hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo wa kudai haki jinai nchini imeharibika kutokana na kupuuza mifumo ya maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023 Katibu Mkuu kiongozi Moses Kusiluka Jukumu kubwa la tume ni kufanya tathmini ya kina ya mfumo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hili suala la nembo kwa jezi mpya ya Yanga ipoje?

    Ninaipongeza klabu ya Yanga kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye ku design jezi. Jana zimezinduliwa jezi za kiwango haswa mpaka mashabiki wa Simba wakizitamani. Lakini moja ya jambo ambalo kwangu ni tata ni ishu ya logo ya main sponsor wa mashindano ya Caf inter club ambaye ni total energies...
  3. JamiiForums Tanzania Leo nimeikumbuka hii pisi

    Mi nayeye tulikuwa tumepanga sehem moja. Mtoto alikuwa mzuri yule! shep kama katuni wa kuchora, nyuma kabeba, kifuani kajaza halafu saa6 kiuno kimekatika. Ukimwangalia tuu, kile kingozi chake hata bila kumgusa utauhisi ulaini wake. Hapo hajakuangalia, hapo hajatabasamu. Isee yule dada alikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nitumie nafasi hii kulipongeza Baraza la mitihani Necta

    Habari wakuu! Nimeona majadiliano mengi kuhusiana na maamuzi ya necta kutofanya Ranking!! Mm kwa utafiti wangu nitumie nafasi hii kuwapongeza necta kwa maamuzi haya! Kimsingi hayawezi kuwafurahisha wengine kwa sababu ni biashara zao! Hizi ni sababu ambazo zinanifanya niwapongeze necta kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

    Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia. Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana. Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada nahisi kama naanza kupagawa

    Tokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi hata kama nikiwa nakula nitaganda na kusindikiza kwa macho kirikuu mpaka kipotee. Hata nikiwa kwenye daladala nitatoa...
  7. JamiiForums Tanzania Inakuwaje shule ya girls inakuwa na mwanaume?

    Angalia kiunga hiki https://matokeo.necta.go.tz/csee2022/results/s5344.htm
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kina dada mna maana gani ktk hii kauli?

    Mdada anayekataa kuingia kwenye ndoa kwa kisingizio cha "bado sijakamilisha mambo yangu". Huwa ana maana gani? Anajenga au anafungua biashara? Au nn? Kwani mambo hayo hawezi kuyakamilisha akiwa kwenye ndoa? Na unakuta anatoa kauli hii baada ya kupiga danadana kama mwaka ama miaka 2. Kwenye...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jamani hii habari ya mwalimu wa madrasa kumvunja mtoto kidole kisa kuhudhuria kongamano imenisikitisha sana

    Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge Ditopile atoa msaada kwa wanafunzi 1,000

    Wanafunzi 1,000 wanufaika na msaada wa vifaa vya shule vyenye thamani ya tsh. milioni 32 kutoka kwa Mariam Ditopile Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Dodoma. Mbunge viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye...
  11. JamiiForums Tanzania Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  12. JamiiForums Tanzania Scholarship hii hapa ya bure kabisa

  13. JamiiForums Tanzania Hii rushes inatokana na nini

    Habaii jamii doctor Ghafla siku ya juzi nimepata vipele kama vinavyoonekana kwenye picha sijajua vinatokana na nini,msaada please
  14. JamiiForums Tanzania Hii sheria imewekwa na nani na kwa faida ya nani?

    Ni Jumamosi nyingine ya mwisho wa mwezi, kama kawaida kila mfanyabiashara yuko nje ya ofisi yake akisubiri saa inne ifike ndio afungue biashara yake, vinginevyo apambane na mkono wa sheria. Hivi huu utumwa ni nani ameuleta? Kiasi cha kuogopwa hivi? Ipo kisheria kwenye katiba? Mwisho wa siku...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

    Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume. Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kimefanya Rwanda na Burundi kuwa na watu wengi namna hii?

    Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000. Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu zilivyo na kwa hulka ya CHADEMA hakuna aliye hai leo atashuhudia CHADEMA inatawala nchi hii

    Harakati za CHADEMA kwenda ikulu na kupata nafasi ya kutawala nchi hii hazitakaa zifanikiwe sababu walianza na mguu mbaya. KWANZA - Kuweka misingi yao kwa kubadirisha wanaharakati na uanaharakati kuwa wanasiasa na siasa. huu mchakato huchukua mda mrefu kufaniakiwa. PILI - Kushobokea siasa za...
  18. JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Alichondika Mdude kwenye ukurasa wa twitter. "Moja ya mapungufu ya katiba iliyopo ni kwamba, mtu kutokea Bara-Tanganyika hawezi kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar lakini mtu kutokea Zanzibar anaweza kuwa mkuu wa wilaya Bara. Sasa huu ni muungano wa namna gani? Ndio maana tunahitaji #KatibaMpya kuondoa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii hapa Ibara ya Katiba ya Tanzania aliyoigusia Lissu mkutanoni. Je, alikuwa sahihi?

    Ni Ibara ya 99 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabeba dhana ya utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha. Ibara husika ina ibara ndogo 3. Tafadhali someni Ibara hii na mjiridhishe iwapo Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M. Lissu alikuwa sahihi au la kwenye hoja yake ya kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Huduma ya Vodacom supakasi imekaaje hii!

    Nani anatumia huduma ya Vodacom Supakasi humu atupe maujuzi, tujue speed yao kwenye uhalisia wa utumiaji upoje n.k Kwa walio maeneo yanayokamata 5G speed ipoje wakikufungia hii huduma wanakupa vifaa gani! Maana kuna wanaosema wanakupa router ambayo ni moveable na wengine wanasema wanakuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…