzania Anayeweza kunitafsiria ndoto hii

    Mimi siyo mwandishi mzuri. Hivyo mtanisamehe kwa makosa yoyote ya kiuandishi yaliyopo kwenye wasilisho la ndoto hii. Kabla ya kuielezea ndoto hii, nimekumbuka kuwa leo ni siku ya kumbukumbu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Alfajiri kuamkia leo tarehe 26/04/2022, nimeota ndoto ya...
  15. JamiiForums Tanzania Haya maneno yana ukweli kiasi gani?

    Kwema Wakuu! Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili. Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
  16. JamiiForums Tanzania Boti iliyookotwa Zanzibar hii hapa, Wanajeshi waifanyia uchunguzi baada ya hofu ya mabomu

    Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo, Rashid Hadid Rashid amesema hakuna mabomu yaliyokutwa katika boti iliyookotwa kando kando mwa fukwe ya bahari ya Bwejuu kama ilivyodhaniwa na baadhi ya wavuvi walioisogeza boti hiyo ufukweni RC...
  17. JamiiForums Tanzania Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

    Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine. Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida. Ikumbukwe, Russia iliteua...
  18. JamiiForums Tanzania Nimekutana na Hii Hapa Mbagala

    Tumekukumbuka . Ndio ujumbe nikiiona kwenye gari Moja Hapa Mitaa ya Mbagala. . Ni Kweli Tumekukumbuka Mzee Wetu?
  19. JamiiForums Tanzania Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?

    Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano. Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne. Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi...
  20. JamiiForums Tanzania Simba; sawa tunajua mnapenda uchawi, ila ndio muufanye bila kificho hata ugenini? ni aibu sasa hii

    Ni nini huu upuuzi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…